Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Imamu Hassan Askari (a.s)
Mstari 181: | Mstari 181: | ||
:''Makala asili: [[Imamu Askari (a.s)]]'' | :''Makala asili: [[Imamu Askari (a.s)]]'' | ||
Hassan bin Ali (a.s) anayejulikana kwa jina la Imamu Hassan Askari (a.s), ni Imamu wa 11 wa Mashia wanao amini Maimamu Kumi na mbili, yeye ni mtoto wa Imamu Hadi (a.s) kupitia mkewe aitwaye [[bibi Hadithu]]. Hassan bin Ali (a.s) ni mzaliwa wa Madina, aliye zaliwa mwaka wa 232 Hijiria. [138] [[Mwaka wa 260 Hijiria]] [139], Imamu Hassan Askari alipewa sumu na kuuawa kishahidi kupitia njama za ukhalifa wa Bani Abbasi. [140] Baada kifo chake alizikwa nyumbani kwake huko [[Samarra]], karibu na kaburi la baba yake. [141] | |||
Neno Askari linatokana na neno la Kiarabu “عسکری” lenye maana ya kambi ya kijeshi. Na kwa kuwa Imamu Hassan na baba yake (Imamu Hadi) walikuwa kifungoni katika ya kijeshi, hii ilipelekea Maimamu hawa kuitwa Askaraini “عسکرین” kwa maana ya wanakambi wawili, au kwa lungha | |||
Imamu wa 11, kwa mujibu wa maelekezo na wasia wa baba yake, alishika nafasi ya Uimamu baada ya kifo cha baba yake. Katika Uimamu wake ulio chukuwa kipindi cha miaka sita, [142] aliishi sambamba na zama za al-Muu'tazu, Muhtadi na Mu’utamidu Abbasi. [143] Imamu aliishi chini ya usimamizi na uangalizi wa makhalifa wa Banu Abbasi huko Samarraa na alifungwa mara kadhaa kwa amri yao. [144] Kulingana na usemi wa wanazuoni wengine ni kwamba; kubaki kwake mjini Samarra kwa muda mrefu kiasi hicho ilikuwa ni aina Fulani ya kuwekwa kizuizini na kuwekwa chini ya uangalizi wa khalifa wa wakati huo. Jambo hili lilimfanya aishi na makhalifa kwa mfumo wa “[[Taqiyyah|taqiyya]]” maishani mwake. 146] Kama walivyo wafanya Maimamu kadhaa wa kabla yake, naye pia alikuwa akiwasiliana na Mashia wake kupitia [[mtandao maalumu wa mawakala]]. [147] Inasemekana kwamba; shinikizo la ukali wa makhalifa wa wakati huo, kwa upande mmoja, lilitokana na ongezeko la idadi ya mashia pamoja na ongozeko la nguvu za Mashia. Kwa upande mwingine, pia uwepo wa dalili zinazo ashiria kuwepo kwa mtoto wa kiume wa Imamu wa 11, ambaye alihesabiwa kuwa ndiye [[Mahdi aliyeahidiwa]] kuja kusimamisha uadilifu, lilipelekea khofu kwa makhalifa hao na kuwafanya wawe na tahadhari zaidi. [148] | |||
Neno Askari linatokana na neno la Kiarabu ''“عسکری”'' lenye maana ya ''kambi ya kijeshi''. Na kwa kuwa Imamu Hassan na baba yake (Imamu Hadi) walikuwa kifungoni katika kambi ya kijeshi, hii ilipelekea Maimamu hawa kuitwa ''Askaraini “عسکرین”'' kwa maana ya wanakambi wawili, au kwa lungha nyingine ni wafungwa wawili wa kambini. [149] | |||
=== Imam Mahdi (a.s) === | === Imam Mahdi (a.s) === |