Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 169: Mstari 169:
:''Makala kuu: [[Imamu Hadi (a.s)]]''
:''Makala kuu: [[Imamu Hadi (a.s)]]''


Ali bin Muhammad maarufu kama Imamu Hadi au Imam Ali al-Naqi (a.s), ni Imamu wa kumi wa Mashia, Naye ni mtoto wa Imam Jawad kupitia mkewe aitwaye Samanah Maghribiyyah. Imamu Hadi (a.s) alizaliwa mnamo mwaka 212 Hijiria katika eneo linaloitwa Swaryaa karibu na mji wa Madina, [126] na aalifariki mnamo mwaka 254 Hijiria huko Samarraa [127] kupitia sumu aliyopewa na al-Mu'utazzu Billahi, Khalifa wa Banu Abbasi. [128]
Ali bin Muhammad maarufu kama Imamu Hadi au Imam Ali al-Naqi (a.s), ni Imamu wa kumi wa Mashia, Naye ni mtoto wa Imam Jawad kupitia mkewe aitwaye [[Samanah Maghribiyyah]]. Imamu Hadi (a.s) alizaliwa mnamo [[mwaka 212 Hijiria]] katika eneo linaloitwa [[Swaryaa]] karibu na mji wa [[Madina]], [126] na aalifariki mnamo [[mwaka 254 Hijiria]] huko [[Samarraa]] [127] kupitia sumu aliyopewa na [[al-Mu'utazzu Billahi]], Khalifa wa Banu Abbasi. [128]
Imam Hadi (a.s) alishika nafasi ya Uimamu wa Shia kwa muda wa miaka 33 (220-254 Hijiria). [129] Kipindi cha Uimamu wake kilikwenda sambamba na utawala wa Makhalifa sita wa Bani Abbasi, ambao ni; al-Mu'utasim, al-Wathiq, al-Mutawakkil, al-Mansur, al-Musta'inu na al-Mu'utazzu. [130]
 
Al-Mutawakkil alimwita Imam Hadi (a.s.) kutoka Madina kwenda Samarraa mnamo mwaka 233 Hijiria, [131] kwa nia ya kumweka chini ya uangalizi wake, [132] naye akabaki huko hadi mwisho wa maisha yake. [133] Baada ya kifo cha al-Mutawakkil; al-Mansur, al-Musta'inu na al-Mu'utazzu walichukua madaraka na Imam Hadi (a.s) aliuliwa kwa sumu katika kipindi cha ukhalifa wa al-Mu'tazzu. [134]
Imam Hadi (a.s) alishika nafasi ya Uimamu wa Shia kwa muda wa miaka 33 (220-254 Hijiria). [129] Kipindi cha Uimamu wake kilikwenda sambamba na utawala wa Makhalifa sita wa Bani Abbasi, ambao ni; [[al-Mu'utasim]], [[al-Wa'thiq]], [[Mutawakkil Abbasi|al-Mutawakkil]], [[al-Mansur]], [[al-Musta'inu]] na [[al-Mu'utazzu]]. [130]
Imam Hadi (a.s) alitumia njia dua na ziara mbali mbali (sala na salamu) ili kuwafundisha na kuwafahamisha Mashia wake mafunzo mbali mbali ya dini ya Kiislamu. [135] Ziaratu al-Jamiah al-Kabirah, ni mojawapo ya dua muhimu za Mashia, zilizo pokewa kutoka kwake (a.s). [136]
 
Al-Mutawakkil alimwita Imam Hadi (a.s.) kutoka Madina kwenda Samarraa mnamo mwaka 233 Hijiria, [131] kwa nia ya kumweka chini ya uangalizi wake, [132] naye akabaki huko hadi mwisho wa maisha yake. [133] Baada ya kifo cha al-Mutawakkil; al-Mansur, al-Musta'inu na al-Mu'utazzu walichukua madaraka na Imam Hadi (a.s) aliuliwa kwa sumu katika kipindi cha ukhalifa wa al-Muu'tazzu. [134]
 
Imam Hadi (a.s) alitumia njia ya [[dua]] na [[ziara]] mbali mbali (sala na salamu) ili kuwafundisha na kuwafahamisha [[Shia Imamiyyah|Mashia]] wake mafunzo mbali mbali ya dini ya Kiislamu. [135] [[Ziaratu al-Jamiah al-Kabirah]], ni mojawapo ya dua muhimu za Mashia, zilizo pokewa kutoka kwake (a.s). [136]


=== Imamu Hassan Askari (a.s) ===
=== Imamu Hassan Askari (a.s) ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits