Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam Mahdi (a.s)
Mstari 189: | Mstari 189: | ||
=== Imam Mahdi (a.s) === | === Imam Mahdi (a.s) === | ||
:''Makala asili: [[Imam Mahdi (a.s)]]'' | :''Makala asili: [[Imam Mahdi (a.t.f.s)]]'' | ||
Muhammad bin Hassan, anayejulikana kwa jina la Imam Mahdi na Imam Zaman (a.s), ni Imamu wa kumi na mbili na wa mwisho wa madhehebu ya Shia Ithna Ashari, naye ni mwana wa Imamu Askari (a.s) na mama yake ni bibi Narjis Khaatun, kwa jinsi ya vielelezo vya kihistoria, yeye alizaliwa mwezi | Muhammad bin Hassan, anayejulikana kwa jina la Imam Mahdi na Imam Zaman (a.s), ni Imamu wa kumi na mbili na wa mwisho wa madhehebu ya Shia Ithna Ashari, naye ni mwana wa [[Imamu Askari (a.s)]] na mama yake ni bibi [[Narjis Khaatun]], kwa jinsi ya vielelezo vya kihistoria, yeye alizaliwa [[mwezi 15 Shaban]] [[mwaka 255 Hijiria]] katika mji wa [[Sammaraa]]. [150] | ||
Imamu Mahdi alichukua uongozi akiwa na umri wa miaka mitano. [151] [[Mtume (s.a.w.w)]] pamoja na Maimamu (a.s), wote kwa pamoja walithibitisha Uimamu wake. [152] Alikuwa amefichwa kutoka mbele ya macho watu hadi alipouawa baba yake mnamo mwaka 260 Hijiria. Katika kipindi chote hicho, hakuna aliyeweza kukutana naye isipokuwa baadhi tu ya watukufu wa [[Shia Imamiyyah|Kishia]]. [153] Baada ya kuuawa kwa baba yake -kwa amri ya Mungu- alitoweka kutoka machoni mwa watu wote. Aliishi katika “[[Ghaiba ndogo]]” kwa karibu na miaka sabini. Katika kipindi hichi alikuwa akiwasiliana na Mashia kupitia [[Manaibu Wanne|manaibu wake wanne]] maalumu. Kwa kuanza kwa “[[Ghaiba ya Imam Mahdi (a.t.f.s)|Ghaiba kubwa]]” iliyo anza mnamo [[mwaka 329 Hijria]], mawasiliano ya Shia na Imamu kupitia manaibu maalum yalimalizika. [154] | |||
Kwa mujibu wa maelezo ya Hadithi; wakati wote wa [[kutokuwepo Imamu Zamani]] (Imamu Mahdi) (a.t.f.s), Mashia wanahimizwa na kupewa sisitizo la [[kusubiri zama za kudhihiri]] kwa Imamu wa Zama (Imamu Mahdi) (a.t.f.s). Jambo hili la kusubiri linachukuliwa kuwa ni mojawapo ya matendo bora zaidi ya amali za mwanadamu. [155] Mashia kwa kuzingatia maelezo ya Hadithi zinazo husiana na kudhiri kwake, wanaamini kwamba; [156] baada ya kudhihiri Imamu Mahdi (a.t.f.s), jamii ya Kiislamu itajawa na haki na uadilifu, na neema itaenea kila mahala. [157] Kuna Hadithi nyingi mno katika vyanzo mbali mbali, zinazo elelezea ishara na [[dalili za kudhiri kwa Imamu Mahdi (a.s)]]. [158] | |||
== Hadhi na nafasi ya Maimamu wa Shia mbele Sunni == | == Hadhi na nafasi ya Maimamu wa Shia mbele Sunni == |