Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 77: Mstari 77:


Kuna kundi kati ya wafuasi wa madhehebu ya [[Sunni]] waliozua pingamizi dhidi ya wajibu Imamu kuwa na sifa bora, 45 miongoni mwa pigamizi hizo ni kama ifuatavyo:
Kuna kundi kati ya wafuasi wa madhehebu ya [[Sunni]] waliozua pingamizi dhidi ya wajibu Imamu kuwa na sifa bora, 45 miongoni mwa pigamizi hizo ni kama ifuatavyo:
Ubora haufungamani wala haulazimiani na sula la kipaumbele katika uongozi: kwa sababu mwenye daraja ya chini anaweza kupata kipau mble katika hali fulani na kutangulizwa mbele kuliko mbora wao. Kwa mfano; Iwapo mtu mwenye ubora wa wa chini atakuwa na uwezo kuwa na ujuzi zaidi katika uongozi wa jamii na kisiasa kuliko mtu aliye bora zaidi yake, jamii itampendelea yeye zaidi katika kushika nafasi ya Uimamu na uongozi wa jamii. [46] Jawabu juu pingamizi hii ni kwamba; Utangulizi ulio tumika katika pingamizi hii, ni utangulizi dhaifu, kwa sababu makadirio ya utangulizi huu yamezungumzia ubora katika nyanja za matendo ya ibada na uchamungu, na msingi huo sio sahihi kwa sababu ubora wa Imamu unahusisha sifa ambazo ni muhimu kwa Imamu, zikiwemo sifa zinazo wezesha usimamizi wa kisiasa na uongozi wa jamii. Pia, katika pingamizi hii, ubora wa Imamu umezingatiwa kwenye kiwago cha malinganisho kinachoweza kupatikana kwa kiwango fulani na kutofautiana na wengine kwa viwango walivyo navyo, wakati linapozungumzwa suala la ubora wa Imamu, hukusudiwa ubora kamili na ubora katika sifa zote na ukamilifu ambao ni muhimu kwa ajili ya uwepo wa Uimamu. [47] Kwa hiyo madai ya Shia yanalenga ubora kamili sio kiwango fulani ambacho kinaweza kulinganishwa na kupikuliwa na mtu mwengine.
 
Mifano isiyo afikiana na ubora: Imedaiwa kwamba nadharia ya ubora haiwiani na mifano ya uteuzi wa viongozi ulio fanyika katika zama za bwana Mtume (s.a.w.w) na makhalifa. Uteuzi wa maimamu au makamanda wa jeshi haukuonekana kufuata kanuni hiyo. [48] Miongoni mwao, ni uteuzi wa amri ya Zaidu bin Harithati katika vita vya Mauta, licha ya kuwepo kwa Jafar bin Abi Talib, uteuzi wa Usama bin Zaid, katika siku za mwisho za uhai wa Mtume (s.a.w.w) pamoja na kuwepo kwa Imam Ali (a.s) [49]. Mifano mengine ni kuuwakilisha uteuzi wa ukhalifa mikononi mwa baraza la watu sita, ambapo Omar bin Khattab pamoja na kuwepo kwa Ali (a.s) na Othman, aliwakabidhi hatu hao sita wenyewe kwa wenyewe wamchague mmoja miongoni mwao kuwa khalifa. Waliojibu pingamizi hii wamesema ya kwamba; Uteuzi wa kamanda hauzingatii wala hauhitaja ukamilifu na ubora wa mtu katika nyanja zote, wala kamda hahitaji kuwa na ukamilifu timamu na kuwa mbora kuliko wote, bali inatosha yeye kuwa ni mbora katika mambo yanayohusiana na vita tu. Kwa vile Zaid na Osama walikuwa na wabora katika seta hizo, hilo lilitosha kuwa ni ndio sababu ya kuteuliwa kwao. Kuhusu uteuzi wa Usama, inasemekana kwamba; Imam Ali (a.s) alikuwa karibu na kitanda cha Mtume (s.a.w.w) siku hiyo, na wala Mtume (s.a.w.w) hakumtaka Imam Ali (a.s) kujiunga na jeshi la Usama. Kwa hiyo, Ali (a.s.) hakulazimika kuwa katika jeshi la Usama. [51] Kwa upande wa pili unao husiana na maamuzi ya Omar ni kwamba; Usahihi wa matendo ya Omar bin Khattab umeegemea juu uhalali wa matendo ya Masahaba, ambapo Mashia hawayakubali na nadharia hiyo. [52] Yaani Mashi hawayahisabu matendo ya Masahaba kuwa ni hoja na kielelezo kinachoweza cha kutegemewa katika kusimamisha hoja.
* '''Ubora haufungamani wala haulazimiani na sula la kipaumbele katika uongozi''': kwa sababu mwenye daraja ya chini anaweza kupata kipau mble katika hali fulani na kutangulizwa mbele kuliko mbora wao. Kwa mfano; Iwapo mtu mwenye ubora wa wa chini atakuwa na uwezo kuwa na ujuzi zaidi katika uongozi wa jamii na kisiasa kuliko mtu aliye bora zaidi yake, jamii itampendelea yeye zaidi katika kushika nafasi ya Uimamu na uongozi wa jamii. [46] Jawabu juu pingamizi hii ni kwamba; Utangulizi ulio tumika katika pingamizi hii, ni utangulizi dhaifu, kwa sababu makadirio ya utangulizi huu yamezungumzia ubora katika nyanja za matendo ya ibada na uchamungu, na msingi huo sio sahihi kwa sababu ubora wa [[Imamu]] unahusisha sifa ambazo ni muhimu kwa Imamu, zikiwemo sifa zinazo wezesha usimamizi wa kisiasa na uongozi wa jamii. Pia, katika pingamizi hii, ubora wa Imamu umezingatiwa kwenye kiwago cha malinganisho kinachoweza kupatikana kwa kiwango fulani na kutofautiana na wengine kwa viwango walivyo navyo, wakati linapozungumzwa suala la ubora wa Imamu, hukusudiwa ubora kamili na ubora katika sifa zote na ukamilifu ambao ni muhimu kwa ajili ya uwepo wa Uimamu. [47] Kwa hiyo madai ya Shia yanalenga ubora kamili sio kiwango fulani ambacho kinaweza kulinganishwa na kupikuliwa na mtu mwingine.
Monografia (vitabu malumu juu ya mada hii)
* '''Mifano isiyo afikiana na ubora''': Imedaiwa kwamba nadharia ya ubora haiwiani na mifano ya uteuzi wa viongozi ulio fanyika katika zama za bwana Mtume (s.a.w.w) na makhalifa. Uteuzi wa maimamu au makamanda wa jeshi haukuonekana kufuata kanuni hiyo. [48] Miongoni mwao, ni uteuzi wa amri ya [[Zaidu bin Harith]] katika [[vita vya Mauta]], licha ya kuwepo kwa [[Jafar bin Abi Talib]], uteuzi wa [[Usama bin Zaid]], katika siku za mwisho za uhai wa Mtume (s.a.w.w) pamoja na kuwepo kwa Imam Ali (a.s) [49]. Mifano mengine ni kuuwakilisha uteuzi wa ukhalifa mikononi mwa baraza la watu sita, ambapo [[Omar bin Khattab]] pamoja na kuwepo kwa Ali (a.s) na [[Othman]], aliwakabidhi hatu hao sita wenyewe kwa wenyewe wamchague mmoja miongoni mwao kuwa khalifa. Waliojibu pingamizi hii wamesema ya kwamba; Uteuzi wa kamanda hauzingatii wala hauhitaja ukamilifu na ubora wa mtu katika nyanja zote, wala kamda hahitaji kuwa na ukamilifu timamu na kuwa mbora kuliko wote, bali inatosha yeye kuwa ni mbora katika mambo yanayohusiana na vita tu. Kwa vile Zaid na Osama walikuwa na wabora katika seta hizo, hilo lilitosha kuwa ni ndio sababu ya kuteuliwa kwao. Kuhusu uteuzi wa Usama, inasemekana kwamba; Imam Ali (a.s) alikuwa karibu na kitanda cha [[Mtume (s.a.w.w)]] siku hiyo, na wala Mtume (s.a.w.w) hakumtaka Imam Ali (a.s) kujiunga na jeshi la Usama. Kwa hiyo, Ali (a.s.) hakulazimika kuwa katika jeshi la Usama. [51] Kwa upande wa pili unao husiana na maamuzi ya Omar ni kwamba; Usahihi wa matendo ya Omar bin Khattab umeegemea juu uhalali wa matendo ya Masahaba, ambapo Mashia hawayakubali na nadharia hiyo. [52] Yaani [[Shia Imamiyyah|Mashia]] hawayahisabu matendo ya [[Masahaba]] kuwa ni hoja na kielelezo kinachoweza cha kutegemewa katika kusimamisha hoja.
Afzaliyyate Imam az Manzare ‘Aqle wa Naqle, cha Muhammad Hussein Faaryaab. Kitabu hichi kimechapwa na Taasisi ya Muassese Amuzeshi wa Pazuheshi Imam Khomeiniy. [53]
 
Masuala yanayo fungamana nayo
== Monografia (vitabu malumu juu ya mada hii) ==
Ubora wa Ahlu al-Bait (a.s)
 
• Wasifu na sifa za Imamu Ali (a.s)
* ''Afzaliyyate Imam az Manzare ‘Aqle wa Naqle'', cha Muhammad Hussein Faaryaab. Kitabu hichi kimechapwa na [[Muassese Amuzeshi wa Pazuheshi Imam Khomeiniy]]. [53]
Uimamu
 
== Masuala yanayo fungamana nayo ==
 
* [[Ubora wa Ahlul-Bayt (a.s)]]
* [[Sifa na wasifu wa Imamu Ali (a.s)]]
* [[Uimamu]]
Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits