Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 84: Mstari 84:
:''Makala asili: [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imamu Hassan (a.s)]]''
:''Makala asili: [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imamu Hassan (a.s)]]''


Hassan bin Ali (a.s), anayejulikana kama Imamu Hassan (a.s) au Imamu Hasan al-Mujtaba, ni mwana wa Imam Ali bin Abi Talib (a.s) na bibi Fatima (a.s), alizaliwa tarehe 15 Ramadhani mwaka wa 3 Hijiri huko Madina. [45]
Hassan bin Ali (a.s), anayejulikana kama Imamu Hassan (a.s) au Imamu Hassan al-Mujtaba, ni mwana wa Imam Ali bin Abi Talib (a.s) na [[bibi Fatima (a.s)]], alizaliwa [[tarehe 15 Ramadhani]] mwaka wa 3 Hijiri huko [[Madina]]. [45]
Baada ya kuuawa kwa baba yake, kupitia amri ya Mungu na wasia wa marehemu baba yake, Imamu Hassan (a.s) alichukua nafasi ya baba yake kama ni Imamu wa kwanza wa Mashia. Alitawala kama Khalifa wa Waislamu kwa takriban miezi sita. [46]
 
Katika kipindi hichi, Muawiya bin Abi Sufiyan, aliivamia Iraq, ambayo ilikuwa makao makuu ya utawala wa Imamu Hassan (a.s). Aliweza kuwadanganya na kuwachochea makamanda wa jeshi la Imamu Hassan (a.s) dhidi yake, na hatimaye Imamu Hassan (a.s) alilazimika kukubali suluhusho la amani baina yake na Muawiya.
Baada ya kuuawa kwa baba yake, kupitia amri ya Mungu na wasia wa marehemu baba yake, Imamu Hassan (a.s) alichukua nafasi ya baba yake kama ni Imamu wa kwanza wa Mashia. Alitawala kama Khalifa wa Waislamu kwa takriban miezi sita. [46] Katika kipindi hichi, [[Muawiya bin Abi Sufiyan]], aliivamia [[Iraq]], ambayo ilikuwa makao makuu ya utawala wa Imamu Hassan (a.s). Aliweza kuwadanganya na kuwachochea makamanda wa jeshi la Imamu Hassan (a.s) dhidi yake, na hatimaye Imamu Hassan (a.s) alilazimika kukubali [[suluhusho la amani]] baina yake na Muawiya. Katika amani hii, Imam Hassan (a.s.) alikubaliana kukabidhi utawala dhahiri (usio kuwa na idhini ya Mungu) kwa Muawiya, kwa masharti ya kwamba baada ya kifo cha Muawiya, utawala utarudishwa kwa Imamu Hassan (a.s) na familia yake na wafuasi wake watakuwa salama. [47] Imamu Hassan (a.s) aliongoza kama Imamu kwa miaka 10, na akafa kwa sumu mnamo [[mwezi 28 Safar]] mwaka wa 50 Hijiria, kwa uchochezi wa Muawiya, kupitia mkono wa mkewe, [[Ja'ada]]. Baada Imamu Hassan kufariki alizikwa katika [[makaburi ya Baqi']]. [49]
Katika amani hii, Imam Hasan (a.s.) alikubaliana kukabidhi utawala dhahiri (usio kuwa na idhini ya Mungu) kwa Muawiya, kwa masharti ya kwamba baada ya kifo cha Muawiya, utawala utarudishwa kwa Imamu Hassan (a.s) na familia yake na wafuasi wake watakuwa salama. [47]
 
Imamu Hassan (a.s) aliongoza kama Imamu kwa miaka 10, na akafa kwa sumu mnamo mwezi 28 Safar mwaka wa 50 Hijiria, kwa uchochezi wa Muawiya, kupitia mkono wa mkewe, Ja'ada. Baada Imamu Hassan kufariki alizikwa katika makaburi ya Baqi'. [49]
Imamu Hassan (a.s) alikuwa mmoja wa wale waliokuwa katika [[tukio la kufunikwa shuka]] la Hadithi ya Kisaa, [50] na alikuwa ni mmoja wa wale waliokuwapo katika tukio la Mtihani wa [[Mubahala ‌‌Baina ya Mtume na Wakristo wa Najrani|Mubahala]], [51] na ni mmoja wa [[Ahlul-Bayt (a.s)]] ambao [[Aya ya Utakaso]] imeshuka juu yao. [52]
Imamu Hassan (a.s) alikuwa mmoja wa wale waliokuwa katika tukio la kufunikwa shuka la Hadithi ya Kisaa, [50] na alikuwa ni mmoja wa wale waliokuwapo katika tukio la Mtihani wa Mubahala, [51] na ni mmoja wa Ahlul- al-Bait ambao Aya ya Utakaso imeshuka juu yao. [52]


=== Imam Hussein (a.s) ===
=== Imam Hussein (a.s) ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits