Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 41: Mstari 41:
:''Makala Asili: [[Uimamu wa Maimamu wa Kishia]]''
:''Makala Asili: [[Uimamu wa Maimamu wa Kishia]]''


Ili kuthibitisha Uimamu wa Maimamu kumi na wawili, wanavyuoni wa Shia wamewasilisha hoja mbali mbali za kimantiki (kiakili) pia hoja za maandiko. Hoza za kimantiki zilizo simamishwa na wanazuoni hao ni kama vile; Umaasumu na ubora wa Maimamu (a.s). Kwa upande wa hoja za maandiko, wao maetoa vielelezo vya baadhi ya Hadithi kama vile; Hadithi ya Jabir, Hadithi ya Lauh, na Hadithi ya Makhalifa 12. [24]
Ili kuthibitisha Uimamu wa Maimamu kumi na wawili, wanavyuoni wa Shia wamewasilisha hoja mbali mbali za kimantiki (kiakili) pia hoja za maandiko. Hoza za kimantiki zilizo simamishwa na wanazuoni hao ni kama vile; [[Umaasumu]] na [[Ubora wa Imamu|ubora wa Maimamu (a.s)]]. Kwa upande wa hoja za maandiko, wao wametoa vielelezo vya baadhi ya Hadithi kama vile; [[Hadithi ya Jabir]], [[Hadithi ya Lauh]], na [[Hadithi ya Makhalifa 12]]. [24]


=== Hadithi ya Jabir ===
=== Hadithi ya Jabir ===
Mstari 53: Mstari 53:
:''Makala asili: [[Hadithi ya Makhalifa kumi na mbili]]''
:''Makala asili: [[Hadithi ya Makhalifa kumi na mbili]]''


Kuna baadhi ya Hadithi zilizo simuliwa na Wasunni ambapo idadi ya makhalifa wa Mtume (s.a.w.w.) na baadhi ya sifa zao, kama vile sifa ya Uquraishi, zimetajwa ndani yake. Mtume (s.a.w.w.)  katika Hadithi iliyo nukuliwa na Jabir bin Samra kutoka kwa Mtume (s.a.w.w) amesem: “Dini hii itaendelea kuwa salama madhali (endapo) mtatawaliwa na Makhalifa 12, ambao wote wanatokana na ukoo wa Kikuraishi” "Katika Hadithi iliyonukuliwa na Ibn Massoud, idadi ya Warithi watakao shika nafasi ya uongozi baada ya Mtume (s.a.w.w.) ni 12, ambayo ni sawa na idadi ya Wana wa Israeli. Kwa mujibu wa maelezo ya Sulaiman bin Ibrahim Qanduzi, ambaye ni mwanazuoni wa Kisunni, makhalifa kumi na mbili walio kusudiwa katika Hadithi ya bwana Mtume (sa.w.w) ni Maimamu kumi na mbili wa Kishia, kwa sababu Hadithi hii haiwezi kuingiza wengine wasiokuwa hao. [30]
Kuna baadhi ya Hadithi zilizo simuliwa na Wasunni ambapo idadi ya makhalifa wa Mtume (s.a.w.w.) na baadhi ya sifa zao, kama vile sifa ya Uquraishi, zimetajwa ndani yake. Mtume (s.a.w.w.)  katika Hadithi iliyo nukuliwa na [[Jabir bin Samra]] kutoka kwa Mtume (s.a.w.w) amesema: “Dini hii itaendelea kuwa salama madhali (endapo) mtatawaliwa na Makhalifa 12, ambao wote wanatokana na ukoo wa [[Kikuraishi]]” "Katika Hadithi iliyonukuliwa na [[Ibn Massoud]], idadi ya Warithi watakao shika nafasi ya uongozi baada ya Mtume (s.a.w.w.) ni 12, ambayo ni sawa na idadi ya [[viongozi wa Israeli]]. Kwa mujibu wa maelezo ya Sulaiman bin Ibrahim Qanduzi, ambaye ni mwanazuoni wa Kisunni, makhalifa kumi na mbili walio kusudiwa katika Hadithi ya bwana Mtume (sa.w.w) ni Maimamu kumi na mbili wa Kishia, kwa sababu Hadithi hii haiwezi kuingiza wengine wasiokuwa hao. [30]


== Uarifisho wa Maimamu ==
== Uarifisho wa Maimamu ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits