Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Katika nafasi ya Uimamu, suala la ubora ni mojawapo ya masharti ya kustahiki nafasi ya Uimamu. Hii inamaanisha kwamba; Mtu anaye stahiki kuwa Imamu ni yule mtu mwenye ubora katika sifa tofauti pamoja na ubora wa maadili ya kibinadamu ukilinganisha na wengine. Kulingana na maoni ya [[wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Ithanaashariyyah]], Imamu anapaswa kuwa mbora kuliko wengine; [[kielimu]], [[kidini]], [[kiuchamungu]], [[kiukarimu]] na [[kiujasiri]]. Imamu pia anatakiwa awe ni mtu wa mbele kabisa kuliko wengine katika njia ya kutafuta [[ujira]] na manufaa ya [[Akhera]] ... Suala la sharti ya ubora wa mshika nafasi ya Uimamu, imethibitishwa kupitia hoja ya kiakili za ni: ''“tarjihu bilaa Murajjih”'' "kuto kuingia akilini tendo kuchagua kitu fulani na kuachana na chengini bila sababu maalumu" na ''“Kubhu taqdiimu al-mafdhuli ‘ala al-fadhil”'' "kuto kubalika chaguo  la kuchagua kilicho duni na kuachana na kilicho bora" na pia Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: "Kiongozi yeyote anayeongoza watu, kisha miongoni mwao kukawa kuna mtu aliye na elimu Zaidi kuliko yeye, mambo ya watu hao yataendelea kuwa mbaya hadi siku ya Kiyama."Pia ukachana na hoja hizi, kuna baadhi ya [[aya za Qur'an]] zilizo tumika katika kusisitiza suala hilo.
'''Ubora wa Imamu'''(Kiarabu: '''''أفضلية الإمام'''''), Katika nafasi ya Uimamu, suala la ubora ni mojawapo ya masharti ya kustahiki nafasi ya Uimamu. Hii inamaanisha kwamba; Mtu anaye stahiki kuwa Imamu ni yule mtu mwenye ubora katika sifa tofauti pamoja na ubora wa maadili ya kibinadamu ukilinganisha na wengine. Kulingana na maoni ya [[wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Ithanaashariyyah]], Imamu anapaswa kuwa mbora kuliko wengine; [[kielimu]], [[kidini]], [[kiuchamungu]], [[kiukarimu]] na [[kiujasiri]]. Imamu pia anatakiwa awe ni mtu wa mbele kabisa kuliko wengine katika njia ya kutafuta [[ujira]] na manufaa ya [[Akhera]] ... Suala la sharti ya ubora wa mshika nafasi ya Uimamu, imethibitishwa kupitia hoja ya kiakili za ni: ''“tarjihu bilaa Murajjih”'' "kuto kuingia akilini tendo kuchagua kitu fulani na kuachana na chengini bila sababu maalumu" na ''“Kubhu taqdiimu al-mafdhuli ‘ala al-fadhil”'' "kuto kubalika chaguo  la kuchagua kilicho duni na kuachana na kilicho bora" na pia Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: "Kiongozi yeyote anayeongoza watu, kisha miongoni mwao kukawa kuna mtu aliye na elimu Zaidi kuliko yeye, mambo ya watu hao yataendelea kuwa mbaya hadi siku ya Kiyama."Pia ukachana na hoja hizi, kuna baadhi ya [[aya za Qur'an]] zilizo tumika katika kusisitiza suala hilo.

Wengi wa Waislamu wa madhehebu ya [[Sunni]] hawaoni suala la ubora wa Imamu kuwa suala la lazima au [[wajibu]], bali kwa mtazamo wao hata mtu wa daraja ya chini pia anaweza kuwa Imamu katika hali ya kuwepo kwa kikwazo au manufaa maalumu. Kulingana na maelezo ya [[Saad al-Din al-Taftazani]], mwanatheolojia wa Kisunni wa [[karne ya nane ya Hijiria]], ni kwamba; Kwa mujibu wa maoni ya Sunni na madhehebu mengi ya Kiislamu, katika zama na nyakati zote, Uimamu ni haki ya yule aliye mbora zaidi miongoni mwa wanajamii, isipokuwa kama uteuzi wake utapelekea machafuko na fitna katika jamii. Hoja na vielelezo juu ya maoni ya Kisunni; ni [[mawafikiano]] ya wanazuoni juu ya kukubalika uteuzi wa Imamu kupitia makubaliano na maridhiano ya wanajamii katika kumchagua imamu mwenye daraja ya chini baada zama za [[Khulafau al-Rashidina]] na tendo la [[khalifa wa pili]] la kuteuwa [[kamati ya watu sita]] ili wamchague mmoja kati yao awe khalifa.

Mstari 5: Mstari 5:
Kulingana na wanazuoni wa [[Shia Imamiyyah|Shia]] ni kwamba, [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wa Shia (a.s)]], baada ya [[Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w)]], ni bora zaidi kuliko viumbe wote Mwenyezi Mungu. [[Allama Majlisi]] anaamini kwamba ni mjinga mpeke yake ndiye anaye kataa ubora wa Maimu wa Kishia. Hoja ya ubora wa mtu anayetaka kushika nafasi ya Uimamu, ndiyo hoja iliyo tumika kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s), ambayo huitwa "[[hoja ya ubora]]".

== Welewa wa dhana na upeo wape ==
== Welewa wa dhana na upeo wake ==

Kwa maoni ya wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Imamiyah, ubora wa Imamu unamaanisha na kulenga zaidi kwenye ubora wake juu ya wengine katika sifa maalumu kama vile; [[elimu]], [[uadilifu]], ujasiri na [[uchamungu]], sifa hizi ndizo zinazo zaingatiwa kuwa ndio masharti ya [[Uimamu]]. [1] Katika baadhi ya vyanzo vya kitheolojia, ubora huu unamaanisha pia ubora katika [[ibada]] na ubora katika jitihada za kutafuta [[thawabu]] na kujikirubisha kwa Mwenye Ezi Mungu. [2] Kwa hivyo, wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Imamiyah wanaamini kwamba; [[Imamu]] ni bora kuliko watu wengine katika sifa zote za kiroho na kimwili kama vile elimu, [[dini]], uchamungu, [[ukarimu]], [[ujasiri]], [3] na ubora katika kutafuta thawabu na mafanikio ya siku ya mwisho (mafanikio ya Akhera). [4] Manatheolojia hao wanaamini kwamba; ni Imamu lazima awe ni mtu mwenye elimu zaidi, mwenye ujasiri zaidi, mwenye ukarimu zaidi, mwenye subira zaidi, mwenye uchamungu zaidi, na kadhalika, kuliko watu wote manaoishi katika zama zake, [5] ili awe ni kigezo kwa watu na awe ni mwenye kustahiki kufuatwa na wengine. [6]

Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits