Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Maimamu wa Kishia''' (Kiarabu: '''''أئمة أهل البيت''''') ni viongozi kumi na mbili, ambao ni watu wa nyumba ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) ambao kwa mujibu wa Hadithi, wao ndio warithi wa bwana Mtume (s.a.w.w.) na ni Maimamu wa jamii ya Kiislamu baada yake. Imamu wa kwanza wa Mashia ni Imam Ali (a.s) na maimamu wengine wanaofuatia baada yake, ni watoto wake na wajukuu wa bibi Zahra (a.s). | '''Maimamu wa Kishia''' (Kiarabu: '''''أئمة أهل البيت''''') ni viongozi kumi na mbili, ambao ni [[Ahlul-Bayt (a.s)|watu wa nyumba ya Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] ambao kwa mujibu wa Hadithi, wao ndio warithi wa bwana Mtume (s.a.w.w.) na ni [[Maimamu]] wa jamii ya Kiislamu baada yake. Imamu wa kwanza wa Mashia ni [[Imam Ali (a.s)]] na maimamu wengine wanaofuatia baada yake, ni watoto wake na wajukuu wa [[bibi Zahra (a.s)]]. | ||
Kwa mujibu wa madhehebu ya | Kwa mujibu wa madhehebu ya [[Shia Imamiyyah]], Maimamu (a.s) wameteuliwa kuwa Maimamu na Mwenyezi Mungu nao viongozi wenye sifa kadhaa, miongoni mwazo ni kama vile; [[umaasumu]], [[Ubora wa Imamu|ubora]], wana [[ujuzi uliofungamana na elimu ghaibu]] na wana haki ya kuombea waja wa Mungu [[shufaa]]. Maimamu (a.s) wana majukumu yote ya Mtume (s.a.w.w) isipokuwa kupokea [[ufunuo]] na kuleta Sheria tu. | ||
Majina ya Maimamu 12 hayajatajwa katika Qur'an, lakini kuna baadhi ya Hadithi kutoka kwa Mtume (s.a.w.w) kama vile Hadithi ya hotuba ya Ghadir, Hadith iliyo nukuliwa na Jabir na Hadith ya Makhalifa Kumi na mbili (a.s). Kwa mujibu wa Hadithi hizi, Maimamu na warithi wa Mtume (s.a.w.w) ni watu kumi na mbili, wote ni kutoka kwa | [[Masunni]] hawakubali [[Uimamu wa Maimamu wa Kishia]], lakini wanaonyesha upendo juu yao na kukubaliana na mamlaka yao ya kidini na kielimu. | ||
Kwa mujibu wa maoni ya madhehebu ya Mashia Ithnaashariyyah, Imam Ali (a.s) aliteuliwa na kupewa nafasi ya Uimamu kupitia vielelezo vya wazi kabisa kutoka Mtume (s.a.w.w). Yaani yeye aliteuliwa moja kwa moja na Mtume (s.a.w.w). Tangu wakati huo, kila imamu amemtambulisha imamu atakaye fuata baada yake kwa vielelezo vya wazi na kwa maandishi. Kwa hiyo, warithi 12 baada ya Mtume (s.a.w.w), ni hawa wafuatao: Ali bin Abi Talib, Hassan bin Ali, Hussein bin Ali, Ali bin Hussein, Muhammad bin Ali, Ja’afar bin Muhammad, Musa bin Jafa’ar, Ali bin | Majina ya Maimamu 12 hayajatajwa katika [[Qur'an Kareem|Qur'an]], lakini kuna baadhi ya Hadithi kutoka kwa [[Mtume (s.a.w.w)]] kama vile Hadithi ya [[hotuba ya Ghadir]], [[Hadithi ya Jabir|Hadith]] iliyo nukuliwa na Jabir na [[Hadith ya Makhalifa Kumi na mbili (a.s)]]. Kwa mujibu wa Hadithi hizi, Maimamu na warithi wa Mtume (s.a.w.w) ni watu kumi na mbili, wote ni kutoka kwa [[Maquraishi]] na familia ya Mtume (s.a.w.w). | ||
Kuna vitabu vingi vilivyo andikwa na kuhusiana na wasifu wa Maimamu wa Kishia na sifa zao, Kitabu maarufu kwa wanazuoni wa madhehebu ya Shia ni [[al-Irshadu]] na [[Dal'il al-Imama]], na kutoka upande wa Sunni ni [[Yanaabiu al-Muwadda]] na [[Tadhkratu al-Khawas]]. | |||
Kwa mujibu wa maoni ya madhehebu ya Mashia Ithnaashariyyah, Imam Ali (a.s) aliteuliwa na kupewa nafasi ya [[Uimamu]] kupitia vielelezo vya wazi kabisa kutoka Mtume (s.a.w.w). Yaani yeye aliteuliwa moja kwa moja na Mtume (s.a.w.w). Tangu wakati huo, kila imamu amemtambulisha imamu atakaye fuata baada yake kwa vielelezo vya wazi na kwa maandishi. Kwa hiyo, warithi 12 baada ya Mtume (s.a.w.w), ni hawa wafuatao: [[Ali bin Abi Talib]], [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Hassan bin Ali]], [[Hussein bin Ali]], [[Ali bin Hussein]], [[Muhammad bin Ali]], [[Imam Swadiq (a.s)|Ja’afar bin Muhammad]], [[Imamu Musa Kadhim (a.s)|Mussa bin Jafa’ar]], [[Ali bin Mussa]]. [[Imamu Jawadi (a.s)|Muhammad bin Ali]], [[Ali bin Muhammad]], [[Hassan bin Ali]] na [[Mahdi]] (amani iwe juu yao). Kwa mujibu wa mtazamo mashuhuri wa [[Shia Imamiyyah|Kishia]], Maimamu kumi na mmoja waliuawa [[kishahidi]] na wa mwisho ambaye ni Mahdi aliyeahidiwa [[kudhuhiri]], yuko katika [[Ghaiba ya Imam Mahdi (a.t.f.s)|ghaibu]]. | |||
Kuna vitabu vingi vilivyo andikwa na kuhusiana na wasifu wa Maimamu wa Kishia na sifa zao, Kitabu maarufu kwa wanazuoni wa madhehebu ya [[Shia]] ni [[al-Irshadu]] na [[Dal'il al-Imama]], na kutoka upande wa Sunni ni [[Yanaabiu al-Muwadda]] na [[Tadhkratu al-Khawas]]. | |||
== Sifa na wasifu makhususi wa Imamu == | == Sifa na wasifu makhususi wa Imamu == |