Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
|||
Mstari 7: | Mstari 7: | ||
[[Qur'an Kareem|Qur’ani]] inahusisha ujenzi wa [[Kaaba]] na mwaliko wa kuwaita watu kwenye [[ibada ya Hajj]] kwa Nabii Ibrahimu, na kumtambulisha kama ni [[Khalilullah]] (rafiki wa Mungu). Kulingana na Aya za Qura’ni, baada ya kutahiniwa na kujaribiwa kwa mitihani mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amri ya kuchinja mwanawe (Ismaili), Ibrahimu alipata hadhi ya [[uimamu]] mbali na cheo chake cha mwanzo cha [[unabii]]. | [[Qur'an Kareem|Qur’ani]] inahusisha ujenzi wa [[Kaaba]] na mwaliko wa kuwaita watu kwenye [[ibada ya Hajj]] kwa Nabii Ibrahimu, na kumtambulisha kama ni [[Khalilullah]] (rafiki wa Mungu). Kulingana na Aya za Qura’ni, baada ya kutahiniwa na kujaribiwa kwa mitihani mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amri ya kuchinja mwanawe (Ismaili), Ibrahimu alipata hadhi ya [[uimamu]] mbali na cheo chake cha mwanzo cha [[unabii]]. | ||
== Wasifu | == Wasifu wake == | ||
=== Kuzaliwa | === Kuzaliwa hadi kufariki === | ||
Watafiti wengi wamezingatia karne ya 20 kabla ya Kristo (Issa) kama ndio tarehe ya kuzaliwa kwa nabii Ibrahimu (a.s), huku wengine wakidai kwamba; tarehe sahihi zaidi ni 1996 kabla ya Kristo (Isa). [1] Katika kitabu cha "Hawaadithu al-Ayyami", siku ya kuzaliwa kwake imetajwa kuwa ni mwezi [[kumi Muharram]]. [2] Baadhi ya wanahistoria wanadhani kuwa yeye alizaliwa mwezi [[mosi Dhul-Hijja]]. [3] | Watafiti wengi wamezingatia karne ya 20 kabla ya Kristo (Issa) kama ndio tarehe ya kuzaliwa kwa nabii Ibrahimu (a.s), huku wengine wakidai kwamba; tarehe sahihi zaidi ni 1996 kabla ya Kristo (Isa). [1] Katika kitabu cha "Hawaadithu al-Ayyami", siku ya kuzaliwa kwake imetajwa kuwa ni mwezi [[kumi Muharram]]. [2] Baadhi ya wanahistoria wanadhani kuwa yeye alizaliwa mwezi [[mosi Dhul-Hijja]]. [3] | ||
Mstari 17: | Mstari 17: | ||
Ibrahim (a.s) aliishi miaka 179 au 200 na kufariki dunia huko Hebroni, Palestina, eneo ambalo leo hii linajulikana kwa jina la Al-Khalil. [7] | Ibrahim (a.s) aliishi miaka 179 au 200 na kufariki dunia huko Hebroni, Palestina, eneo ambalo leo hii linajulikana kwa jina la Al-Khalil. [7] | ||
=== Baba | === Baba yake === | ||
Kuna tofauti ya maoni kuhusiana jina hasa la baba yake Ibrahimu. Katika maandiko ya Agano la Kale, baba yake ametambuliwa kwa jina la "Terah" [8], ambalo limetajwa katika vyanzo vya historia ya Kiislamu kama ni "Taarukh" [9] au "Taraakh". [10] Katika Qur’ani, kuna ibara isemayo: ''((وَ إِذْ قالَ إِبْراهِیمُ لِأَبِیهِ آزَرَ ; Na [taja] pale Ibrahimu alipomwambia baba yake Aazar))''. [11] Kulingana na Aya hii, baadhi ya wafasiri wa Kisunni wanamchukulia “Aazar” kuwa ni baba wa Nabii Ibrahimu, [12] lakini wafasiri wa Kishia hawachukulii neno "ab" (baba) lililoko katika Aya hii kuwa na maana ya baba halisi. [13] Kulingana nao; neno "ab" katika Kiarabu si tu hutumiwa kwa maana ya baba, bali pia kwa maana ya mjomba, babu, mlezi, n.k. Allamah Tabatabai katika kitabu chake kiitwacho Al-Mizan anasema: "Bila shaka, 'Azar' aliyezungumziwa katika Aya hii si baba halisi wa nabii Ibrahimu, lakini kutokana na baadhi ya sifa maalumu alizo kuwa nazo, alijulikana kama ndiye baba yake, kwani neno “ab” linaweza kuwa na maana ya mjomba wa Ibrahimu, na kulingana na matumizi ya lugha ya Kiarabu, neno 'ab' pia hutumiwa kwa maana ya babu, ami na hata baba wa kambo. [14] Ibrahimu alikataa uhusiano na “Azar”, ambaye alimwita baba, ila hakuwa baba yake halisi. [15] | Kuna tofauti ya maoni kuhusiana jina hasa la baba yake Ibrahimu. Katika maandiko ya Agano la Kale, baba yake ametambuliwa kwa jina la "Terah" [8], ambalo limetajwa katika vyanzo vya historia ya Kiislamu kama ni "Taarukh" [9] au "Taraakh". [10] Katika Qur’ani, kuna ibara isemayo: ''((وَ إِذْ قالَ إِبْراهِیمُ لِأَبِیهِ آزَرَ ; Na [taja] pale Ibrahimu alipomwambia baba yake Aazar))''. [11] Kulingana na Aya hii, baadhi ya wafasiri wa Kisunni wanamchukulia “Aazar” kuwa ni baba wa Nabii Ibrahimu, [12] lakini wafasiri wa Kishia hawachukulii neno "ab" (baba) lililoko katika Aya hii kuwa na maana ya baba halisi. [13] Kulingana nao; neno "ab" katika Kiarabu si tu hutumiwa kwa maana ya baba, bali pia kwa maana ya mjomba, babu, mlezi, n.k. Allamah Tabatabai katika kitabu chake kiitwacho Al-Mizan anasema: "Bila shaka, 'Azar' aliyezungumziwa katika Aya hii si baba halisi wa nabii Ibrahimu, lakini kutokana na baadhi ya sifa maalumu alizo kuwa nazo, alijulikana kama ndiye baba yake, kwani neno “ab” linaweza kuwa na maana ya mjomba wa Ibrahimu, na kulingana na matumizi ya lugha ya Kiarabu, neno 'ab' pia hutumiwa kwa maana ya babu, ami na hata baba wa kambo. [14] Ibrahimu alikataa uhusiano na “Azar”, ambaye alimwita baba, ila hakuwa baba yake halisi. [15] | ||
Mstari 31: | Mstari 31: | ||
Imesemekana kwamba baada ya bibi Sara kufariki dunia, Ibrahim (a.s) alioa wanawake wengine wawili, ambapo mmoja alizaa naye watoto wanne na mwingine akazaa naye watoto saba, na jumla ya watoto wake wote ikawa ni watoto 13. [26] Ma’adhi, Zimran, Sarhaj, na Sabq ni watoto wake kupitia mke aliyeitwa "Kinturaa", na Naafis, Madyan, Kishan, Shuruukh, Umaym, Lut, na Yaqshan kutoka kwa mkewe aliyeitwa "Hajuni". [27] | Imesemekana kwamba baada ya bibi Sara kufariki dunia, Ibrahim (a.s) alioa wanawake wengine wawili, ambapo mmoja alizaa naye watoto wanne na mwingine akazaa naye watoto saba, na jumla ya watoto wake wote ikawa ni watoto 13. [26] Ma’adhi, Zimran, Sarhaj, na Sabq ni watoto wake kupitia mke aliyeitwa "Kinturaa", na Naafis, Madyan, Kishan, Shuruukh, Umaym, Lut, na Yaqshan kutoka kwa mkewe aliyeitwa "Hajuni". [27] | ||
== Ibrahim | == Ibrahim ndani ya Qur’ani == | ||
Ibrahim ametajwa mara 69 katika Qur'ani. [28] Kuna Sura kamili ndani ya Qur’ani iliyopewa jila Ibrahim, Sura ambayo inahusiana na maisha ya nabii Ibrahim. [29] Qur'ani inaelezea mambo mengi kuhussiana na nabii Ibrahim, ikiwa ni pamoja na unabii wake na wito wake wa kuwaita watu kwenye tawhidi, uimamu wake, nia ya kumchinja mwanae (Ismail), miujiza ya kufufuka kwa ndege wanne baada ya kifo chao, na kupoza kwa moto kwa ajili yake. | Ibrahim ametajwa mara 69 katika Qur'ani. [28] Kuna Sura kamili ndani ya Qur’ani iliyopewa jila Ibrahim, Sura ambayo inahusiana na maisha ya nabii Ibrahim. [29] Qur'ani inaelezea mambo mengi kuhussiana na nabii Ibrahim, ikiwa ni pamoja na unabii wake na wito wake wa kuwaita watu kwenye tawhidi, uimamu wake, nia ya kumchinja mwanae (Ismail), miujiza ya kufufuka kwa ndege wanne baada ya kifo chao, na kupoza kwa moto kwa ajili yake. | ||
Mstari 59: | Mstari 59: | ||
Katika Aya ya 127 ya Suratu al-Baqarah, imeelezwa kuwa; Ibrahim alisaidiana na mwanae Ismail katika kujenga Ka'aba [45] na kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu aliwaita watu kushiriki ibada ya Hijja. [46] Kulingana na baadhi ya Riwaya, kwa mara ya kwanza kabisa Ka'aba ilijengwa na Nabii Adam (a.s) na kurekebisha tena na nabii Ibrahim. [47] | Katika Aya ya 127 ya Suratu al-Baqarah, imeelezwa kuwa; Ibrahim alisaidiana na mwanae Ismail katika kujenga Ka'aba [45] na kwa amri ya Mwenye Ezi Mungu aliwaita watu kushiriki ibada ya Hijja. [46] Kulingana na baadhi ya Riwaya, kwa mara ya kwanza kabisa Ka'aba ilijengwa na Nabii Adam (a.s) na kurekebisha tena na nabii Ibrahim. [47] | ||
=== Kuchinja | === Kuchinja mwanawe === | ||
Moja ya majaribio ya Mwenyezi Mungu kwa Ibrahim ilikuwa amri ya kumchinja mwanawe. Kulingana na ripoti ya Qur'an, Ibrahim aliota ndotoni kwake kuwa anamchinja mwanae. Naye akaliweka suala hilo mbele ya mwanae, na mwanae alimtii baba yake na kumtaka atii amri ya Mwenye Ezi Mungu. Lakini wakati Ibrahim alipomlaza mwanawe kwa ajili ya kuchinja akiwa katika eneo la kuchinja, sauti ikasema: "Ewe Ibrahim, kwa hakika umetimiza agizo la ndoto yako. Kwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao mema. [Yaani tunaikubali nia yao safi na tukufu bila ya wao kutekeleza tendo lao]. Hakika jaribio hili lilikuwa ni la wazi na tumemwokoa mwanao kutoka kwenye uhanga mkubwa." [48] | Moja ya majaribio ya Mwenyezi Mungu kwa Ibrahim ilikuwa amri ya kumchinja mwanawe. Kulingana na ripoti ya Qur'an, Ibrahim aliota ndotoni kwake kuwa anamchinja mwanae. Naye akaliweka suala hilo mbele ya mwanae, na mwanae alimtii baba yake na kumtaka atii amri ya Mwenye Ezi Mungu. Lakini wakati Ibrahim alipomlaza mwanawe kwa ajili ya kuchinja akiwa katika eneo la kuchinja, sauti ikasema: "Ewe Ibrahim, kwa hakika umetimiza agizo la ndoto yako. Kwa hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao mema. [Yaani tunaikubali nia yao safi na tukufu bila ya wao kutekeleza tendo lao]. Hakika jaribio hili lilikuwa ni la wazi na tumemwokoa mwanao kutoka kwenye uhanga mkubwa." [48] | ||
Mstari 65: | Mstari 65: | ||
Qur'an haikutaja jina la mwana wa Ibrahim ambaye alipaswa kuchinjwa. Hivyo basi kuna tofauti za maoni kati ya Washia na Masunni juu ya suala hili. Baadhi wanasema alikuwa ni Ismail na wengine wanasema alikuwa ni Ishaq [49]. Sheikh Tusi anaamini kuwa; kwa mujibu wa Riwaya za Shia, yaonekena kwamba; yeye alikuwa ni Ismail. [50] Mulla Sadra Mazandarani katika ufafanuzi wa kitabu Furu’u al-Kafi anafikiria maoni haya kuwa ni mtazamo mashuhuri kati ya wanazuoni wa Shia. [51] Katika Ziyara Ghufaila (ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s) ya katikati ya Rajab), kuna ibara isemayo: ... Salamu iwe juu yako, Ewe mrithi wa Ismail, kichinjwa cha Mwenye Ezi Mungu! [52]" | Qur'an haikutaja jina la mwana wa Ibrahim ambaye alipaswa kuchinjwa. Hivyo basi kuna tofauti za maoni kati ya Washia na Masunni juu ya suala hili. Baadhi wanasema alikuwa ni Ismail na wengine wanasema alikuwa ni Ishaq [49]. Sheikh Tusi anaamini kuwa; kwa mujibu wa Riwaya za Shia, yaonekena kwamba; yeye alikuwa ni Ismail. [50] Mulla Sadra Mazandarani katika ufafanuzi wa kitabu Furu’u al-Kafi anafikiria maoni haya kuwa ni mtazamo mashuhuri kati ya wanazuoni wa Shia. [51] Katika Ziyara Ghufaila (ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s) ya katikati ya Rajab), kuna ibara isemayo: ... Salamu iwe juu yako, Ewe mrithi wa Ismail, kichinjwa cha Mwenye Ezi Mungu! [52]" | ||
== Ibrahim | == Ibrahim katika Maagano mawili == | ||
Katika Agano la Kale, Ibrahimu anatajwa kwanza kwa jina la Abramu; [53] lakini katika sura ya 17, Mungu anamwambia: "Na hii ni ahadi kati yangu na wewe, na wewe utakuwa ni baba wa mataifa mengi; na jina lako baada ya hapa halitakuwa Abramu, bali litakuwa ni Ibrahimu, kwa maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi."[54] | Katika Agano la Kale, Ibrahimu anatajwa kwanza kwa jina la Abramu; [53] lakini katika sura ya 17, Mungu anamwambia: "Na hii ni ahadi kati yangu na wewe, na wewe utakuwa ni baba wa mataifa mengi; na jina lako baada ya hapa halitakuwa Abramu, bali litakuwa ni Ibrahimu, kwa maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi."[54] | ||
Mstari 79: | Mstari 79: | ||
Katika Agano Jipya, Ibrahimu anatajwa mara 72, na nasaba ya Yesu Kristo anatokana na Ibrahimu kupitia kwa Isaka, kupitia mababu 39 (Mathayo 1:1-7) au kupitia mababu 54 (Luka 3:24-25). Imani ya Ibrahimu katika Agano Jipya inaelezwa kuwa ni ya juu zaidi. Ibrahimu aliishi kama mgeni katika Palestina, ambayo haikuwa nchi yake mwenyewe, na alitii amri ya Mungu kwa kumtoa mwanawe kama ni dhabihu. [67] | Katika Agano Jipya, Ibrahimu anatajwa mara 72, na nasaba ya Yesu Kristo anatokana na Ibrahimu kupitia kwa Isaka, kupitia mababu 39 (Mathayo 1:1-7) au kupitia mababu 54 (Luka 3:24-25). Imani ya Ibrahimu katika Agano Jipya inaelezwa kuwa ni ya juu zaidi. Ibrahimu aliishi kama mgeni katika Palestina, ambayo haikuwa nchi yake mwenyewe, na alitii amri ya Mungu kwa kumtoa mwanawe kama ni dhabihu. [67] | ||
== Ibrahimu kwa | == Ibrahimu kwa mtazamo wa Irfani ya Uislamu == | ||
Kutoka kwa mtazamo wa wanafalsafa (wanairfani) wengi wa Kiislamu, ni kwamba; Ibrahimu (a.s) alikuwa msafiri wa kiroho ambaye alipata ukamilifu wa juu kabisa kupitia ngazi mbali mbali za kimaadili katika safari yake ya maadili ya kiroho. Abdulkarim al-Qushayri, mwanafalsafa (mwanairfani) na mfasiri wa karne ya nne na tano, anaamini kwamba; Ibrahimu (a.s) aliuona ulimwengu wa kiroho kabla ya kuanza safari yake, na kwamba hilo ilimfanya apendezwe na safari hiyo ya kiroho. Hata hivyo, Rashid al-Din Maybudi anaamini kwamba; mvuto huu ulimfanya awe na hamu ya kuvutika na kila maonesho na sura za madhihiriko (maakisiko) ya Kiungu, lakini alipogundua kutokuwa imara kwa maakisiko hayo, alielewa kwamba; maakisiko na madhihiriko hayo katu hayawezi kuwa na uhusiano na upendo wa dhati na halisi. [69] | Kutoka kwa mtazamo wa wanafalsafa (wanairfani) wengi wa Kiislamu, ni kwamba; Ibrahimu (a.s) alikuwa msafiri wa kiroho ambaye alipata ukamilifu wa juu kabisa kupitia ngazi mbali mbali za kimaadili katika safari yake ya maadili ya kiroho. Abdulkarim al-Qushayri, mwanafalsafa (mwanairfani) na mfasiri wa karne ya nne na tano, anaamini kwamba; Ibrahimu (a.s) aliuona ulimwengu wa kiroho kabla ya kuanza safari yake, na kwamba hilo ilimfanya apendezwe na safari hiyo ya kiroho. Hata hivyo, Rashid al-Din Maybudi anaamini kwamba; mvuto huu ulimfanya awe na hamu ya kuvutika na kila maonesho na sura za madhihiriko (maakisiko) ya Kiungu, lakini alipogundua kutokuwa imara kwa maakisiko hayo, alielewa kwamba; maakisiko na madhihiriko hayo katu hayawezi kuwa na uhusiano na upendo wa dhati na halisi. [69] | ||
Mstari 91: | Mstari 91: | ||
Kitabu Qahremane Tawhid ''(Bingwa wa Tawhidi)'' kilichoandikwa na [[Naser Makarem Shirazi]], kilichochapishwa na Shule ya Imam Ali ibn Abi Talib (a.s), nacho ni kitabu kinachotoa maelezo na tafsiri ya Aya zinazohusiana na Nabii Ibrahim (a.s), kitabu hichi ni kitabu chenye kutoa picha kamili juu ya maisha, fikra na nyenendo za Nabii Ibrahim, chenye idadi ya kurasa 224. [75] | Kitabu Qahremane Tawhid ''(Bingwa wa Tawhidi)'' kilichoandikwa na [[Naser Makarem Shirazi]], kilichochapishwa na Shule ya Imam Ali ibn Abi Talib (a.s), nacho ni kitabu kinachotoa maelezo na tafsiri ya Aya zinazohusiana na Nabii Ibrahim (a.s), kitabu hichi ni kitabu chenye kutoa picha kamili juu ya maisha, fikra na nyenendo za Nabii Ibrahim, chenye idadi ya kurasa 224. [75] | ||
== Maudhui | == Maudhui yanayo fungamana == | ||
* [[Adyan Ibraahiimiy]] | * [[Adyan Ibraahiimiy]] | ||
* [[Maqamu Ibrahim]] | * [[Maqamu Ibrahim]] | ||
* [[Ayatu Ibtilaa Ibrahim]] | * [[Ayatu Ibtilaa Ibrahim]] |