Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 76: Mstari 76:

Vituo vya kupumzikia vya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Makka kuelekea Kufa ni kama ifuatavyo:

{{col-begin|2}}
# [[Bustan Banu Amir]].  
# [[Bustan Banu Amir]].  
# [[Tan'im]] (Mahala ambapo Imamu Hussein (a.s)  aliuteke msafara uliokuwa ukiongozwa na [[Buhairu bin Risani al-Himyari]], wakala wa Yazid huko Yemen ambaye alikuwa akimpelekea ngawira kutoka mji wa [[Safaya]] kwenda Syria).

Mstari 116: Mstari 116:
# [[Qatqatana]].
# [[Qatqatana]].
# Karbala, [[Wadi Al-Taff]]: Imamu Hussein (a.s) aliingia Karbala mwezi 2 Muharram [[mwaka wa 61 Hijiria]]. [59]

{{End}}
Akiwa njiani Imam Hussein (a.s), alijaribu kuwavutia au kuwafunua watu akili ili waondoke kutoka katika giza la dhulma na wafungamane naye katika kupigania haki; Miongoni mwa juhudi zake katika kuuanika ukweli na kuutandaza hadharani; ni pale alipokuwa [[Dhatu 'Irqi]], ambapo [[Bishr bin Ghalib Al-Asadi]] alimfikia Imamu na kumpa habari juuu ya hali ya machafuko ilioko mjini Kufa na Imamu akamuunga mkono na kuthibitisha maneno yake.Bishr bin Ghalib Al-Asadi akamuuliza Imamu Hussein (a.s) kuhusu Aya isemayo: ''((یوْمَ نَدْعُو کُلَّ أُنَاس بِإِمَامِهِم)) ; "Siku tutakapowaita watu wote kupitia Maimamu wao"''. [60] Imamu Hussein (a.s) akasema: "Kuna makundi mawili ya maimamu; kundi linalowalingania watu kwenye uwongofu na kundi linalowalingania kwenye upotovu." Hivyo basi yeyote yule atakayemfuata [[imamu]] wa uongofu atakwenda [[peponi]], na atakayemfuata imamu wa upotofu ataingia [[motoni]]. [61] Bishr bin Ghalib hakufuatana na Imam Hussein (a.s) katika mapambano yake dhidi ya dhulma. Inasemekana ya kwamba; baada ya kumalizika kwa tukio la Karbala, yeye alikuwa alikuwa akienda kulia kwenye kaburi la Imamu Hussein (a.s) akidhihirisha majuto yake kwa kutomsaidia Imamu Hussein (a.s). [62]

Mstari 122: Mstari 122:

[[Bani Umayya]] wamechukua mali yangu, nikavuta [[subra]], wakanitukana pia nikavuta subra, ila nilivyowaona wamedhamiria kumwaga damu yangu nikaamua kukimbia. Ewe Abu Hirrah! Elewa ya kwamba mimi nitauawa na kundi la waasi na Mwenyezi Mungu atawavisha kabisa vazi la unyonge (atawadhalilisha) na atawachagulia mtawala atakaye wadhalilisha na kuwatawala kwa upanga mkali. [63]

=== Kutumwa kwa Qais bin Mus'har kwenda mji wa Kufa ===

Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits