Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 146: Mstari 146:
:''Makala Asili: [[Imamu Ali al-Ridha (a.s)]]''
:''Makala Asili: [[Imamu Ali al-Ridha (a.s)]]''


Ali bin Musa bin Ja'afar, anayejulikana kama Imam Ridha (a.s) na Imamu wa nane wa kwa upande wa madhehebu ya Shia, na ni mtoto wa Imamu Musa al-Kadhim (a.s) kupitia mkewe ajulikanaye kwa jina la Najmah Khatun. Alizaliwa mnamo mwaka wa 148 Hijiria huko Madina na akafa mnamo mwaka 203 Hijiria akiwa na umri wa miaka 55 huko Tusi (Mash-had) nchini Iran. [104]
Ali bin Musa bin Ja'afar, anayejulikana kama Imam Ridha (a.s) na Imamu wa nane wa kwa upande wa madhehebu ya Shia, na ni mtoto wa Imamu Musa al-Kadhim (a.s) kupitia mkewe ajulikanaye kwa jina la [[Najmah Khatun]]. Alizaliwa mnamo [[mwaka wa 148]] Hijiria huko Madina na akafa [[kishahidi]] mnamo mwaka 203 Hijiria akiwa na umri wa miaka 55 huko [[Tusi]] ([[Mash-had]]) nchini Iran. [104]
 
Imamu Ridha (a.s) alichukua madaraka baada ya kufariki baba yake, kwa amri ya Mungu na kwa wasia ulio usiwa na Imamu Musa al-Kadhim (a.s) juu ya Uimamu wake. [105]
Imamu Ridha (a.s) alichukua madaraka baada ya kufariki baba yake, kwa amri ya Mungu na kwa wasia ulio usiwa na Imamu Musa al-Kadhim (a.s) juu ya Uimamu wake. [105]
Kipindi cha ukhalifa (Uimamu) wa Imamu kilichukuwa muda miaka 20 (183-203 Hijiria), [106] ambayo iliambatana na utawala wa Haruna al-Rashid na wanawe wawili Aminu na Maamuni. [107]
Kipindi cha ukhalifa (Uimamu) wa Imamu kilichukuwa muda miaka 20 (183-203 Hijiria), [106] ambayo iliambatana na utawala wa [[Haruna al-Rashid]] na wanawe wawili [[Aminu]] na [[Maamuni]]. [107]
Baada ya kufariki Haruna al-Rashid, Maamuni alishika nafasi ya ukhalifa wa baba yake. [108]
 
Maamuni aliamua kumfanya Imamu wa nane kuwa ni mrithi wake ili aweze kuhalalisha ukhalifa wake, kudhibiti shughuli za Imam Ridha (a.s) na kupunguza cheo na hadhi ya Uimamu wake mbele ya jamii. [109]
Baada ya kufariki Haruna al-Rashid, Maamuni alishika nafasi ya ukhalifa wa baba yake. [108] Maamuni aliamua kumfanya Imamu wa nane kuwa ni [[mrithi]] wake ili aweze kuhalalisha ukhalifa wake, kudhibiti shughuli za Imam Ridha (a.s) na kupunguza cheo na hadhi ya [[Uimamu]] wake mbele ya jamii. [109] Nia yake hiyo ndiyo sababu iliyomfanya yeye mnamo mwaka 211 Hijiria [110], amtake Imamu aondoke [[Madina]] na aende [[Marwu]] (mji uliopo Turkmenistan). [111] Maamuni kwanza alimpendekeza Imamu (a.s) kushika nafasi ya ukhalifa, kisha akampendekeza awe mshauri wa wake mkuu, ambapo pendekezo hilo likataliwa kata kata na Imamu Ridha (a.s). Maamuni hakusita katika sisitizo la matakwa yake, na hatimae akamlazimisha Imamu kukubali cheo cha nafasi ya Ushauri mkuu. Imamu alikubali kushika kushika nafasi hiyo [[urithi wa ukhalifa]] kwa masharti kwamba; yeye atashika nafasi hiyo ila hatoingilia mambo ya uteuzi au utenguzi wa viongozi wa serikali. [112] Baada ya muda, Maamun, alipo ona maendeleo ya haraka ya Mashia na kwa ajili ya kuhifadhi ukhalifa wake, aliamua kumtilia sumu Imamu Ridha (a.s) na kumwondoa duniani haraka iwezekanavyo, na hatimae kufa [[shahidi]]. [113]
Nia yake hiyo ndiyo sababu iliyomfanya yeye mnamo mwaka 211 Hijiria [110], amtake Imamu aondoke Madina na aende Marwu (mji uliopo Turkmenistan). [111]  
 
Maamuni kwanza alimpendekeza Imamu (a.s) kushika nafasi ya ukhalifa, kisha akampendekeza awe mshauri wa wake mkuu, ambapo pendekzo hilo likataliwa kata kata na Imamu Ridha (a.s). Maamuni hakusita katika sisitizo la matakwa yake, na hatimae akamlazimisha Imamu kukubali cheo cha nafasi ya Ushauri mkuu. Imamu alikubali kushika kushika nafasi hiyo kwa masharti kwamba; yeye atashika nafasi hiyo ila hatoingilia mambo ya uteuzi au utenguzi wa viongozi wa serikali. [112]
Kuna Hadithi madhubuti na maarufu ([[Hadithi silsilat al-dhahab]]) iliyo nukuliwa kutoka kwa Imamu al-Ridha (a.s), [114] inayoelezea tukio lililotokea wakati Imamu alipokuwa njia kutoka [[Nishapur]] akielekea Marwu. Hadithi hiyo inasema kwamba; Imam Ridha (a.s) alipokuwa huko [[Marwu]], Maamuni alipanga mikutano kadhaa ya majadiliano kati ya Imamu na viongozi wa dini na madhehebu mbali mbali, ambayo ilisababisha kudhihiri kwa upeo wa Imamu katika sekta ya elimu na maarifa. [115]
Baada ya muda, Maamun, alipo ona maendeleo ya haraka ya Mashia na kwa ajili ya kuhifadhi ukhalifa wake, aliamua kumtilia sumu Imamu Ridha (a.s) na kumwondoa dunianai haraka iwezekanavyo, na hatimae kufa shahidi. [113]
Kuna Hadithi madhubuti na maarufu iliyo nukuliwa kutoka kwa Imamu al-Ridha (a.s), [114] inayoelezea tukio lililotokea wakati Imamu alipokuwa njia kutoka Nishapur akielekea Marwu. Hadithi hiyo inasema kwamba; Imam Reza (a.s) alipokuwa huko Marwu, Maamuni alipanga mikutano kadhaa ya majadiliano kati ya Imamu na viongozi wa dini na madhehebu mbali mbali, ambayo ilisababisha kudhihiri kwa upeo wa Imamu katika sekta ya elimu na maarifa. [115]


=== Imamu Jawad (a.s) ===
=== Imamu Jawad (a.s) ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits