Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Bibliografia (Orodha au seti ya Vyanzo Msingi)
Mstari 210: | Mstari 210: | ||
;''Makala asili: [[Orodha ya vitabu msingi kuhusu Maimamu wa Shia]]'' | ;''Makala asili: [[Orodha ya vitabu msingi kuhusu Maimamu wa Shia]]'' | ||
Kuna vitabu vingi vilivyo andikwa na wafuasi wa madhehebu ya Sunni | Kuna vitabu vingi vilivyo andikwa na wafuasi wa madhehebu ya [[Sunni]] pamoja na [[Shia Imamiyyah|Shia]], kuuhusiana na wasifu wa Maimamu wa Shia na sifa zao mahususi. | ||
Seti ya vitabu vya Shia | Seti ya vitabu vya Shia | ||
Miongoni mwa vitabu vya wanazuoni wa Shia kuhusu wasifu wa Maimamu na sifa zao, ifuatavyo: | Miongoni mwa vitabu vya wanazuoni wa Shia kuhusu wasifu wa Maimamu na sifa zao, ifuatavyo: | ||
# Dalaailu al-Imama, kitabu kilicho andikwa kwa lugha ya Kiarabu na Muhammad bin Jariri al-Tabari (aliyezaliwa mwaka 224 na kufariki 310 Hijiria), kitabu hichi ni kuhusu maisha, miujiza na wasifu za bibi Fatima pamoja na Maimamu (a.s). | # [[Dalaailu al-Imama]], kitabu kilicho andikwa kwa lugha ya Kiarabu na [[Muhammad bin Jariri al-Tabari]] (aliyezaliwa mwaka 224 na kufariki 310 Hijiria), kitabu hichi ni kuhusu maisha, [[miujiza]] na wasifu za [[bibi Fatima]] pamoja na Maimamu (a.s). | ||
# Al-Irshadu fi Ma'arifati Hujaji Allah 'Ala al-'Ibadi, kitabu cha kitheolojia na kihistoria kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu na | # [[Al-Irshadu fi Ma'arifati Hujaji Allah 'Ala al-'Ibadi]], kitabu cha kitheolojia na kihistoria kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu na [[Sheikh Mufidu]] (aliyezaliwa mwaka 336 na kufariki 413 Hijiria) faqihi na mwanafalsafa wa madhehebu ya Shia. Kitabu hichi, kinahusiana historia ya maisha na wasifu za Imamu (a.s), kwa kutegemea muktadha Hadithi. Muhammad Baqir Saidi al-Khurasani alikitafsiri kitabu hiki kwa Kiajemi. | ||
# Manaqibu Aali Abi Talib, kitabu cha Kiarabu kuhusu wasifu wa Maimamu kumi na nne watakatifu (a.s), kilichoandikwa na Ibnu Shahri Aashuub al-Mazaandarani (aliyezaliwa mwaka 488 na kufariki 588 Hijiria). | # [[Manaqibu Aali Abi Talib]], kitabu cha Kiarabu kuhusu wasifu wa [[Maimamu wa Kishia|Maimamu kumi na nne watakatifu (a.s)]], kilichoandikwa na [[Ibnu Shahri Aashuub]] al-Mazaandarani (aliyezaliwa mwaka 488 na kufariki 588 Hijiria). | ||
# | # [[I’lamu al-Waraa bi-A'alami al-Huda]], kitabu cha lugha ya Kiarabu, kilichoandikwa na [[Fadhlu bin Hassan al-Tabarsi]] (aliyezaliwa mwaka 548 na kufariki 548 Hijiria) kuhusu maisha ya [[Mtume wa Mwenyezi Mungu (a.s)]] na Maimamu watakatifu (a.s). | ||
# Kashfu al-Ghummah fi Ma'arifati al-Aimmah (a.s), ni kazi ya Kiarabu katika wasifu, hadhi na miujiza ya Maimamu kumi na nne watakatifu (a.s) iliyoandikwa na Ali bin Isa al-Arbily (aliyezaliwa 692 na kufariki 692 Hjiria). | # [[Kashfu