Nenda kwa yaliyomo

Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 11: Mstari 11:
=== Kuzaliwa hadi kufariki ===
=== Kuzaliwa hadi kufariki ===


Watafiti wengi wamezingatia karne ya 20 kabla ya Kristo (Issa) kama ndio tarehe ya kuzaliwa kwa nabii Ibrahimu (a.s), huku wengine wakidai kwamba; tarehe sahihi zaidi ni 1996 kabla ya Kristo (Isa). [1] Katika kitabu cha "Hawaadithu al-Ayyami", siku ya kuzaliwa kwake imetajwa kuwa ni mwezi [[kumi Muharram]]. [2] Baadhi ya wanahistoria wanadhani kuwa yeye alizaliwa mwezi [[mosi Dhul-Hijja]]. [3]
Watafiti wengi wamezingatia karne ya 20 kabla ya Kristo (Issa) kama ndio tarehe ya kuzaliwa kwa nabii Ibrahimu (a.s), huku wengine wakidai kwamba; tarehe sahihi zaidi ni 1996 kabla ya Kristo (Issa). [1] Katika kitabu cha Hawaadithu al-Ayyami, siku ya kuzaliwa kwake imetajwa kuwa ni mwezi [[kumi Muharram]]. [2] Baadhi ya wanahistoria wanadhani kuwa yeye alizaliwa mwezi [[mosi Dhul-Hijja]]. [3]
[[Faili:مزار حضرت ابراهیم - فلسطین.jpg|thumb|kaburi la Nabii Ibrahim katika mji wa Hebroni huko Palestina]]
Katika vyanzo vya Kiislamu, miji kadhaa imetajwa kuwa ni mahali pa kuzaliwa kwa Ibrahim (a.s). Kulingana na chanzo cha kihistoria cha Tabari, baadhi ya wanazuoni wameutaja mji wa Baabul au Kutha, ambao ni mji liokuwa ukitawaliwa na [[Namrudh]] wakati huo, ulioko maeneo ya Mesopotamia ya Iraq, kuwa ndio mahali alipo zaliwa nabii Ibrahimu. Pia kuna wengine walio utaja mji wa Al-Warqa au Harran, kuwa ndio mahali pa kuzaliwa kwake, na kusema kuwa baadaye baba yake alimpeleka Baabul au Kutha. [4] Katika moja ya Hadithi kutoka kwa [[Imamu Swadiq (a.s)]], mji wa "Kutha" umetajwa kuwa ndio mahali pa kuzaliwa kwake na ndio makao makuu ya Namrudh. [5] Ibn Batuta, mtalii wa kihistoria wa karne ya sita Hijria, ametaja eneo liitwalo Bursi lililopo kati ya [[Halabu]] na [[Baghdad]] nchini [[Iraq]], yeye amedai kwamba; eneo hilo ndilo linalodaiwa kuwa ni mahali pa kuzaliwa kwa Ibrahim. [6]


Katika vyanzo vya Kiislamu, miji kadhaa imetajwa kuwa ni mahali pa kuzaliwa kwa Ibrahim (a.s). Kulingana na chanzo cha kihistoria cha Tabari, baadhi ya wanazuoni wameutaja mji wa Baabul au Kutha, ambao ni mji liokuwa ukitawaliwa na Namrudh wakati huo, ulioko maeneo ya Mesopotamia ya Iraq, kuwa ndio mahali alipo zaliwa nabii Ibrahimu. Pia kuna wengine walio utaja mji wa Al-Warqa au Harran, kuwa ndio mahali pa kuzaliwa kwake, na kusema kuwa baadaye baba yake alimpeleka Baabul au Kutha. [4] Katika moja ya Hadithi kutoka kwa Imamu Sadiq (a.s), mji wa "Kutha" umetajwa kuwa ndio mahali pa kuzaliwa kwake na ndio makao makuu ya Namrudh. [5] Ibn Batuta, mtalii wa kihistoria wa karne ya sita Hijria, ametaja eneo liitwalo Bursi lililopo kati ya Halabu na Baghdad nchini Iraq, yeye amedai kwamba; eneo hilo ndilo linalodaiwa kuwa ni mahali pa kuzaliwa kwa Ibrahim. [6]
Ibrahim (a.s) aliishi miaka 179 au 200 na kufariki dunia huko Hebroni, [[Palestina]], eneo ambalo leo hii linajulikana kwa jina la Al-Khalil. [7]
 
Ibrahim (a.s) aliishi miaka 179 au 200 na kufariki dunia huko Hebroni, Palestina, eneo ambalo leo hii linajulikana kwa jina la Al-Khalil. [7]


=== Baba yake ===
=== Baba yake ===


Kuna tofauti ya maoni kuhusiana jina hasa la baba yake Ibrahimu. Katika maandiko ya Agano la Kale, baba yake  ametambuliwa kwa jina la "Terah" [8], ambalo limetajwa katika vyanzo vya historia ya Kiislamu kama ni "Taarukh" [9] au "Taraakh". [10] Katika Qur’ani, kuna ibara isemayo: ''((وَ إِذْ قالَ إِبْراهِیمُ لِأَبِیهِ آزَرَ ; Na [taja] pale Ibrahimu alipomwambia baba yake Aazar))''. [11] Kulingana na Aya hii, baadhi ya wafasiri wa Kisunni wanamchukulia “Aazar” kuwa ni baba wa Nabii Ibrahimu, [12] lakini wafasiri wa Kishia hawachukulii neno "ab" (baba) lililoko katika Aya hii kuwa na maana ya baba halisi. [13] Kulingana nao; neno "ab" katika Kiarabu si tu hutumiwa kwa maana ya baba, bali pia kwa maana ya mjomba, babu, mlezi, n.k. Allamah Tabatabai katika kitabu chake kiitwacho Al-Mizan anasema: "Bila shaka, 'Azar' aliyezungumziwa katika Aya hii si baba halisi wa nabii Ibrahimu, lakini kutokana na baadhi ya sifa maalumu alizo kuwa nazo, alijulikana kama ndiye baba yake, kwani neno “ab” linaweza kuwa na maana ya mjomba wa Ibrahimu, na kulingana na matumizi ya lugha ya Kiarabu, neno 'ab' pia hutumiwa kwa maana ya babu, ami na hata baba wa kambo. [14] Ibrahimu alikataa uhusiano na “Azar”, ambaye alimwita baba, ila hakuwa baba yake halisi. [15]
Kuna tofauti ya maoni kuhusiana jina hasa la baba yake Ibrahimu. Katika maandiko ya Agano la Kale, baba yake  ametambuliwa kwa jina la "Terah" [8], ambalo limetajwa katika vyanzo vya historia ya Kiislamu kama ni [[Taarukh]] [9] au "Taraakh". [10] Katika Qur’ani, kuna ibara isemayo: ''((وَ إِذْ قالَ إِبْراهِیمُ لِأَبِیهِ آزَرَ ; Na [taja] pale Ibrahimu alipomwambia baba yake Aazar))''. [11] Kulingana na Aya hii, baadhi ya [[wafasiri]] wa Kisunni wanamchukulia “Aazar” kuwa ni baba wa Nabii Ibrahimu, [12] lakini wafasiri wa Kishia hawachukulii neno "abu" (baba) lililoko katika Aya hii kuwa na maana ya baba halisi. [13] Kulingana nao; neno "ab" katika Kiarabu si tu hutumiwa kwa maana ya baba, bali pia kwa maana ya mjomba, babu, mlezi, n.k. [[Allamah Tabatabai]] katika kitabu chake kiitwacho Al-Mizan anasema: "Bila shaka, 'Azar' aliyezungumziwa katika Aya hii si baba halisi wa nabii Ibrahimu, lakini kutokana na baadhi ya sifa maalumu alizo kuwa nazo, alijulikana kama ndiye baba yake, kwani neno “abu” linaweza kuwa na maana ya mjomba wa Ibrahimu, na kulingana na matumizi ya lugha ya Kiarabu, neno 'ab' pia hutumiwa kwa maana ya babu, ami na hata baba wa kambo. [14] Ibrahimu alikataa uhusiano na “Azar”, ambaye alimwita baba, ila hakuwa baba yake halisi. [15]


Kulingana na ripoti za vyanzo vya kihistoria, katika mwaka ambao nabii Ibrahimu (a.s) alizaliwa, kwa amri ya Namrudh, kila mtoto aliyezaliwa aliuawa. Hii ni kwa sababu utabiri wa wachawi walikuwa wametabiri kwamba; mwaka huo atazaliwa mtoto ambaye atagejenga msingi wa kupinga dini ya Namrudh na wafuasi wake na kuyavunja masanamu yao. Kwa sababu hiyo, mama wa Ibrahimu alikhofu watu wa Namrudh kumdhuru Ibrahimu, hivyo alimweka ndani ya pango karibu na nyumba yake, na baada ya miezi kumi na tano, alikwenda pangoni humo usiku na kumtoa nje ya pango hilo. [16]
Kulingana na ripoti za vyanzo vya kihistoria, katika mwaka ambao nabii Ibrahimu (a.s) alizaliwa, kwa amri ya Namrudh, kila mtoto aliyezaliwa aliuawa. Hii ni kwa sababu utabiri wa wachawi walikuwa wametabiri kwamba; mwaka huo atazaliwa mtoto ambaye atagejenga msingi wa kupinga dini ya Namrudh na wafuasi wake na kuyavunja masanamu yao. Kwa sababu hiyo, mama wa Ibrahimu alikhofu watu wa Namrudh kumdhuru Ibrahimu, hivyo alimweka ndani ya pango karibu na nyumba yake, na baada ya miezi kumi na tano, alikwenda pangoni humo usiku na kumtoa nje ya pango hilo. [16]
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits