Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 159: Mstari 159:
:''Makala Asili: [[Imamu Jawadi (a.s)]]''
:''Makala Asili: [[Imamu Jawadi (a.s)]]''


Muhammad bin Ali maarufu kama Imamu Jawad na Imamu Muhammad Taqi (a.s) ni Imamu wa tisa wa madhehebu ya Shia Ithnaashariyya. Yeye ni mwana wa Imamu Ali al-Ridha (a.s) na mama yake mzazi ni bibi Sabīqa Nuubiyya. Imamu Imamu Jawad (a.s) alizaliwa mnamo mwezi wa Ramadhani mwaka wa 195 Hijiria huko Madina. [116] na akafa mwaka wa 200 Hijiria huko Baghdad. [117] Baada kifo chake alizikwa karibu na babu yake ambaye ni Imamu wa Saba, katika “Makaburi ya Mquraish” huko Kadhimaini nchini Iraq. [118]
Muhammad bin Ali maarufu kama Imamu Jawad na Imamu Muhammad Taqi (a.s) ni Imamu wa tisa wa madhehebu ya [[Shia Imamiyyah|Shia Ithnaashariyya]]. Yeye ni mwana wa Imamu Ali Ridha (a.s) na mama yake mzazi ni bibi [[Sabīqa Nuubiyya]]. Imamu Imamu Jawad (a.s) alizaliwa mnamo [[mwezi wa Ramadhani]] [[mwaka wa 195 Hijiria]] huko [[Madina]]. [116] na akafa [[mwaka wa 220 Hijiria]] huko [[Baghdad]]. [117] Baada kifo chake alizikwa karibu na babu yake ambaye ni [[Imamu Jawadi (a.s)|Imamu wa Saba]], katika “Makaburi ya Mquraish” huko [[Kadhimeini]] nchini Iraq. [118]
Imam Jawad (a.s) alichukua nafasi ya imamu akiwa na umri wa miaka minane [119] kupitia wasia wa baba yake. [120] Suala utoto wake (udogo wake kiumri) ulisababisha baadhi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia kuwa na shaka juu ya Uimamu wake; baadhi yao waliamua kushikamana na kaka wa Imamu al-Ridha (a.s), aliye julikana kwa jina la Abdullah bin Musa, wakidhani kuwa yeye ndiye imamu. Wengine miongoni mwao walijiunga na kundi la “Waaqifiyyah واقفیه”, lakini wengi wao walikubaliana na uimamu Imam Jawad (a.s). Walifanya hivyo baada ya kumjaribu na kumtahini kieleimu, pia kwa kuzingatia amri na wasia wa Imamu Ali al-Ridha (a.s) juu ya. [121] Kipindi cha Uimamu wake kilicho dumu kwa muda wa miaka kumi na saba, [122] kiliambatana na ukhalifa wa Maamuni na Mu'utasim. [123]
 
Maamun mnamo mwaka 204 Hijiria alimwita Imamu Jawad kwenda mjini Baghdad, mji ambao kwa wakati huo ulikuwa ndio mji mkuu wa ukhalifa. Alifanya hivyo kwa dhamira kumweka chini ya uangalizi wake, na kwa nia ya kumuza binti yake aitwaye Umm al-Fadhli. [124] Baada ya muda Iamu Jawad (a.s) alirudi Madina na akaishi Madina hadi mwisho wa ukhalifa wa Maamuni. Baada ya kifo cha Maamuni, Mu'utasim alichukua mamlaka ya ukhalifa na mnamo 200 Hijiria akamwita Imamu kwenda Baghdad, na akamweka chini ya uangalizi wake. Hatimae kupitia uchochezi wa Mu’utasim Imamu Jawad (a.s) akatiliwa sumu na kuawa kupitia mkono wa mkewe. [125]
Imam Jawad (a.s) alichukua nafasi ya imamu akiwa na umri wa miaka minane [119] kupitia wasia wa baba yake. [120] Suala utoto wake (udogo wake kiumri) ulisababisha baadhi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia kuwa na shaka juu ya Uimamu wake; baadhi yao waliamua kushikamana na kaka wa Imamu Ridha (a.s), aliye julikana kwa jina la [[Abdullah bin Musa]], wakidhani kuwa yeye ndiye imamu. Wengine miongoni mwao walijiunga na kundi la ''“[[Waaqifiyyah]] واقفیه”'', lakini wengi wao walikubaliana na uimamu Imam Jawad (a.s). Walifanya hivyo baada ya kumjaribu na kumtahini kieleimu, pia kwa kuzingatia amri na wasia wa Imamu Ali Ridha (a.s) juu ya. [121] Kipindi cha Uimamu wake kilicho dumu kwa muda wa miaka kumi na saba, [122] kiliambatana na ukhalifa wa Maamuni na Mu'utasim. [123]
 
[[Maamun]] mnamo mwaka 204 Hijiria alimwita Imamu Jawad kwenda mjini [[Baghdad]], mji ambao kwa wakati huo ulikuwa ndio mji mkuu wa ukhalifa. Alifanya hivyo kwa dhamira kumweka chini ya uangalizi wake, na kwa nia ya [[kumuoza]] binti yake aitwaye [[Ummul-Fadhli]]. [124] Baada ya muda Iamu Jawad (a.s) alirudi Madina na akaishi Madina hadi mwisho wa ukhalifa wa Maamuni. Baada ya kifo cha Maamuni, [[Mu'utasim]] alichukua mamlaka ya ukhalifa na mnamo 200 Hijiria akamwita Imamu kwenda Baghdad, na akamweka chini ya uangalizi wake. Hatimae kupitia uchochezi wa Mu’utasim Imamu Jawad (a.s) akatiliwa sumu na kuawa kupitia mkono wa mkewe. [125]


=== Imamu Hadi (a.s) ===
=== Imamu Hadi (a.s) ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits