Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam Hussein (a.s)
Mstari 94: | Mstari 94: | ||
:''Makala asili: [[Imamu Hussein (a.s)]]'' | :''Makala asili: [[Imamu Hussein (a.s)]]'' | ||
Imamu Hussein (a.s), anayejulikana pia kama Abu Abdillahi na Sayyid al-Shuhada, ni Imamu wa tatu wa Shia, na mwana wa Imamu Ali bin Abi Talib na Fatima Zahra. Alizaliwa mwezi 3 Shaaban mwaka wa nne wa | Imamu Hussein (a.s), anayejulikana pia kama [[Abu Abdillahi]] na [[Sayyid al-Shuhada]], ni Imamu wa tatu wa Shia, na mwana wa Imamu Ali bin Abi Talib na Fatima Zahra. Alizaliwa [[mwezi 3 Shaaban]] mwaka wa nne wa Hijiria huko Madina. [53] | ||
Imamu Hussein (a.s) alichukua nafasi ya Uimamu kupitia amri ya Mtume, wasia wa baba yake na | Imamu Hussein (a.s) alichukua nafasi ya Uimamu kupitia amri ya Mtume, wasia wa baba yake na msisitizo ya kaka yake, baada ya kuuawa kwa kaka yake (Imamu Hassan (a.s)) [[kishahidi]]. [54] | ||
Mnamo mwaka wa 60 Hijiria Muawiyah aliaga dunia, na nafasi yake ya ukhalifa | |||
Imamu Hussein (a.s) alitawala kwa kipindi cha miaka kumi, [55] ambapo miezi sita ya mwisho ya utawala wake iliambatana na ukhalifa wa Mu'awiyah. [56] Mnamo [[mwaka wa 60 Hijiria]] Muawiyah aliaga dunia, na nafasi yake ya ukhalifa ilikaliwa na [[Yazid ibn Mu'awiyah]]. [57] Yazid alitaka Imamu Hussein (a.s) ampe [[kiapo cha utiifu]] juu yake cha kumuidhinisha kushika nafasi ya ukhalifa, kwa hivyo alimtuma gavana wake huko Madina amtake Hussein (a.s) amwapie kiapo cha utiifu, na akikataa kufanya hivyo, basi amkate kichwa na akitume kichwa hicho nchi [[Syria]] (kwenye mamlaka ya Yazid bin Muawiyah). Gavana wa Yazid aliyoko huko Madina, alimfikishia Imamu Hussein (a.s) salamu za Yazid, Imam Hussein (a.s) alikataa kumwapia Yazid, na akaamua kuondoka Madina -wakati wa usiku- yeye na familia yake pamoja na baadhi ya masahaba wake na kuelekea [[Makka]]. [58] | |||
Baada ya muda Imamu Hussein alielekea mjini Kufa akiwa pamoja na familia yake watu na baadhi ya Masahaba wake, alifanya hivyo kutokana na barua za watu wa Kufa walizomwandikia wakimwalika Imamu Hussein (a.s) kuenda jijini mwao. [59] | Baada ya muda Imamu Hussein alielekea mjini Kufa akiwa pamoja na familia yake watu na baadhi ya Masahaba wake, alifanya hivyo kutokana na barua za watu wa Kufa walizomwandikia wakimwalika Imamu Hussein (a.s) kuenda jijini mwao. [59] | ||
Imam Hussein (a.s) alifika Karbala, mahala ambapo alikabiliwa na kuzingirwa na wanajeshi wa Yazid ibn Mu'awiyah, mnamo mwezi 10 Muharram, yeye pamoja na Masahaba zake walipambana na jeshi hilo -lililo ongozwa na Omar bin Sa’ad- kwa ushujaa mkubwa kabisa. Hatimae katika vita hivyo vya siku ya Ashura, yeye yeye pamoja na masahaba zake waliuawa shahidi, na wanawake na watoto walibakia mateka mikononi mwa maadui, miongoni mwao akiwemo Imamu Sajjad (a.s) ambaye alikuwa ni mgonjwa katika wakati wa vita hivyo. [60] | Imam Hussein (a.s) alifika [[Karbala]], mahala ambapo alikabiliwa na kuzingirwa na wanajeshi wa Yazid ibn Mu'awiyah, mnamo [[mwezi 10 Muharram]], yeye pamoja na Masahaba zake walipambana na jeshi hilo -lililo ongozwa na [[Omar bin Sa’ad]]- kwa ushujaa mkubwa kabisa. Hatimae katika vita hivyo vya siku ya Ashura, yeye yeye pamoja na masahaba zake waliuawa [[shahidi]], na wanawake na watoto walibakia [[Mateka wa Karbala|mateka]] mikononi mwa maadui, miongoni mwao akiwemo Imamu Sajjad (a.s) ambaye alikuwa ni mgonjwa katika wakati wa vita hivyo. [60] | ||
Imamu Hussein (a.s) ni mmoja wa | |||
Imamu Hussein (a.s) ni mmoja wa [[walifunikwa shuka]] waliotajwa katika Hadithi ya Kisaa. [61] Pia yeye ni mmoja wa waliohudhuria tukio la changamoto ya [[Mubahala Baina ya Mtume na Wakristo wa Najrani|Mubahala]], [62] na ni mmoja wa [[Ahlul-Bayt (a.s)]] walio shukiwa na [[Aya ya utakaso]]. [63] | |||
=== Imamu Sajjad (a.s) === | === Imamu Sajjad (a.s) === |