Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
→Sifa na wasifu makhususi wa Imamu
No edit summary |
|||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
== Sifa na wasifu makhususi wa Imamu == | == Sifa na wasifu makhususi wa Imamu == | ||
Imani ya uimamu wa maimamu kumi na wawili ni miongoni mwa itikadi za madhehebu ya Shia Ithnaashariyya. [1] Kwa mtazamo wa Mashia, Maimamu wameteuliwa na Mwenyezi Mungu na hutangazwa kupitia Mtume Muhammad (s.a.w.w). [2] Mashia wanaamini kwamba ijapokuwa majina ya Maimamu hayakutajwa ndani ya | Imani ya uimamu wa maimamu kumi na wawili ni miongoni mwa itikadi za madhehebu ya [[Shia Imamiyyah|Shia Ithnaashariyya]]. [1] Kwa mtazamo wa Mashia, Maimamu wameteuliwa na [[Mwenyezi Mungu]] na hutangazwa kupitia [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]]. [2] | ||
Kwa mujibu nadharia na itikadi ya Shia, Maimamu wana majukumu yote aliyo nayo Mtume (s.a.w.w), kama vile kueleza aya za Qur'an, kufafanua sheria za kidini, kulea na kuelimisha watu katika jamii, kujibu maswali ya kidini, kusimamisha haki na uadilifu katika jamii, na kulinda mipaka ya Uislamu, tofauti yao na Mtume (s.a.w.w) ni katika suala la kupokea ufunuo na kuleta | |||
[[Shia Imamiyyah|Mashia]] wanaamini kwamba ijapokuwa majina ya Maimamu hayakutajwa ndani ya [[Qur'an Kareem|Qur’an]], lakini Uimamu wa wao umetajwa katika [[Aya]] kadhaa. Miongoni mwa Aya zinazo zungumzia Uimamu, kama vile; [[Aya ya Ulul-Amr]], [[Aya ya Tat-hir]], [[Aya ya Wilayah]], [[Aya ya al-Ikmal]], [[Aya ya al-Tabligh|Aya ya Tabligh]] na [[Aya ya Saadiqina]]. [3] Bila shaka majina na idadi ya Maimamu hao (a.s) yametajwa katika Hadith. [4] | |||
Kwa mujibu nadharia na itikadi ya Shia, Maimamu wana majukumu yote aliyo nayo Mtume (s.a.w.w), kama vile kueleza [[aya za Qur'an]], kufafanua sheria za kidini, kulea na kuelimisha watu katika jamii, kujibu maswali ya kidini, kusimamisha haki na [[uadilifu]] katika jamii, na kulinda mipaka ya [[Uislamu]], tofauti yao na Mtume (s.a.w.w) ni katika suala la kupokea [[ufunuo]] na kuleta [[Hukumu za kisheria|Sheria]]. [5] | |||
=== Sifa na wasifu makhususi === | === Sifa na wasifu makhususi === | ||
Kwa mtazamo wa madhehebu ya Mashia wa Imamiyya, baadhi ya sifa za Maimamu kumi na mbili ni kama zifuatazo: [Maelezo 1] | Kwa mtazamo wa madhehebu ya Mashia wa Imamiyya, baadhi ya sifa za Maimamu kumi na mbili ni kama zifuatazo: [Maelezo 1] | ||
* [[Umaasumu]]: Kama vile Mtume (s.a.w.w) alivyo Maasumu, Maimamu ni Maasumu, yaani hawatendi dhambi na hawana aina yoyote ile ya mitelezo ya upotofu. [6] | * [[Umaasumu]]: Kama vile Mtume (s.a.w.w) alivyo Maasumu, Maimamu ni Maasumu, yaani hawatendi [[dhambi]] na hawana aina yoyote ile ya mitelezo ya upotofu. [6] | ||
* [[Ubora]]: Kupitia mtazamo wa wanachuoni wa Kishia, Maimamu ni watu | * [[Ubora]]: Kupitia mtazamo wa wanachuoni wa Kishia, Maimamu ni watu bora kabisa, nao ni bora kuliko viumbe wote, [[malaika]] na watu wengine wote, isipokuwa [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]]. Kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na ubora wa Maimamu (a.s), Hadithi ambazo ni [[mustafidhu]] (zinazokaribia daraja ya “[[mutawatir]]”). [8] | ||
* [[Elimu ya ghaibu]]: Maimamu wana elimu ya ghaibu kutoka kwa Mwenyezi Mungu [9] | * [[Elimu ya ghaibu]]: Maimamu wana elimu ya ghaibu kutoka kwa Mwenyezi Mungu [9] | ||
* [[Wilayatu takwiiniyyah na wilayatu tashri’iyyah]]: Maana yake ni; Mamlaka ya uendeshaji ulimwengu wa kimaada na Kisheria. Wanachuoni wengi wa Kishia wanakubaliana uthibitisho unao ashiria mamlaka hayo ya Maimamu (a.s). Hakuna tofauti wa khitilafu baina wanazuoni kuhusiana na mamlaka ya Maimamu juu ya nafsi pamoja na mali zao [11] Kwa kuzingatia Hadithi zinazo elezea kukabidhiwa Mtume pamoja na Maimamu mamalaka ya mambo mbali mbali, [12] Hadithi hizo pia zinathibisha mamlaka juu ya kutunga sheria. [13] | * [[Wilayatu takwiiniyyah na wilayatu tashri’iyyah]]: Maana yake ni; Mamlaka ya uendeshaji ulimwengu wa kimaada na Kisheria. Wanachuoni wengi wa Kishia wanakubaliana uthibitisho unao ashiria mamlaka hayo ya Maimamu (a.s). Hakuna tofauti wa khitilafu baina wanazuoni kuhusiana na mamlaka ya Maimamu juu ya nafsi pamoja na mali zao [11] Kwa kuzingatia Hadithi zinazo elezea kukabidhiwa Mtume pamoja na Maimamu mamalaka ya mambo mbali mbali, [12] Hadithi hizo pia zinathibisha mamlaka juu ya kutunga sheria. [13] | ||
Mstari 32: | Mstari 35: | ||
Imamu Ali Imamu | Imamu Ali Imamu | ||
Hassan Imamu Hussein Imamu HSajjad Imamu HBaqir Imamu HSadiq Imamu HKadhim Imamu HRidha Imamu Jawad Imamu Hadi Imamu Askari Imamu Mahdi | Hassan Imamu Hussein Imamu HSajjad Imamu HBaqir Imamu HSadiq Imamu HKadhim Imamu HRidha Imamu Jawad Imamu Hadi Imamu Askari Imamu Mahdi | ||
11. H 40. H 50. H 61. H 94. H 115. H 148. H 183. H 203. H 220. H 254. H 260. H | 11. H 40. H 50. H 61. H 94. H 115. H 148. H 183. H 203. H 220. H 254. H 260. H | ||
== Uimamu wa Maimamu == | == Uimamu wa Maimamu == |