Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Imamu Sadiq (a.s)
Mstari 124: | Mstari 124: | ||
Katika kipindi cha Imamu wa tano, ambacho kilidumu kwa miaka 18 au 19, [81] kulikuwa na harakati za kimapinduzi na vita vya kila siku kutokana na dhuluma za [[Bani Umayyah]]. Harakati hizo ziliufanya utawala wa kikhalifa uwe katika hali ya fazaa za kila siku, jambo ambalo lilileta afuani kwa upande wa Mashia, ambapo serikali hiyo ilikuwa haina wakati wa kuwahijumu na kuwadhuru [[Ahlul-Bayt (a.s)]]. [82] Kwa upande mwingine, [[tukio la Karbala]] na unyonge wa Ahlul Bait uliamsha hisia za [[Waislamu]] na kuwafanya wawe karibu naye Zaidi. Jambo hili liliunda fursa mpya kwake ya kusambaza ukweli wa Kiislamu na maarifa sahihi ya dini kwa mtazamo halisi wa Ahlul-Bayt (a.s), fursa ambayo haijawezekana katika vya Maimamu waliopita kabla yake. Katika kipindi cha Imamu Muhammad al-Baqir (a.s) kilichoambatana na fursa hiyo muhimu, kulionekana kiwango kikubwa mno cha [[Hadithi]] kilicho nukuliwa kutoka kwake (a.s). [83] Kulingana na maelezo ya [[Sheikh Mufid]] ni kwamba, Hadithi zilizo nukuliwa kutoka kwa Muhammad al-Baqir (a.s) kuhusiana na maarifa ya kidini ni nyingi mno, kiasi ya kwamba hakuna hata mtoto mmoja wa [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imamu Hassan]] na [[Hussein (a.s)]] aliyeacha kiwango kama hicho cha urithi wa Hadithi. [84] | Katika kipindi cha Imamu wa tano, ambacho kilidumu kwa miaka 18 au 19, [81] kulikuwa na harakati za kimapinduzi na vita vya kila siku kutokana na dhuluma za [[Bani Umayyah]]. Harakati hizo ziliufanya utawala wa kikhalifa uwe katika hali ya fazaa za kila siku, jambo ambalo lilileta afuani kwa upande wa Mashia, ambapo serikali hiyo ilikuwa haina wakati wa kuwahijumu na kuwadhuru [[Ahlul-Bayt (a.s)]]. [82] Kwa upande mwingine, [[tukio la Karbala]] na unyonge wa Ahlul Bait uliamsha hisia za [[Waislamu]] na kuwafanya wawe karibu naye Zaidi. Jambo hili liliunda fursa mpya kwake ya kusambaza ukweli wa Kiislamu na maarifa sahihi ya dini kwa mtazamo halisi wa Ahlul-Bayt (a.s), fursa ambayo haijawezekana katika vya Maimamu waliopita kabla yake. Katika kipindi cha Imamu Muhammad al-Baqir (a.s) kilichoambatana na fursa hiyo muhimu, kulionekana kiwango kikubwa mno cha [[Hadithi]] kilicho nukuliwa kutoka kwake (a.s). [83] Kulingana na maelezo ya [[Sheikh Mufid]] ni kwamba, Hadithi zilizo nukuliwa kutoka kwa Muhammad al-Baqir (a.s) kuhusiana na maarifa ya kidini ni nyingi mno, kiasi ya kwamba hakuna hata mtoto mmoja wa [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imamu Hassan]] na [[Hussein (a.s)]] aliyeacha kiwango kama hicho cha urithi wa Hadithi. [84] | ||
=== Imamu | === Imamu Swadiq (a.s) === | ||
:''Makala asili: [[Imam Swadiq (a.s)]]'' | :''Makala asili: [[Imam Swadiq (a.s)]]'' |