Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s)
Mstari 326: | Mstari 326: | ||
Kupitia amri ya Omar bin Sa'ad, miili ya askari wa Kufa ilizikwa bila pingamizi; Lakini mwili wa Hussein (a.s) pamoja na miili ya masahaba zake ilibakia ardhini bila kuzikwa. [192] Tarehe 11 Muharram [193] au tarehe 13 Muharram [194] zimetajwa kuwa ndio siku za kuzikwa mashahidi wa Karbala. Kwa mujibu wa baadhi ya kauli; baada ya Omar bin Sa'ad na wafuasi wake kuondoka Karbala, kundi la watu wa kabila la Bani Asad -waliokuwa wakiishi karibu na Karbala- waliingia kwenye eneo la Karbala, na ulipofika usiku ambapo walihisi kuwa wapo salama na hawaonekani na maadui, walimsalia sala ya maiti Imamu Hussein (a.s) pamoja na masahaba zake, kisha wakawazika. [195] Kwa mujibu wa riwaya fulani, mwili wa Imamu Hussein (a.s) alizikwa kupitia msaada wa Imamu Sajjad (a.s). [196] | Kupitia amri ya Omar bin Sa'ad, miili ya askari wa Kufa ilizikwa bila pingamizi; Lakini mwili wa Hussein (a.s) pamoja na miili ya masahaba zake ilibakia ardhini bila kuzikwa. [192] Tarehe 11 Muharram [193] au tarehe 13 Muharram [194] zimetajwa kuwa ndio siku za kuzikwa mashahidi wa Karbala. Kwa mujibu wa baadhi ya kauli; baada ya Omar bin Sa'ad na wafuasi wake kuondoka Karbala, kundi la watu wa kabila la Bani Asad -waliokuwa wakiishi karibu na Karbala- waliingia kwenye eneo la Karbala, na ulipofika usiku ambapo walihisi kuwa wapo salama na hawaonekani na maadui, walimsalia sala ya maiti Imamu Hussein (a.s) pamoja na masahaba zake, kisha wakawazika. [195] Kwa mujibu wa riwaya fulani, mwili wa Imamu Hussein (a.s) alizikwa kupitia msaada wa Imamu Sajjad (a.s). [196] | ||
== Masuala yanayofungamanab== | == Masuala yanayofungamanab== |