al-Ghummah fi Ma'arifati al-Aimmah (a.s)]], ni kazi ya Kiarabu katika wasifu, hadhi na miujiza ya Maimamu kumi na nne watakatifu (a.s) iliyoandikwa na [[Ali bin Isa al-Arbily]] (aliyezaliwa 692 na kufariki 692 Hjiria). | ||
# Rawdhatu al-Wa'idhina wa-Basiratu al-Mutta’idhina, kilichoandikwa na Fataali Nishaaburi (aliyezaliwa mwaka 508 na kufariki 508 Hijiria) kuhusu historia ya maisha ya Mtume Mtukufu (a.s) na Ahl al-Bait (a.s). Kitabu hichi kimetafsiriwa kwa Kiajemi na Mahmoud Mahdawi Daamghani. | # [[Rawdhatu al-Wa'idhina wa-Basiratu al-Mutta’idhina]], kilichoandikwa na [[Fataali Nishaaburi]] (aliyezaliwa mwaka 508 na kufariki 508 Hijiria) kuhusu historia ya maisha ya Mtume Mtukufu (a.s) na Ahl al-Bait (a.s). Kitabu hichi kimetafsiriwa kwa Kiajemi na Mahmoud Mahdawi Daamghani. | ||
# Jalaau al-‘Uyuni, kitabu cha Kifarsi (Kiajemi) kilichoandikwa na Muhammad Baqir Majlisi (aliye zaliwa mwaka 1037 na kufariki 1110 Hijiria) ambacho kimeandikwa katika sura kumi na nne kuhusu historia ya maisha ya Maimamu kumi na nne watakatifu (a.s). | # [[Jalaau al-‘Uyuni]], kitabu cha Kifarsi (Kiajemi) kilichoandikwa na [[Muhammad Baqir Majlisi]] (aliye zaliwa mwaka 1037 na kufariki 1110 Hijiria) ambacho kimeandikwa katika sura kumi na nne kuhusu historia ya maisha ya Maimamu kumi na nne watakatifu (a.s). | ||
# Muntaha al-Amaali fi Taarikhi al-Nabi wa al-Aali, kazi ya Sheikh Abbas Qomi (aliye zaliwa mwaka 1294 na kufariki 1359 Hijiri) inayozungumza kwa kina juu ya maisha ya Maimamu kumi na nne watukufu (a.s). | # [[Muntaha al-Amaali fi Taarikhi al-Nabi wa al-Aali]], kazi ya Sheikh Abbas Qomi (aliye zaliwa mwaka 1294 na kufariki 1359 Hijiri) inayozungumza kwa kina juu ya maisha ya Maimamu kumi na nne watukufu (a.s). | ||
=== Vitabu vya Wasunni kuhusu maisha na sifa za Maimamu 12 === | === Vitabu vya Wasunni kuhusu maisha na sifa za Maimamu 12 === | ||
Baadhi ya vitabu vya Wasunni kuhusu maisha na sifa za Maimamu 12 ni kama ifuatavyo: | Baadhi ya vitabu vya Wasunni kuhusu maisha na sifa za Maimamu 12 ni kama ifuatavyo: | ||
# Mataalibu al-Sauul fi Manaqibi Aali al-Rasuuli ni kitabu cha Kiarabu kilichoandikwa na Muhammad bin Talhah Shafi'i (aliye zaliwa mwaka 582 na kufariki 652 Hijiria) ambacho kinaangazia maisha ya Maimamu 12 katika sura 12. [171] | # [[Mataalibu al-Sauul fi Manaqibi Aali al-Rasuuli]] ni kitabu cha Kiarabu kilichoandikwa na Muhammad bin Talhah Shafi'i (aliye zaliwa mwaka 582 na kufariki 652 Hijiria) ambacho kinaangazia maisha ya Maimamu 12 katika sura 12. [171] | ||
# Tadhkiratu al-Khawas mina al-Aimma fi Dhikri Khasaaisi al-Aimma kazi ya Yusuf bin Qazaoghuli anayejulikana kama Subtu bin Jawzi, mwanahistoria na mwanazuoni wa Sunni wa madhehebu ya Hanafi (aliye fariki mwaka 654 Hijiria) ameandia kitabu hichi katika sura 12 kuhusiana maisha ya Maimamu 12 na sifa zao (a.s). [172] | # [[Tadhkiratu al-Khawas mina al-Aimma fi Dhikri Khasaaisi al-Aimma]], kazi ya Yusuf bin Qazaoghuli anayejulikana kama [[Subtu bin Jawzi]], mwanahistoria na mwanazuoni wa Sunni wa madhehebu ya Hanafi (aliye fariki mwaka 654 Hijiria) ameandia kitabu hichi katika sura 12 kuhusiana maisha ya Maimamu 12 na sifa zao (a.s). [172] | ||
# Alfusulu al-Muhimma fi Ma’arifati al-Aimma kilichoandikwa na Ibn Sabbagh Maliki (aliye fariki mwaka 855 Hijiria), naye ni mwandishi wa madhehebu ya Sunni wa karne ya 9, ambaye amefafanua kitabuni mwake maisha na sifa za Maimamu 12. [173] Wanazuozi wengi wa Shia na Sunni wamenukuu khabari zao kutoka kitabu hiki. [174] | # [[Alfusulu al-Muhimma fi Ma’arifati al-Aimma]] kilichoandikwa na [[Ibn Sabbagh Maliki]] (aliye fariki mwaka 855 Hijiria), naye ni mwandishi wa madhehebu ya Sunni wa karne ya 9, ambaye amefafanua kitabuni mwake maisha na sifa za Maimamu 12. [173] Wanazuozi wengi wa Shia na Sunni wamenukuu khabari zao kutoka kitabu hiki. [174] | ||
# Aimmatu Ithnaa Ashara au kwa jina | # [[Aimmatu Ithnaa Ashara]] au kwa jina jingine Sadharatu al-Dhahabiyya, kiliyoandikwa na [[Ibn Tuulun]], mwanazuoni wa madhehebu ya Hanafi wa Damascus (aliye fariki mwaka 953 Hijiria). [175] | ||
# Al-Ittihafu Bihubbi al-Asharafi, kazi ya Jamal al-Din Shabarawi (aliye zaliwa (aliye zaliwa mwaka1092 na kufariki 1172 Hijiria), ni mmoja wa wanazuoni wa Sunni mashehebu ya Shafi'i wa kutoka nchini Misri. Kitabu hichi kinazungumzia maisha ya familia ya Mtume na Maimamu 12 (a.s). [176] | # [[Al-Ittihafu Bihubbi al-Asharafi]], kazi ya Jamal al-Din Shabarawi (aliye zaliwa (aliye zaliwa mwaka1092 na kufariki 1172 Hijiria), ni mmoja wa wanazuoni wa Sunni mashehebu ya Shafi'i wa kutoka nchini Misri. Kitabu hichi kinazungumzia maisha ya familia ya Mtume na Maimamu 12 (a.s). [176] | ||
# Nuru al-Absari fi Manaaqibi Aali Baiti al-Nabiyyi al-Mukhtari, | # [[Nuru al-Absari fi Manaaqibi Aali Baiti al-Nabiyyi al-Mukhtari]], kilichoandikwa na [[Muumin Shablanji]], mmoja wa wanazuoni wa madhehebu ya Sunni wa karne ya 13 Hijiria, aliye andika juu ya maisha ya Mtume (s.a.w.w), Maimamu wa Shia, na Makhalifa wa Kisunni. | ||
# Yanaabi’u al-Mawadda Lidhawi al-Qurbaa, ni kitabu kuhusu maisha, wasifu, na hadhi maalum za Ahl al-Bait wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), [177] kilicho andikwa na Suleiman bin Ibrahim Qanduzi (aliye fariki mwaka 1294 Hijiria) ambaye ni mwanazuoni wa ya Hanafi. [178] | # [[Yanaabi’u al-Mawadda Lidhawi al-Qurbaa]], ni kitabu kuhusu maisha, wasifu, na hadhi maalum za Ahl al-Bait wa Mtume Muhammad (s.a.w.w), [177] kilicho andikwa na Suleiman bin Ibrahim Qanduzi (aliye fariki mwaka 1294 Hijiria) ambaye ni mwanazuoni wa ya Hanafi. [178] | ||
== Mada zinazohusiana == | == Mada zinazohusiana == |