Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 199: Mstari 199:
== Hadhi na nafasi ya Maimamu wa Shia mbele Sunni ==
== Hadhi na nafasi ya Maimamu wa Shia mbele Sunni ==


Waislamu wa madhehebu ya Sunni hawakubaliani na nadharia ya Uimamu wa Maimamu wa madhehebu ya Shia Ithna Ashari; ya kwamba wao ndiwo warithi wa bwana Mtume (s.a.w.w), [159] ila wana mahaba maalumu juu yao. [160] Kulingana na Hadithi itokayo kwa bwana Mtume (s.a.w.w), iliyosimuliwa katika vyanzo vyao, ni kwamba; watu wa Mtume walio faradhishwa kuwapenda kulingana na amri ya Ayatu al-mawaddaالمودة  آیة (Aya ya mapenzi), [161] ni: Ali (a.s), Fatima (a.s), pamoja na kizazi chao. [162] Fakhru al-Din al-Razi, mfasiri na mwanafalsafa wa madhehebu ya Sunni wa karne ya sita Hijria, ameona kuwa; Kwa mujibu wa Aya Ayatu al-mawaddaالمودة  آیة, Hadithi, sala na salamu za Mtume na Aali zake katika tahiyatu ya kila sala pamoja na nyenendo (sira) za bwana Mtume (s.a.w.w), hayo yote yana ashiria ulazima wa kuwapenda kina Ali (a.s), Fatima (a.s), na kizazi chao kwa jumla. [163]
Waislamu wa madhehebu ya Sunni hawakubaliani na nadharia ya Uimamu wa Maimamu wa madhehebu ya Shia Ithna Ashari; ya kwamba wao ndiwo warithi wa bwana [[Mtume (s.a.w.w)]], [159] ila wana mahaba maalumu juu yao. [160] Kulingana na Hadithi itokayo kwa bwana Mtume (s.a.w.w), iliyosimuliwa katika vyanzo vyao, ni kwamba; watu wa Mtume walio faradhishwa kuwapenda kulingana na amri ya [[Aya ya Mawaddah]] (Aya ya mapenzi), [161] ni: [[Ali (a.s)]], [[Fatima (a.s)]], pamoja na kizazi chao. [162] [[Fakhru al-Din al-Razi]], mfasiri na mwanafalsafa wa madhehebu ya Sunni wa karne ya sita Hijiria, ameona kuwa; Kwa mujibu wa Aya Aya ya Mawaddah, Hadithi, sala na salamu za Mtume na Aali zake katika tahiyatu ya kila sala pamoja na [[nyenendo (sira) za bwana Mtume (s.a.w.w)]], hayo yote yana ashiria [[ulazima]] wa kuwapenda kina Ali (a.s), Fatima (a.s), na kizazi chao kwa jumla. [163]


Baadhi ya wanazuoni wa madhehebu ya Sunni walikwa na kawaida ya kutembelea makaburi ya Muimamu wa Kishia na kuomba dua pamoja na shufaa kwa jaha ya Mauimamu hao. Miongoni mwa walio kuwa kawaida hiyo ni Abu Ali Khallal, mwanazuoni wa madhehebu ya Sunni wa karne ya tatu Hijria, ambaye kwa kauli yake alisema kwamba; kila wakati alipokuwa na shida, alikwenda kutembelea kaburi la Musa bin Ja’afar (a.s) na kumwomba msaada, na hatimae matilaba yake yalikamilika. [164]
Baadhi ya wanazuoni wa madhehebu ya Sunni walikuwa na kawaida ya [[kuzuru]] makaburi ya Muimamu wa Kishia na kuomba dua pamoja na shufaa kwa jaha ya Maimamu hao. Miongoni mwa walio kuwa kawaida hiyo ni Abu Ali Khallal, mwanazuoni wa madhehebu ya Sunni wa karne ya tatu Hijiria, ambaye kwa kauli yake alisema kwamba; kila wakati alipokuwa na shida, alikwenda kutembelea kaburi la [[Mussa bin Ja’afar (a.s)]] na [[kumwomba msaada]], na hatimae matilaba yake yalikamilika. [164] Imepokewa kutoka kwa [[Abu Bakar Muhammad ibnu Khuzaimah]], mwanafaqihi, mpokezi Hadithi, na mfasiri wa madhehemu ya Sunni wa karne ya tatu na ya nne Hijiria kwamba; mara nyingi alikwenda kumtembelea [[kaburi la Imam Ridha (a.s)]] na heshima unyenyekevu wake kwenye kaburi hilo, liliwafanya wengine kumstaajabia. [165] [[Ibn Hibban]], mpokezi Hadithi wa madhehebu ya Sunni wa karne ya tatu na ya nne, alisema kwamba; wakati alipokuwa mjini Tusi, kila wakati alipokuwa na shida, alikwenda kumtembelea Ali bin Musa al-Ridha (a.s) (kaburini kwake) na kuomba shida zake, na bila matilaba yake yalikubaliwa na shida zake zilitatuka. [166]
Imepokewa kutoka kwa Abu Bakar Muhammad ibnu Khuzaimah, mwanafaqihi, mpokezi Hadithi, na mfasiri wa madhehemu ya Sunni wa karne ya tatu na ya nne Hijria kwamba; mara nyingi alikwenda kumtembelea kaburi la Imam Ridha (a.s) na heshima unyenyekevu wake kwenye kaburi hilo, liliwafanya wengine kumstaajabia. [165]
Ibn Hibban, mpokezi Hadithi wa madhehebu ya Sunni wa karne ya tatu na ya nne, alisema kwamba; wakati alipokuwa mjini Tusi, kila wakati alipokuwa na shida, alikwenda kumtembelea Ali bin Musa al-Ridha (a.s) (kaburini kwake) na kuomba shida zake, na bila matilaba yake yalikubaliwa na shida zake zilitatuka. [166]


Kulingana na kauli ya bwana Ja'afar Subhani, ni kwamba; wengi wa wanazuoni wa Kisunni wamekubali mamlaka ya kidini na kitaaluma ya Maimamu wa Shia (A.S.). [167]
Kulingana na kauli ya bwana [[Ja'afar Subhani]], ni kwamba; wengi wa wanazuoni wa Kisunni wamekubali mamlaka ya kidini na kitaaluma ya Maimamu wa Shia (a.s). [167]
Kwa mfano, imepokewa kutoka kwa Abu Hanifa, mwanzilishi wa madhehebu ya Hanafi, akisema kwamba; sikuona mtu yeyote mwenye elimu ya sheria ya kumpindukia na kumpiku Ja'afar bin Muhammad (a.s). [168]
Kwa mfano, imepokewa kutoka kwa [[Abu Hanifa]], mwanzilishi wa madhehebu ya Hanafi, akisema kwamba; sikuona mtu yeyote mwenye elimu ya sheria ya kumpindukia na kumpiku [[Imam Swadiq (a.s)|Ja'afar bin Muhammad (a.s)]]. [168] Kauli kama hii pia imepokewa kutoka kwa Muhammad bin Muslim bin Shihab al-Zuhri, mmoja wa [[Taabiina]] (wafuasi wa Masahaba), mwanafiqhi, na mpokezi wa Hadithi wa madhehebu ya Sunni wa karne ya kwanza na ya pili ya Hijiria, kuhusiana na [[Imamu Sajjad (a.s)]]. [169] Abdullah bin 'Ataa Makkiy, mmoja wa wapokezi wa Hadithi wa madhehebu ya Sunni na [[sahaba wa Imamu Baqir (a.s)]], alisema: "Sijawahi kuona wanazuoni wameporomoka mabega na kudumaa mbele ya mtu yeyote yule, kama nilivyo waona mbele ya [[Muhammad bin Ali (a.s)]]. Nilimwona Hakim bin Utaiba -mmoja wa wanazuoni wakubwa wa mji wa Kufa- amekaa (amekunyaa) mbele yake kama mwanafunzi tu asiyekwa na upeo wa elimu." [170]
Kauli kama hii pia imepokewa kutoka kwa Muhammad bin Muslim bin Shihab al-Zuhri, mmoja wa Taabiina (wafuasi wa Masahaba), mwanafiqhi, na mpokezi wa Hadithi wa madhehebu ya Sunni wa karne ya kwanza na ya pili ya Hijria, kuhusiana na Imamu Sajjad (a.s). [169]
Abdullah bin 'Ataa Makkiy, mmoja wa wapokezi wa Hadithi wa madhehebu ya Sunni na sahaba wa Imamu Baqir (a.s), alisema: "Sijawahi kuona wanazuoni wameporomoka mabega na kudumaa mbele ya mtu yeyote yule, kama nilivyo waona mbele ya Muhammad bin Ali (a.s). Nilimwona Hakim bin Utaiba -mmoja wa wanazuoni wakubwa wa Kufa- amekaa (amekunyaa) mbele yake kama mwanafunzi tu asiyekwa na upeo wa elimu." [170]


== Bibliografia (Orodha au seti ya Vyanzo Msingi) ==
== Bibliografia (Orodha au seti ya Vyanzo Msingi) ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits