Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Imamu Musa al-Kadhim (a.s)
Mstari 140: | Mstari 140: | ||
Musa bin Ja’afar, anaye julikana kwa umaarufu lakabu ya al-Kadhim au wakati mwingine kwa lakabu ya la [[Babu al-Hawaiji]], alikuwa ni Imamu wa saba wa Shia Imamiyyah, naye ni mtoto wa Imamu Ja’afar aliyempata kupitia ndoa yake na bibi Hamida. Musa bin Ja’afar alizaliwa mnamo [[mwaka wa 128 Hijiria]] huko [[Abua]], eneo lililopo kati ya mji wa Makka na Madina. [96] | Musa bin Ja’afar, anaye julikana kwa umaarufu lakabu ya al-Kadhim au wakati mwingine kwa lakabu ya la [[Babu al-Hawaiji]], alikuwa ni Imamu wa saba wa Shia Imamiyyah, naye ni mtoto wa Imamu Ja’afar aliyempata kupitia ndoa yake na bibi Hamida. Musa bin Ja’afar alizaliwa mnamo [[mwaka wa 128 Hijiria]] huko [[Abua]], eneo lililopo kati ya mji wa Makka na Madina. [96] | ||
Imamu al-Kadhim (a.s) alichukua nafasi ya uongozi wa jamii baada ya baba yake, kupitia wasia wa wazi kutoka kwa Imamu Jaafar (a.s.). [97] Kipindi cha Uimamu wa Imamu wa saba kilicho chukuwa muda wa miaka 35, [98] kiliambatana na uongozi wa makhalifa watatu wa utawala wa Bani Abbas, nao ni; [[Mansoor,]] [[Hadi]], [[Mahdi]] na [[Haruna]]. [99] Kipindi hichi kwa upande wa ukhalifa wa Banu Abbasi kilikuwa ndio kipindi cha upeo wa nguvu katika ukhalifa wao na ni kipindi kigumu kwa Imamu | Imamu al-Kadhim (a.s) alichukua nafasi ya uongozi wa jamii baada ya baba yake, kupitia wasia wa wazi kutoka kwa Imamu Jaafar (a.s.). [97] Kipindi cha Uimamu wa Imamu wa saba kilicho chukuwa muda wa miaka 35, [98] kiliambatana na uongozi wa makhalifa watatu wa [[utawala wa Bani Abbas]], nao ni; [[Mansoor,]] [[Hadi]], [[Mahdi]] na [[Haruna]]. [99] Kipindi hichi kwa upande wa [[ukhalifa wa Banu Abbasi]] kilikuwa ndio kipindi cha upeo wa nguvu katika ukhalifa wao na ni kipindi kigumu kwa Imamu Kadhim (a.s.) pamoja na Mashia wake. Katika kipindi hichi Imamu alilazimika kufanya [[Taqiyyah|taqiyya]] mbele ya serikali na pia aliwaagiza Mashia kufanya hivyo kwa ajili ya usalama wao. [100] Mnamo [[mwezi 20 Shawwal]] [[mwaka 179 Hijiria]], wakati Haruna alipokwenda [[Madina]] akiwemo katika safari ya [[Hija]], aliamuru Imamu Kadhim (a.s) afungwe huko Madina. Baada ya hapo Imamu akahamishwa kutoka jela ya Madina hadi [[Basra]] na kutoka Basra hadi [[Baghdad]]. [101] Mnamo [[mwaka 183 Hijiria]] Imamu Kadhim (a.s) alikiwa katika gereza la Baghdad, aliuawa kwa sumu kupitia mkono wa [[Sindi bin Shahik]] na kuzikwa katika mava inayo julikana kwa jina la “Maqabiru Quraishi” (Makaburi ya Mquraish) [102] ambalo kwa hivi sasa liko katika eneo lijulikanalo kwa jina la [[Kadhimeini]] nchini Iraq. [103] | ||
=== Imamu Ali al-Ridha (a.s) === | === Imamu Ali al-Ridha (a.s) === |