wikishia:Do you know/2024
Mandhari
- ... Kifo cha Fatima Zahra, binti ya Mtume (s.a.w.w) ni miongoni mwa vifo vilivyo na utata zaidi katika Uislamu na hata kaburi lake halijulikani lilipo?
- ... Kitendo cha kusengenya kimefananishwa na mtu kula nyama ya nduguye aliyekufa?
- ... Ramadhani, ndio mwezi pekee jina lake limekuja katika Qur'an?
- ... Aya ya 7 ya Surat al-Bayyinah ni miongoni mwa Aya ambazo zilizoteremka kuelezea fadhila na ubora wa Ali bin Abi Talib (a.s)?
- ... Shia ndio madhehebu inayoamini na kuitikadi kuwa Khalifa au Kiongozi baada ya Mtume (s.a.w.w) anapaswa kuchaguliwa na M.mungu kisha kuainishwa na Mtume?