Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Uarifisho wa Maimamu
Tag: Manual revert |
|||
Mstari 73: | Mstari 73: | ||
:''Makala asili: [[Imam Ali (a.s)]]'' | :''Makala asili: [[Imam Ali (a.s)]]'' | ||
Ali bin Abi Talib, maarufu kama Imam Ali (a.s) na akiitwa [[Amirul Mu'minin (a.s)]], ni Imamu wa kwanza wa Shia, mtoto wa Abu Talib na Fatima bint Asad, alizaliwa tarehe 13 Rajab mwaka wa 30 Hijiri katika Kaaba. [34] | Ali bin Abi Talib, maarufu kama Imam Ali (a.s) na akiitwa [[Amirul Mu'minin (a.s)]], ni Imamu wa kwanza wa Shia, mtoto wa [[Abu Talib]] na [[Fatima bint Asad]], alizaliwa [[tarehe 13 Rajab]] mwaka wa 30 Hijiri katika [[Kaaba]]. [34] | ||
Alikuwa ni mtu wa kwanza kumuamini Mtume (s.a.w.w), [35] na alikuwa karibu sana na bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) | Alikuwa ni mtu wa kwanza [[kumuamini]] Mtume (s.a.w.w), [35] na alikuwa karibu sana na bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) amabaye [[alioa]] binti yake, [[Fatima (s.a)]]. [36] | ||
Ingawa Mtume Muhammad (s.a.w.w) mara kadhaa alimtambulisha Ali (a.s) kama mrithi wake, [37] -ikiwemo tukio la Ghadir Khum- ila Abu Bakar alichaguliwa kuwa Khalifa wa kwanza wa Waislamu baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w | |||
Baada ya kipindi cha miaka 25 ya subira na kujiepusha na mapinduzi, na kwa nia ya kuhifadhi amani na kulinda | Ingawa Mtume Muhammad (s.a.w.w) mara kadhaa alimtambulisha Ali (a.s) kama mrithi wake, [37] -ikiwemo [[tukio la Ghadir Khum]]- ila [[Abu Bakar]] alichaguliwa kuwa Khalifa wa kwanza wa Waislamu baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w). [38] Baada ya [[kipindi cha miaka 25]] ya subira na kujiepusha na mapinduzi, na kwa nia ya kuhifadhi amani na kulinda umoja wa jamii ya Kiislamu katika zama za [[Makhalifa watatu]], Ali (a.s) [[alichaguliwa]] kuwa Khalifa wa Waislamu mnamo [[mwaka wa 35 Hijiria]]. [39] Katika [[ukhalifa wake]] wa miaka minne na miezi tisa, vilitokea vita vitatu vya ndani vya Waislamu wenyewe kwa wenyewe, amabavyo ni: [[Vita vya Jamal]], [[vita vya Siffiin]], na [[vita vya Nahrawani]]. | ||
Katika ukhalifa wake wa miaka minne na miezi tisa, | |||
Ali (a.s) alipigwa upanga na Ibn Muljim Muradi akiwa ndani ya mihrabu ya Msikiti wa Kufa wakati wa | Ali (a.s) alipigwa upanga na [[Ibn Muljim Muradi]] akiwa ndani ya mihrabu ya [[Msikiti wa Kufa]] wakati wa [[sala]] ya asubuhi ya [[tarehe 19 Ramadhani]], [[mwaka wa 40 Hijiria]], na akafa tarehe 21 Ramadhani na kuzikwa huko mjini [[Najaf]] nchini Iraq. [41] Ali (a.s) alikuwa na [[Sifa na wasifu wa Imamu Ali (a.s)|wasifu wa sifa]] nyingi mno, ikiwa ni pamoja na ujasiri, uchamungu, na hekima. [42] Imepokelewa kutoka kwa [[Ibn Abbas]] kwamba; zaidi ya [[Aya]] 300 zimeteremshwa kumsifu Ali (a.s). [43] Pia imepokelewa kutoka kwake kwamba [[Mungu]] hakuteremsha aya yoyote ambayo ndani yake mna ibara isemayo ''«یا أیها الذین آمنوا» "Enyi mlioamini"'', isipokuwa Ali (a.s) yuko mbele ya Waumini hao na ndiye Amiri wao. [44] | ||
Ali (a.s) alikuwa na wasifu wa sifa nyingi mno, ikiwa ni pamoja na ujasiri, uchamungu, na hekima. [42] | |||
Imepokelewa kutoka kwa Ibn Abbas kwamba; zaidi ya Aya 300 zimeteremshwa kumsifu Ali (a.s). [43] | |||
Pia imepokelewa kutoka kwake kwamba Mungu hakuteremsha aya yoyote ambayo ndani yake mna ibara isemayo «یا أیها الذین آمنوا» "Enyi mlioamini", isipokuwa Ali (a.s) yuko mbele ya Waumini hao na ndiye Amiri wao. [44] | |||
=== Imamu Hassan (a.s) === | === Imamu Hassan (a.s) === |