Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Maimamu wa Kishia''' (Kiarabu: '''''أئمة أهل البيت''''') ni viongozi kumi na mbili, ambao ni [[Ahlul-Bayt (a.s)|watu wa nyumba ya Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] ambao kwa mujibu wa Hadithi, wao ndio warithi wa bwana Mtume (s.a.w.w.) na ni [[Maimamu]] wa jamii ya Kiislamu baada yake. Imamu wa kwanza wa Mashia ni [[Imam Ali (a.s)]] na maimamu wengine wanaofuatia baada yake, ni watoto wake na wajukuu wa [[bibi Zahra (a.s)]].
'''Maimamu wa Kishia''' (Kiarabu: '''''أئمة أهل البيت''''') au '''Maimamu kutoka familia ya Mtume (s.a.w.w)''' ni viongozi kumi na mbili, ambao ni [[Ahlul-Bayt (a.s)|watu wa nyumba ya Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] ambao kwa mujibu wa Hadithi, wao ndio warithi wa bwana Mtume (s.a.w.w.) na ni [[Maimamu]] wa jamii ya Kiislamu baada yake. Imamu wa kwanza wa Mashia ni [[Imam Ali (a.s)]] na maimamu wengine wanaofuatia baada yake, ni watoto wake na wajukuu wa [[bibi Zahra (a.s)]].
Kwa mujibu wa madhehebu ya [[Shia Imamiyyah]], Maimamu (a.s) wameteuliwa kuwa Maimamu na Mwenyezi Mungu nao viongozi wenye sifa kadhaa, miongoni mwazo ni kama vile; [[umaasumu]], [[Ubora wa Imamu|ubora]], wana [[ujuzi uliofungamana na elimu ghaibu]] na wana haki ya kuombea waja wa Mungu [[shufaa]]. Maimamu (a.s) wana majukumu yote ya Mtume (s.a.w.w) isipokuwa kupokea [[ufunuo]] na kuleta Sheria tu.

Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits