Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
|||
Mstari 43: | Mstari 43: | ||
Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa zaidi ya miezi minne kuanzia ([[mwezi 3 Shaaban]] hadi [[mwezi 8 Dhul-Hijjah]]). Katika kipindi alichoko katika mji huo, wakazi wa [[Makka]] walikuwa na kawaida ya wakimtembelea mara kwa mara. Inasemekana kwamba | Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa zaidi ya miezi minne kuanzia ([[mwezi 3 Shaaban]] hadi [[mwezi 8 Dhul-Hijjah]]). Katika kipindi alichoko katika mji huo, wakazi wa [[Makka]] walikuwa na kawaida ya wakimtembelea mara kwa mara. Inasemekana kwamba | ||
Abdullah bin Zubeir hakuwa akifurahia hali hiyo ya waku kufanya mahusiano ya karibu na Imamu Hussein (a.s). [[Abdu llahi bin Zubeir]] alikuwa na tamaa ya kupata kiapo cha utiifu kutoka wa wakaazi wa mji wa Makka, ila alielewa fika ya kwamba; uwepo wa Imamu Hussein katika mji huo, ni kizingiti kikubwa cha kufikia matakwa yake. Katu watu wa Makka hawakuwa tayari kumuacha Imamu Hussein na kumpa kiapo Abdullahi bin Zubeir, jambo ambalo lilikuwa likimsononesha mno Ibnu Zubeir. [32] | Abdullah bin Zubeir hakuwa akifurahia hali hiyo ya waku kufanya mahusiano ya karibu na Imamu Hussein (a.s). [[Abdu llahi bin Zubeir]] alikuwa na tamaa ya kupata kiapo cha utiifu kutoka wa wakaazi wa mji wa Makka, ila alielewa fika ya kwamba; uwepo wa Imamu Hussein katika mji huo, ni kizingiti kikubwa cha kufikia matakwa yake. Katu watu wa Makka hawakuwa tayari kumuacha Imamu Hussein na kumpa kiapo Abdullahi bin Zubeir, jambo ambalo lilikuwa likimsononesha mno Ibnu Zubeir. [32] | ||
=== Barua za mwaliko watu wa Kufa kwa Imam Hussein (a.s) === | === Barua za mwaliko watu wa Kufa kwa Imam Hussein (a.s) === | ||
Mstari 52: | Mstari 51: | ||
::''...Mimi ninamtuma ndugu yangu ambaye ni binamu yangu naye ni mtu ninayemwamini kati ya watu wa nyumbani kwangu (familia yangu). Nimemwambia anijulishe kuhusiana hali halisi ilivyo, harakati zenu pamoja na itikadi zenu. Ikiwa ataniandikia kwamba; uhakika wa hali zenu unaendana sawa na maandishi ya barua zenu, basi bila shaka Mungu akipenda nitakuja mjini kwenu...-Eleweni ya kwamba- [[Imamu]] ni mtu atendaye kulingana na [[kitabu cha Mwenyezi Mungu]] tu, anayetekeleza uadilifu, anayeamini dini ya haki, na anayejitolea kwa ajili [[Mungu]].'' | ::''...Mimi ninamtuma ndugu yangu ambaye ni binamu yangu naye ni mtu ninayemwamini kati ya watu wa nyumbani kwangu (familia yangu). Nimemwambia anijulishe kuhusiana hali halisi ilivyo, harakati zenu pamoja na itikadi zenu. Ikiwa ataniandikia kwamba; uhakika wa hali zenu unaendana sawa na maandishi ya barua zenu, basi bila shaka Mungu akipenda nitakuja mjini kwenu...-Eleweni ya kwamba- [[Imamu]] ni mtu atendaye kulingana na [[kitabu cha Mwenyezi Mungu]] tu, anayetekeleza uadilifu, anayeamini dini ya haki, na anayejitolea kwa ajili [[Mungu]].'' | ||
=== Muslim bin Aqiil kutumwa Mji wa Kufa === | === Muslim bin Aqiil kutumwa Mji wa Kufa === | ||
Mstari 71: | Mstari 69: | ||
Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuondoka mji wa Makka, Yahya bin Said, kamanda wa walinzi wa [['Amru bin Said bin 'Aas]] - ambaye pia aliku ni gavana wa Makka - pamoja na kundi la masahaba zake, walimfungia njia Hussein (a.s), Lakini Imamu Hussein hakuwajali na akaendelea na safari yake. [58] | Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuondoka mji wa Makka, Yahya bin Said, kamanda wa walinzi wa [['Amru bin Said bin 'Aas]] - ambaye pia aliku ni gavana wa Makka - pamoja na kundi la masahaba zake, walimfungia njia Hussein (a.s), Lakini Imamu Hussein hakuwajali na akaendelea na safari yake. [58] | ||
=== Vituo vya mapumziko vya msafara kutoka Makka hadi Kufa === | === Vituo vya mapumziko vya msafara kutoka Makka hadi Kufa === | ||
Mstari 126: | Mstari 123: | ||
Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la [[Batnu al-Rummah]], aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa [[Qais bin Mus'har Al-Saidawiy]]. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa [[Ubaidullah bin Ziad]] huko [[Qadisiyyah]], ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Hussein (a.s) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Hussein (a.s) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Mus'har Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (a.s) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (a.s) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenyezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe himaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara. [65] | Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la [[Batnu al-Rummah]], aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa [[Qais bin Mus'har Al-Saidawiy]]. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa [[Ubaidullah bin Ziad]] huko [[Qadisiyyah]], ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Hussein (a.s) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Hussein (a.s) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Mus'har Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (a.s) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (a.s) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenyezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe himaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara. [65] | ||
=== Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar kwenda mji wa Kufa === | === Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar kwenda mji wa Kufa === | ||
Mstari 132: | Mstari 128: | ||
Imesimuliwa ya kwamba; kabla ya Imamu Hussein (a.s) kupata habari kuhusu kifo cha kishahidi cha Muslim, alimtuma [[Abdullah ibn Yaqtar]], kaka yake (Ibnu Yaqta) wa kunyonya [66], kwa Muslim. Hata hivyo, alitekwa na [[Huswein bin Tamimi]] na kupelekwa kwa Ubaidullahi bin Ziad. Ubaidullahi aliamuru Abdullah ibn Yaqtar apelekwe juu ya kasri ya Dar al-Amara ili amlaani Imamu Hussein (a.s) na baba yake (Ali bin Abitalib) mbele ya watu wa Kufa! Ibnu Yaqtar alipokwenda juu ya kasri, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! Mimi ni mjumbe wa Hussein (a.s), ambaye ni mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) na ni mtoto wa bint yake (Fatima); basi fanyeni hima kumsaidia, na simameni dhidi ya [[mwana wa Marjana]]." [67] Ubaidullah alipoona hivyo, aliamuru atupwe chini kutoka juu ya kasri, na hatima yake ikawa ni kuuawa kishahidi. [68] Habari za kuuawa kishahidi kwa Abdullahi ibn Yaqtar, pamoja na habari za kuuawa kishahidi kwa Muslim na [[Hani bin Urwa|Hani]], zilimfikia Imamu Hussein (a.s) akiwa kwenye makazi ya eneo la [[Zubaleh]]. [69] | Imesimuliwa ya kwamba; kabla ya Imamu Hussein (a.s) kupata habari kuhusu kifo cha kishahidi cha Muslim, alimtuma [[Abdullah ibn Yaqtar]], kaka yake (Ibnu Yaqta) wa kunyonya [66], kwa Muslim. Hata hivyo, alitekwa na [[Huswein bin Tamimi]] na kupelekwa kwa Ubaidullahi bin Ziad. Ubaidullahi aliamuru Abdullah ibn Yaqtar apelekwe juu ya kasri ya Dar al-Amara ili amlaani Imamu Hussein (a.s) na baba yake (Ali bin Abitalib) mbele ya watu wa Kufa! Ibnu Yaqtar alipokwenda juu ya kasri, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! Mimi ni mjumbe wa Hussein (a.s), ambaye ni mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) na ni mtoto wa bint yake (Fatima); basi fanyeni hima kumsaidia, na simameni dhidi ya [[mwana wa Marjana]]." [67] Ubaidullah alipoona hivyo, aliamuru atupwe chini kutoka juu ya kasri, na hatima yake ikawa ni kuuawa kishahidi. [68] Habari za kuuawa kishahidi kwa Abdullahi ibn Yaqtar, pamoja na habari za kuuawa kishahidi kwa Muslim na [[Hani bin Urwa|Hani]], zilimfikia Imamu Hussein (a.s) akiwa kwenye makazi ya eneo la [[Zubaleh]]. [69] | ||
=== Barua ya Imamu Hussein kwa Gavana wa Basra === | |||
:''Makala Asili: [[Barua ya Imam Hussein kwa watu wa Basra]]'' | :''Makala Asili: [[Barua ya Imam Hussein kwa watu wa Basra]]'' | ||
Mstari 159: | Mstari 155: | ||
Msafara wa Imamu Hussein (a.s) ulisogea kutoka upande wa kushoto wa barabara za "[[Udhaibu]]" na "[[Qadisiyyah]]" na kufuata njia nyengine, Hurru naye akawa pamoja naye katika msafara huo. [83] | Msafara wa Imamu Hussein (a.s) ulisogea kutoka upande wa kushoto wa barabara za "[[Udhaibu]]" na "[[Qadisiyyah]]" na kufuata njia nyengine, Hurru naye akawa pamoja naye katika msafara huo. [83] | ||
=== Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi === | === Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi === | ||
Mstari 174: | Mstari 169: | ||
Imepokewa kwamba; baada ya wao kutua Karbala, Imamu Hussein (a.s) aliwakusanya watoto wake, ndugu zake na familia yake na akawatazama na kulia. Kisha akasema: “Ewe Mola, hakika sisi ni familia ya Mtume wako Muhammad (s.a.w.w) ambao tumetolewa kutoka kwenye makazi yetu na mji wetu, hali tukiwa katika mfazaiko kuchanganyikiwa na kutangatanga, huku tukiwa tumeliacha kaburi la babu yetu [Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) nyuma yetu), kutokana na kushambuliwa na kuhujumiwa na [[Bani Umayya]]. Ewe Mola tuchukulie haki yetu kutoka kwao na utusaidie dhidi ya madhalimu. Kisha akawageukia masahaba zake na kusema: | Imepokewa kwamba; baada ya wao kutua Karbala, Imamu Hussein (a.s) aliwakusanya watoto wake, ndugu zake na familia yake na akawatazama na kulia. Kisha akasema: “Ewe Mola, hakika sisi ni familia ya Mtume wako Muhammad (s.a.w.w) ambao tumetolewa kutoka kwenye makazi yetu na mji wetu, hali tukiwa katika mfazaiko kuchanganyikiwa na kutangatanga, huku tukiwa tumeliacha kaburi la babu yetu [Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) nyuma yetu), kutokana na kushambuliwa na kuhujumiwa na [[Bani Umayya]]. Ewe Mola tuchukulie haki yetu kutoka kwao na utusaidie dhidi ya madhalimu. Kisha akawageukia masahaba zake na kusema: | ||
{{pull quote | {{pull quote | ||
Mstari 180: | Mstari 174: | ||
}} | }} | ||
::''"Watu ni watumwa wa dunia, na dini ipo kwenye ncha ya ndimi zao tu, wanajishikiza nayo kwa kiasi cha mahitajio ya rizki zao tu, na wanapojaribiwa na kutahiniwa kupitia balaa fulani, basi ni wachache tu ndio watakaobakia katika dini." Rejea kitabu Maqtalu Al-Hussein cha Kharazmi, juz 1, uk 337.'' | ::''"Watu ni watumwa wa dunia, na dini ipo kwenye ncha ya ndimi zao tu, wanajishikiza nayo kwa kiasi cha mahitajio ya rizki zao tu, na wanapojaribiwa na kutahiniwa kupitia balaa fulani, basi ni wachache tu ndio watakaobakia katika dini." Rejea kitabu Maqtalu Al-Hussein cha Kharazmi, juz 1, uk 337.'' | ||
Baada ya hapo, Imamu alinunua ardhi ya Karbala, yeye ukubwa wa maili nne kwa maili nne, kutoka kwa wakazi wa huko kwa thamani ya dirham elfu sitini na akaweka nao sharti ya kwamba; wawaongoze watu kwenye kaburi lake na wawahudumie kwa muda wa siku tatu watakaokuja kulizuru kabiri lake . [94] | Baada ya hapo, Imamu alinunua ardhi ya Karbala, yeye ukubwa wa maili nne kwa maili nne, kutoka kwa wakazi wa huko kwa thamani ya dirham elfu sitini na akaweka nao sharti ya kwamba; wawaongoze watu kwenye kaburi lake na wawahudumie kwa muda wa siku tatu watakaokuja kulizuru kabiri lake . [94] | ||
[[Har bin Yazid Riahi]] alimwandikia barua Ubaidullahi bin Ziad na kumfahamisha kuhusu kutua kwa Husein (a.s) katika ardhi hiyo. [95] Kufuatia barua hiyo, Ubaidullahi alimwandikia barua Imamu Hussein (a.s) isemayo: | [[Har bin Yazid Riahi]] alimwandikia barua Ubaidullahi bin Ziad na kumfahamisha kuhusu kutua kwa Husein (a.s) katika ardhi hiyo. [95] Kufuatia barua hiyo, Ubaidullahi alimwandikia barua Imamu Hussein (a.s) isemayo: | ||
::''"Ewe Hussein, nimepata habari kuhusu kutua kwako katika ardhi ya Karbala; Amirul-Muuminina - Yazid bin Muawia - ameniamrisha nisipwese wala nisilishibishe tumbo langu mpaka nikukutanishe na Mwenyezi Mungu Mjuzi na Mpole, (yaani nikutoe roho), au nikulazimishe uyakubali yangu mimi na uukubali utawala na serikali ya [[Yazid bin Muawiya]], wassalaam."''[96] | ::''"Ewe Hussein, nimepata habari kuhusu kutua kwako katika ardhi ya Karbala; Amirul-Muuminina - Yazid bin Muawia - ameniamrisha nisipwese wala nisilishibishe tumbo langu mpaka nikukutanishe na Mwenyezi Mungu Mjuzi na Mpole, (yaani nikutoe roho), au nikulazimishe uyakubali yangu mimi na uukubali utawala na serikali ya [[Yazid bin Muawiya]], wassalaam."''[96] | ||
Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97] | Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97] | ||
=== Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala === | === Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala === | ||
Siku ya [[mwezi tatu Muharram]] [[Umar bin Sa'ad]] aliingia [[Karbala]] akiwa pamoja ja jeshi la watu elfu nne watoka mji wa [[Kufa]]. [98] Kuhusiana na msukumo na ushawishi uliomfanya Omar bin Sa'ad aende Karbala, imeelezwa ya kwamba; Ubadullahi bin Ziad almpa cheo ja ujemedari wa kuongoza jeshi la watu wa Kufa lenye idadi ya watu elfu nne, na kumtaka aende kwenye vitongoji vya [[Rai]] na [[Dastabiy]] na apambane na [[Wadailami]] (Wairani watokao mji wa Dailam ulioko Kaskazini mwa Iran) wanaishi ndani ya viutongoji hivyo. Pia Ubaidullahi alikuwa tayari kashamwandikia Omar bin Sa'ad waraka wa kumtawalisha na kumpa uongozi wa mji wa Rai (ulioko Iran). Omar bin Sa'ad pamoja na wafuasi wake wakaweka kambi yao katika kitongoji kijulikanacho kwa jin lana 'Hammam A'ayun' kiliopo nje ya mji wa Kufa. Omara bin Sa'ad alikuwa akijitayarisha kwa ajili ya kwenda Rai, ila baada ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa, Ibnu Ziad akamwamrisha Omar bin Sa'ad aende kupambana na Imamu Hussein (a.s), na baada ya kumaliza mapambano hayo aelekee mjini Rai. Ibnu Zian hakufurahia kwenda kupambana na Imamu Hussein (a.s), kwa hiyo alimwomba Ubaidullahi amruhusu aende Rai badala yeye kupambana na Imamu Hussein (a.s). Ubaidullahi alikataa maombi ya Omar bin Sa'ad, na akamshurutisha kama atakataa kupigana na Hussein (a.s), basi ajiuzulu nafasi ya uongozi wa mji wa Rai. [99] Au katiba ya baba yake na baba yake, na uthabiti wake, kwa shida, ambayo iko katika eneo hili, ambalo. ina nguvu sana. Baada ya omar bin Sa'ad kuona sistizo la nguvu kutoka kwa Ubaidullahi bin Ziad, akaamua kukubali kwenda Karbala. 100 Hivyo akaondoka kuelekea Karbala yeye pamoja na jeshi lake, na kesho yake ambayo Imamu Hussein alfika Kitongoji cha [[Nainawa]], Omar bin Sa'ad akwa tayari ameshafika Karbala. [101] | Siku ya [[mwezi tatu Muharram]] [[Umar bin Sa'ad]] aliingia [[Karbala]] akiwa pamoja ja jeshi la watu elfu nne watoka mji wa [[Kufa]]. [98] Kuhusiana na msukumo na ushawishi uliomfanya Omar bin Sa'ad aende Karbala, imeelezwa ya kwamba; Ubadullahi bin Ziad almpa cheo ja ujemedari wa kuongoza jeshi la watu wa Kufa lenye idadi ya watu elfu nne, na kumtaka aende kwenye vitongoji vya [[Rai]] na [[Dastabiy]] na apambane na [[Wadailami]] (Wairani watokao mji wa Dailam ulioko Kaskazini mwa Iran) wanaishi ndani ya viutongoji hivyo. Pia Ubaidullahi alikuwa tayari kashamwandikia Omar bin Sa'ad waraka wa kumtawalisha na kumpa uongozi wa mji wa Rai (ulioko Iran). Omar bin Sa'ad pamoja na wafuasi wake wakaweka kambi yao katika kitongoji kijulikanacho kwa jin lana 'Hammam A'ayun' kiliopo nje ya mji wa Kufa. Omara bin Sa'ad alikuwa akijitayarisha kwa ajili ya kwenda Rai, ila baada ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa, Ibnu Ziad akamwamrisha Omar bin Sa'ad aende kupambana na Imamu Hussein (a.s), na baada ya kumaliza mapambano hayo aelekee mjini Rai. Ibnu Zian hakufurahia kwenda kupambana na Imamu Hussein (a.s), kwa hiyo alimwomba Ubaidullahi amruhusu aende Rai badala yeye kupambana na Imamu Hussein (a.s). Ubaidullahi alikataa maombi ya Omar bin Sa'ad, na akamshurutisha kama atakataa kupigana na Hussein (a.s), basi ajiuzulu nafasi ya uongozi wa mji wa Rai. [99] Au katiba ya baba yake na baba yake, na uthabiti wake, kwa shida, ambayo iko katika eneo hili, ambalo. ina nguvu sana. Baada ya omar bin Sa'ad kuona sistizo la nguvu kutoka kwa Ubaidullahi bin Ziad, akaamua kukubali kwenda Karbala. 100 Hivyo akaondoka kuelekea Karbala yeye pamoja na jeshi lake, na kesho yake ambayo Imamu Hussein alfika Kitongoji cha [[Nainawa]], Omar bin Sa'ad akwa tayari ameshafika Karbala. [101] | ||
=== Mazungumzo kati ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad === | === Mazungumzo kati ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad === | ||
Mstari 203: | Mstari 192: | ||
Baada ya kurejea kwa Kathir bin Abdullah, Omar bin Sa'ad alimwomba [[Qurratu bin Qais Handhaliy]] [104] aende kwa Imamu Hussein (a.s) naye akakubali. Katika kujibu ujumbe wa Omar Sa;ad kupitia Qurratu, Hussein (a.s) alisema: “Watu wa mji wako waliniandikia barua wakinitaka nije hapa. Sasa, kama hawanitaki, nitarudi. "Umar bin Sa'ad alifurahishwa na jibu hili". [105] Kwa hiyo alimwandikia barua Ibn Ziad na kumfahamisha kuhusu maneno ya Hussein bin Ali (a.s). [106] [[Ubaidullah bin Ziad]], akijibu barua ya Omar Sa'ad, alimtaka achukue kiapo cha utiifu kutoka kwa Hussein (a.s) na masahaba zake cha kumtii Yazid na kumkubali kama ni khalifa. [107] | Baada ya kurejea kwa Kathir bin Abdullah, Omar bin Sa'ad alimwomba [[Qurratu bin Qais Handhaliy]] [104] aende kwa Imamu Hussein (a.s) naye akakubali. Katika kujibu ujumbe wa Omar Sa;ad kupitia Qurratu, Hussein (a.s) alisema: “Watu wa mji wako waliniandikia barua wakinitaka nije hapa. Sasa, kama hawanitaki, nitarudi. "Umar bin Sa'ad alifurahishwa na jibu hili". [105] Kwa hiyo alimwandikia barua Ibn Ziad na kumfahamisha kuhusu maneno ya Hussein bin Ali (a.s). [106] [[Ubaidullah bin Ziad]], akijibu barua ya Omar Sa'ad, alimtaka achukue kiapo cha utiifu kutoka kwa Hussein (a.s) na masahaba zake cha kumtii Yazid na kumkubali kama ni khalifa. [107] | ||
=== Jaribio la Ibn Ziad la kupeleka jeshi Karbala === | === Jaribio la Ibn Ziad la kupeleka jeshi Karbala === | ||
Mstari 214: | Mstari 202: | ||
Watu walipokusanyika Nukhaila, Ubaidullah alimuamuru [[Haswin bin Numair]], [[Hajjar bin Abjar]], [[Shabath bin Rib-'i]] na [[Shimru bin Dhil al-Jushan]] kujiunga na kambi yake ili kumsaidia Ibnu Sa'ad. [114] Shimru alikuwa ndiye mtu wa kwanza kutekeleza amri yake.[115] Baada ya Shimru akafuatia Zaid (Yazid) bin Rakaab al-Kalbi akiwa pamoja na watu elfu mbili, Haswin bin Numair Sakuni pamoja na watu elfu nne, [[Musabu Mari]] (Mozair bin Rahina Maaziniy) pamoja na watu elfu tatu, [116] [[Haswin bin Tamim Tahawiy]] akiwa na askari elfu mbili [117] na [[Nasru bin Harbah]] (Harashah) pamoja na jeshi la watu elfu mbili kutoka mji wa Kufa, wote kwa jumla wakaenda kujiunga na jeshi la Omar bin Sa'ad. [118] Kisha Ibn Ziad akamtuma mtu kwa Shabath bin Rabi'i na kumtaka aende kufungamana na Omar bin Saad. Shabbat naye akajiunga na Omar bin Sa'ad pamoja na wapanda farasi elfu moja. [119] Baada ya Shabath akafuatia Hajjar bin Abjar akiwa na jeshi la watu elfu moja. [120] Baada yake akaja [[Muhammad bin Ash'ath bin Qais Al- Kindiy]] pamoja na askari elfu moja. [121] Kisha akaja [[Harith bin Yazid bin Ruwaim]], naye akashikamana na makundi hayo na kuelekea Karbala. [122] Kila kukicha Ubaidullah bin Ziad akawa anatuma kundi la askari wa Kufi kwenda Karbala asubuhi na jioni. Mara alikuwa akituma watu 20, 30, 50, na wakati mwingine watu wafikao100. [123] Haadi ilipofika mwezi 6 Muharram, Idadi ya jeshi la Omar bin Sa'ad ilifikia idadi ya zaidi ya watu elfu ishirini, [124] huku Ubaidullah akiwa amemfanya Omar bin Sa'ad kuwa ndiye mkuu wa jeshi zima. | Watu walipokusanyika Nukhaila, Ubaidullah alimuamuru [[Haswin bin Numair]], [[Hajjar bin Abjar]], [[Shabath bin Rib-'i]] na [[Shimru bin Dhil al-Jushan]] kujiunga na kambi yake ili kumsaidia Ibnu Sa'ad. [114] Shimru alikuwa ndiye mtu wa kwanza kutekeleza amri yake.[115] Baada ya Shimru akafuatia Zaid (Yazid) bin Rakaab al-Kalbi akiwa pamoja na watu elfu mbili, Haswin bin Numair Sakuni pamoja na watu elfu nne, [[Musabu Mari]] (Mozair bin Rahina Maaziniy) pamoja na watu elfu tatu, [116] [[Haswin bin Tamim Tahawiy]] akiwa na askari elfu mbili [117] na [[Nasru bin Harbah]] (Harashah) pamoja na jeshi la watu elfu mbili kutoka mji wa Kufa, wote kwa jumla wakaenda kujiunga na jeshi la Omar bin Sa'ad. [118] Kisha Ibn Ziad akamtuma mtu kwa Shabath bin Rabi'i na kumtaka aende kufungamana na Omar bin Saad. Shabbat naye akajiunga na Omar bin Sa'ad pamoja na wapanda farasi elfu moja. [119] Baada ya Shabath akafuatia Hajjar bin Abjar akiwa na jeshi la watu elfu moja. [120] Baada yake akaja [[Muhammad bin Ash'ath bin Qais Al- Kindiy]] pamoja na askari elfu moja. [121] Kisha akaja [[Harith bin Yazid bin Ruwaim]], naye akashikamana na makundi hayo na kuelekea Karbala. [122] Kila kukicha Ubaidullah bin Ziad akawa anatuma kundi la askari wa Kufi kwenda Karbala asubuhi na jioni. Mara alikuwa akituma watu 20, 30, 50, na wakati mwingine watu wafikao100. [123] Haadi ilipofika mwezi 6 Muharram, Idadi ya jeshi la Omar bin Sa'ad ilifikia idadi ya zaidi ya watu elfu ishirini, [124] huku Ubaidullah akiwa amemfanya Omar bin Sa'ad kuwa ndiye mkuu wa jeshi zima. | ||
=== Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi === | === Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi === | ||
Mstari 220: | Mstari 207: | ||
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, [[Habib bin Madhahir Asadi]], alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa [[kabila la Bani Asad]] na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa [[Azraq bin Harbi Saidawiy]], waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto [[Furati]] na wakazuia msaada wao. Baada ya mzozo wa hapa na pale, Bani Asad wakarudi majumbani mwao na Habib akarudi kwa Hussein peke yake. [125] | Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, [[Habib bin Madhahir Asadi]], alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa [[kabila la Bani Asad]] na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa [[Azraq bin Harbi Saidawiy]], waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto [[Furati]] na wakazuia msaada wao. Baada ya mzozo wa hapa na pale, Bani Asad wakarudi majumbani mwao na Habib akarudi kwa Hussein peke yake. [125] | ||
=== Mazungumzo ya mwisho ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad === | |||
:''Makala Asili: [[Mazungumzo kati ya Imam Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad]]'' | :''Makala Asili: [[Mazungumzo kati ya Imam Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad]]'' | ||
Mstari 227: | Mstari 214: | ||
Baadhi ya watu, wakinukuu baadhi ya ripoti za kihistoria kuhusiana na mazungumzo hayo pamoja na maneno mengine ya Imamu Hussein (a.s), wamepinga kuwepo kwa aina yoyote ile ya pendekezo la Imamu Hussein (a.s) la kujisalimisha kwa Yazid au kwenda kwake.[131] Kwa upande mwingine, baadhi ya watafiti wanaamini kwamba; Barua ya Omar Sa'ad aliyomwandikia Yazid bin Muawia kufuatia mazungumzo haya inafichua madhumuni na maudhui ya mazungumzo haya. [132] Baada ya mazungumzo ya Omar bin Sa'ad na Imamu Hussein (a.s), Omar bin Sa'ad alimtumia barua Ubaidullah bin Ziad akimuelezea ya kwamba: “... Hussein bin Ali (a.s) alifanya mapatano nami, na kwamba yeye atarudi mahali alipotoka, au atakwenda katika moja ya maeneo ya Waislamu na kutosheka na haki na wajibu sawa na Waislamu wengine, au pia yuko tayari kuenda kwa [[Yazid]] na kukubaliana na lolote atakaloamrishwa na Yazid kulitekeleza, na hilo ni jambo murwa kuridhika kwenu (Yazid na vibaraka wake) na ustawi wa taifa kwa jumla.” [133] Baada ya Ubaidullah kuisoma barua hiyo alisema: “Bila shaka ndiyo barua inayostahiki kutoka kwa mtu ambaye ni kiongozi na amiru anaye wapendelea kheri watu wake!" Baada ya Ubaidullahi kuisoma barua hiyo, alikuwa karibu kukubali pendekezo hilo, ila [[Shimru bin Dhil al-Jaushan]] akawa ndio kizuizi. [134] | Baadhi ya watu, wakinukuu baadhi ya ripoti za kihistoria kuhusiana na mazungumzo hayo pamoja na maneno mengine ya Imamu Hussein (a.s), wamepinga kuwepo kwa aina yoyote ile ya pendekezo la Imamu Hussein (a.s) la kujisalimisha kwa Yazid au kwenda kwake.[131] Kwa upande mwingine, baadhi ya watafiti wanaamini kwamba; Barua ya Omar Sa'ad aliyomwandikia Yazid bin Muawia kufuatia mazungumzo haya inafichua madhumuni na maudhui ya mazungumzo haya. [132] Baada ya mazungumzo ya Omar bin Sa'ad na Imamu Hussein (a.s), Omar bin Sa'ad alimtumia barua Ubaidullah bin Ziad akimuelezea ya kwamba: “... Hussein bin Ali (a.s) alifanya mapatano nami, na kwamba yeye atarudi mahali alipotoka, au atakwenda katika moja ya maeneo ya Waislamu na kutosheka na haki na wajibu sawa na Waislamu wengine, au pia yuko tayari kuenda kwa [[Yazid]] na kukubaliana na lolote atakaloamrishwa na Yazid kulitekeleza, na hilo ni jambo murwa kuridhika kwenu (Yazid na vibaraka wake) na ustawi wa taifa kwa jumla.” [133] Baada ya Ubaidullah kuisoma barua hiyo alisema: “Bila shaka ndiyo barua inayostahiki kutoka kwa mtu ambaye ni kiongozi na amiru anaye wapendelea kheri watu wake!" Baada ya Ubaidullahi kuisoma barua hiyo, alikuwa karibu kukubali pendekezo hilo, ila [[Shimru bin Dhil al-Jaushan]] akawa ndio kizuizi. [134] | ||
=== Mwezi 7 Muharram na kufungiwa maji === | === Mwezi 7 Muharram na kufungiwa maji === | ||
Mstari 235: | Mstari 221: | ||
Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo Imamu Hussein (a.s) alipomtuma kaka yake ([[Abbas bin Ali bin Abi Talib (a.s)|Abbas]]) pamoja na wapanda farasi thelathini, watembeaji kwa miguu ishirini, wakiwa na vibuyu ishirini kwenda kuchota maji. Wakiwa katika usiku wa kiza huku [[Nafi'i bin Hilali Al-bajali]] mbele na bendera yake, walianza safari yao na hatiame kufika mto wa Furati (Euphrates). Hata hivyo, Amr bin Hajjaj, ambaye alikuwa na jukumu la kuulinda mto huo, alikabiliana na masahaba wa Imamu Hussein (a.s). Katika hali hiyo miongoni mwa masahaba hao wakawa wanajaza maji, huku wengine -akiwemo Abul Fadhli na Nafi'i bin Hilali Al-bajali- wakiwa wanapambana na kuwalinda wachotaji hao maji. Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136] | Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo Imamu Hussein (a.s) alipomtuma kaka yake ([[Abbas bin Ali bin Abi Talib (a.s)|Abbas]]) pamoja na wapanda farasi thelathini, watembeaji kwa miguu ishirini, wakiwa na vibuyu ishirini kwenda kuchota maji. Wakiwa katika usiku wa kiza huku [[Nafi'i bin Hilali Al-bajali]] mbele na bendera yake, walianza safari yao na hatiame kufika mto wa Furati (Euphrates). Hata hivyo, Amr bin Hajjaj, ambaye alikuwa na jukumu la kuulinda mto huo, alikabiliana na masahaba wa Imamu Hussein (a.s). Katika hali hiyo miongoni mwa masahaba hao wakawa wanajaza maji, huku wengine -akiwemo Abul Fadhli na Nafi'i bin Hilali Al-bajali- wakiwa wanapambana na kuwalinda wachotaji hao maji. Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136] | ||
=== Siku ya Tasua === | |||
:''Makala Asili: [[Siku ya Tasua]]'' | :''Makala Asili: [[Siku ya Tasua]]'' | ||
Mstari 245: | Mstari 231: | ||
Jioni ya siku ya "Tasu'a", Omar bin Sa’ad alinadi akisema: "Enyi jeshi la Mungu! Pandeni vipando vyenu minibashirie. Askari wakapanda na kuelekea kwenye kambi ya Imamu Husein (a.s). [144] Imamu alipoelewa nia chafu za maadui zake, alimwelekea ndugu yake Abbas na kumwambia: “Kama unaweza kuwashawishi kuchelewesha vita mpaka kesho itakuwa ni vyema, ili usiku wa leo tupate muda wa kumuomba na kumwabudu Mungu wetu. Mungu anaelewa ya kwamba; mimi napenda sana kusali na kusoma [[Qur'an Kareem|Qur’an]].” [145] Abbas akaenda kwa askari wa maadui zao na kuwataka wampe muhula usiku ule mmoja. Ibn Sa'ad alikubali kuwapa muhula wa usiku mmoja. [146] Siku ile, mahema ya Imamu Hussein (a.s) na familia yake pamoja na mahema ya masahaba zake, yakawa wamezingirwa na maadui zao. [147] | Jioni ya siku ya "Tasu'a", Omar bin Sa’ad alinadi akisema: "Enyi jeshi la Mungu! Pandeni vipando vyenu minibashirie. Askari wakapanda na kuelekea kwenye kambi ya Imamu Husein (a.s). [144] Imamu alipoelewa nia chafu za maadui zake, alimwelekea ndugu yake Abbas na kumwambia: “Kama unaweza kuwashawishi kuchelewesha vita mpaka kesho itakuwa ni vyema, ili usiku wa leo tupate muda wa kumuomba na kumwabudu Mungu wetu. Mungu anaelewa ya kwamba; mimi napenda sana kusali na kusoma [[Qur'an Kareem|Qur’an]].” [145] Abbas akaenda kwa askari wa maadui zao na kuwataka wampe muhula usiku ule mmoja. Ibn Sa'ad alikubali kuwapa muhula wa usiku mmoja. [146] Siku ile, mahema ya Imamu Hussein (a.s) na familia yake pamoja na mahema ya masahaba zake, yakawa wamezingirwa na maadui zao. [147] | ||
=== Matukio ya usiku wa Ashura === | |||
:''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]'' | :''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]'' | ||
Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, [[Imamu Hussein (a.s)]] aliwakusanya masahaba zake na baada ya kumhimidi Mwenyezi Mungu akawaambia: “Nadhani hii ndiyo siku ya mwisho ya sisi kuwa na muhula kutoka kwa watu hawa. Fahamuni kwamba nilikupeni ruhusa ya kuondoka na kwenda majumbani mwenu. Hivyo basi kila mtu yupo huru kuondoka bila y akhofu yoyote, nendeni kwa amani nami nimeridhika kukurudishieni [[viapo vyenu vya utiifu]] wenu juu yangu. Sasa kwa vile giza la usiku limekufunikeni, basi lichukue giza hilo kama ndio kipando chenu na nendeni zenuni.” Katika wakati huo, kwanza familia ya Imamu na kisha masahaba wa Imamu wote -kupitia ibara za hamasa- walitangaza uaminifu wao katika kushikanmana na Imamu Hussein (a.s), wao walisisitiza juu ya kutoa muhanga maisha yao kwa ajili ya kumtetea Imamu Hussein (a.s). Ibara zao za hamasa zimerikodiwa katika vyanzo kadhaa vya kihistoria. [148] | Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, [[Imamu Hussein (a.s)]] aliwakusanya masahaba zake na baada ya kumhimidi Mwenyezi Mungu akawaambia: “Nadhani hii ndiyo siku ya mwisho ya sisi kuwa na muhula kutoka kwa watu hawa. Fahamuni kwamba nilikupeni ruhusa ya kuondoka na kwenda majumbani mwenu. Hivyo basi kila mtu yupo huru kuondoka bila y akhofu yoyote, nendeni kwa amani nami nimeridhika kukurudishieni [[viapo vyenu vya utiifu]] wenu juu yangu. Sasa kwa vile giza la usiku limekufunikeni, basi lichukue giza hilo kama ndio kipando chenu na nendeni zenuni.” Katika wakati huo, kwanza familia ya Imamu na kisha masahaba wa Imamu wote -kupitia ibara za hamasa- walitangaza uaminifu wao katika kushikanmana na Imamu Hussein (a.s), wao walisisitiza juu ya kutoa muhanga maisha yao kwa ajili ya kumtetea Imamu Hussein (a.s). Ibara zao za hamasa zimerikodiwa katika vyanzo kadhaa vya kihistoria. [148] | ||
Maneno ya Imamu Hussein kuhusiana na wafuasi wake usiku wa kuamkia Ashura | Maneno ya Imamu Hussein kuhusiana na wafuasi wake usiku wa kuamkia Ashura | ||
Mstari 258: | Mstari 243: | ||
}} | }} | ||
::''"Tafsiri yake ni kwamba; Kwa hakika mimi sijawaona wafuasi bora wenye kujua fadhila kama wafuasi wangu mimi, na wala sijaona familia njema zaidi na yenye huruma zaidi kuliko familia yangu mimi, basi Mola akulipeni jaza njema kwa kheri zenu juu yangu." Rejea kitabu cha Sheikh Mofid, Al-Irshad, chapa ya mwaka 1399 Shamsia, Juzuu 2, uk 91'' | ::''"Tafsiri yake ni kwamba; Kwa hakika mimi sijawaona wafuasi bora wenye kujua fadhila kama wafuasi wangu mimi, na wala sijaona familia njema zaidi na yenye huruma zaidi kuliko familia yangu mimi, basi Mola akulipeni jaza njema kwa kheri zenu juu yangu." Rejea kitabu cha Sheikh Mofid, Al-Irshad, chapa ya mwaka 1399 Shamsia, Juzuu 2, uk 91'' | ||
=== Wasiwasi wa Bibi Zainab (a.s) === | === Wasiwasi wa Bibi Zainab (a.s) === | ||
Mstari 266: | Mstari 250: | ||
Habibu bin Madhahir alitoa wito kwa masahaba wa Hussein (a.s) kukusanyika pamoja. Kisha akawaambia [[Bani Hashim]]: Rudini kwenye mahema yanu; Kisha akawageukia masahaba wenzake na kuwasimulia aliyoyasikia kutoka kwa Nafi'i. Wote kwa pamoja wakasema: "Tunaapa kwa Mungu aliyetubariki na kutujaalia kuwa katika nafasi hii, lau tusingesubiri amri ya Hussein a.s), tungewashambulia kwa haraka ili kuyatakasa maisha yetu na kuyaangaza macho yetu (kwa nuru ya Mola wetu)." [[Habibu bin Madhahir]], pamoja na masahaba wenzake, wakasogea hatua baada ya hatua hadi kwenye hema la Ahlul-Bait (a.s) wakiwa na panga zilizochomolewa kutoka katika ala zake, na wote kwa sauti moja na wakasema: “Enyi watoharifu wa kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w! Hizi ndizo panga za wanaume na vijana wako shujaa, ambazo hazitarudi alani mpaka zikate shingo za wenye dhamira mbaya juu yenu. Na hii ni mikuki ya wana wenu, iliowapa ya kwamba haitaingia ila kwenye vifua vya wale waliokuiteni kisha wakakufanyieni khiana.” [150] | Habibu bin Madhahir alitoa wito kwa masahaba wa Hussein (a.s) kukusanyika pamoja. Kisha akawaambia [[Bani Hashim]]: Rudini kwenye mahema yanu; Kisha akawageukia masahaba wenzake na kuwasimulia aliyoyasikia kutoka kwa Nafi'i. Wote kwa pamoja wakasema: "Tunaapa kwa Mungu aliyetubariki na kutujaalia kuwa katika nafasi hii, lau tusingesubiri amri ya Hussein a.s), tungewashambulia kwa haraka ili kuyatakasa maisha yetu na kuyaangaza macho yetu (kwa nuru ya Mola wetu)." [[Habibu bin Madhahir]], pamoja na masahaba wenzake, wakasogea hatua baada ya hatua hadi kwenye hema la Ahlul-Bait (a.s) wakiwa na panga zilizochomolewa kutoka katika ala zake, na wote kwa sauti moja na wakasema: “Enyi watoharifu wa kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w! Hizi ndizo panga za wanaume na vijana wako shujaa, ambazo hazitarudi alani mpaka zikate shingo za wenye dhamira mbaya juu yenu. Na hii ni mikuki ya wana wenu, iliowapa ya kwamba haitaingia ila kwenye vifua vya wale waliokuiteni kisha wakakufanyieni khiana.” [150] | ||
=== Matukio ya Siku ya Ashura === | |||
:''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]'' | :''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]'' | ||
Mstari 277: | Mstari 261: | ||
Baada ya kifo cha kishahidi cha masahaba kutoka ukoo wa Bani Hashim, Imamu Hussein (a.s.) aliingia vitani, lakini kwa muda fulani hakuna hata mtu mmoja kutoka upande wa jeshi la watu [[Kufa]] aliyejitokeza kukabiliana naye. Alipokua vitani, licha ya upweke wa Hussein (a.s) na majeraha mazito aliopata kichwani na mwilini mwake, ila bado Hussein (a.s) alionekana kuuzungusha upanga wake bila woga dhidi ya maadui zake. [159] | Baada ya kifo cha kishahidi cha masahaba kutoka ukoo wa Bani Hashim, Imamu Hussein (a.s.) aliingia vitani, lakini kwa muda fulani hakuna hata mtu mmoja kutoka upande wa jeshi la watu [[Kufa]] aliyejitokeza kukabiliana naye. Alipokua vitani, licha ya upweke wa Hussein (a.s) na majeraha mazito aliopata kichwani na mwilini mwake, ila bado Hussein (a.s) alionekana kuuzungusha upanga wake bila woga dhidi ya maadui zake. [159] | ||
=== Kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein === | === Kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein === | ||
Mstari 292: | Mstari 275: | ||
Baada ya Imamu Hussein kuanguka kutoka kwenye farasi wake, Dul-Janahi (Farasi wa Imamu Hussein) alikwenda pembeni yake na akawa anuzunguka mwili wa Imamu Hussein aliyekuwa amepoteza fahamu, huku akimnusa na kumbusu. Kisha akajipaka kwenye paji la uso wake damu ya mwili wa Imamu Hussein (a.s), alionekana kuikita miguu yake chini na kuinamisha kichwa chake, kisha akaelekea kwenye mahema. [178] Imam Baqir (a.s) katika moja ya riwaya anasema: "Farasi huyo wakati alipokuwa anarudi mahemani alikuwa akisema:''الظليمة ، الظليمة ، من اُمّة قتلتْ ابن بنت نبيّها ; "Dhulma ilioje! Dhulma ilioje! kutoka katika kaumu hii'', ambapo wao wameamua kumuuwa mtoto wa binti ya Mtume Wao (s.a.w.w)". [179] Dhul -Janahi Alipofika kwenye mahemani, alikuwa akilia na kupiga kichwa chake chini. Familia ya Imamu Hussein walipomwona Farasi wa Imamu Hussein katika hali hiyo, walitoka nje ya mahema yao na kumkusanyikia na kumpapasa kichwani, uso na miguuni mwake. Kulthum akaweka mikono yake miwili juu ya kichwa chake na kusema: "Waa Muhammadaah Waa Jaddaah Waa Nabiyyaah.." | Baada ya Imamu Hussein kuanguka kutoka kwenye farasi wake, Dul-Janahi (Farasi wa Imamu Hussein) alikwenda pembeni yake na akawa anuzunguka mwili wa Imamu Hussein aliyekuwa amepoteza fahamu, huku akimnusa na kumbusu. Kisha akajipaka kwenye paji la uso wake damu ya mwili wa Imamu Hussein (a.s), alionekana kuikita miguu yake chini na kuinamisha kichwa chake, kisha akaelekea kwenye mahema. [178] Imam Baqir (a.s) katika moja ya riwaya anasema: "Farasi huyo wakati alipokuwa anarudi mahemani alikuwa akisema:''الظليمة ، الظليمة ، من اُمّة قتلتْ ابن بنت نبيّها ; "Dhulma ilioje! Dhulma ilioje! kutoka katika kaumu hii'', ambapo wao wameamua kumuuwa mtoto wa binti ya Mtume Wao (s.a.w.w)". [179] Dhul -Janahi Alipofika kwenye mahemani, alikuwa akilia na kupiga kichwa chake chini. Familia ya Imamu Hussein walipomwona Farasi wa Imamu Hussein katika hali hiyo, walitoka nje ya mahema yao na kumkusanyikia na kumpapasa kichwani, uso na miguuni mwake. Kulthum akaweka mikono yake miwili juu ya kichwa chake na kusema: "Waa Muhammadaah Waa Jaddaah Waa Nabiyyaah.." | ||
"Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" [180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein (a.s). [181] | "Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" [180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein (a.s). [181] | ||
=== Kupora mahemani === | === Kupora mahemani === | ||
Mstari 301: | Mstari 283: | ||
Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (a.s) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni: | Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (a.s) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni: | ||
{{col-begin|2}} | |||
* [[Is-haq bin Hawiyyah]] [187] | * [[Is-haq bin Hawiyyah]] [187] | ||
* [[Akhnas bin Marthad]] [188] | * [[Akhnas bin Marthad]] [188] | ||
Mstari 312: | Mstari 294: | ||
* [[Hani bin Shabthi Khadhrami]] | * [[Hani bin Shabthi Khadhrami]] | ||
* [[Usaidu bin Malik]] [189] | * [[Usaidu bin Malik]] [189] | ||
{{End}} | |||
=== Kupeleka vichwa vya mashahidi huko Kufa === | === Kupeleka vichwa vya mashahidi huko Kufa === | ||
Mstari 318: | Mstari 300: | ||
Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia [[Kholi bin Yazid Asbahi]] na [[Hamid bin Muslim Azdiy]] ili wakifikishe kwa [[Ubaidullah bin Ziad]]. Vile vile aliamuru vichwa vya [[mashahidi wa Karbala]] viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa [[Shimru bin Dhi al-Jawshan]], [[Qais bin Ash'ath]], [[Amru bin Hajjaj]] na [[Uzratu bin Qais]], ili wavifikisha mjini Kufa. [190] | Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia [[Kholi bin Yazid Asbahi]] na [[Hamid bin Muslim Azdiy]] ili wakifikishe kwa [[Ubaidullah bin Ziad]]. Vile vile aliamuru vichwa vya [[mashahidi wa Karbala]] viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa [[Shimru bin Dhi al-Jawshan]], [[Qais bin Ash'ath]], [[Amru bin Hajjaj]] na [[Uzratu bin Qais]], ili wavifikisha mjini Kufa. [190] | ||
=== Kutekwa kwa Familia ya Imamu (a.s) === | |||
:''Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]]'' | :''Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]]'' | ||
Mstari 330: | Mstari 312: | ||
== Masuala yanayofungamanab== | == Masuala yanayofungamanab== | ||
{{col-begin|2}} | |||
* [[Msimamo wa Imam Hussein (a.s)]] | * [[Msimamo wa Imam Hussein (a.s)]] | ||
* [[Tarehe ya tukio la Ashura]] | * [[Tarehe ya tukio la Ashura]] | ||
Mstari 338: | Mstari 320: | ||
* [[Siku ya Ashura]] | * [[Siku ya Ashura]] | ||
* [[Maombolezo]] | * [[Maombolezo]] | ||
{{End}} | |||
== Vyanzo == | == Vyanzo == | ||
{{Vyanzo}} | |||
* Qurʾān. | * Qurʾān. | ||
* Abū l-Faraj al-Iṣfahānī, ʿAlī b. al-Ḥusayn. Maqātil al-ṭālibīyyīn. Edited by Aḥmad Ṣaqar. Beirut: Dār al-Maʿrifa, n.d. | * Abū l-Faraj al-Iṣfahānī, ʿAlī b. al-Ḥusayn. Maqātil al-ṭālibīyyīn. Edited by Aḥmad Ṣaqar. Beirut: Dār al-Maʿrifa, n.d. |