Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Kupora mahemani
Mstari 294: | Mstari 294: | ||
"Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" [180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein (a.s). [181] | "Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" [180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein (a.s). [181] | ||
'''Kupora mahemani''' | |||
Baada ya kifo cha kishahidi cha Hussein bin Ali (a.s), askari wa upande wa maadui walishambulia mahema na kupora vilivyokuwemo ndani yake. Kila mmoja wao katika jambo hilo alikuwa akishindana na wengine.” [183] [[Shimru]] naye akiwa na kundi la askari aliingia mahemani kwa nia ya kumuua [[Imamu Sajjad (a.s)]], lakini bibi [[Zainab (a.s)]] akawazuia. Kwa mujibu wa riwaya nyingine; baadhi ya [[askari wa Omar bin Sa'ad]] walipinga jambo hilo. [184] [[Omar bin Sa'ad]] aliwaamuru wanawake watoharifu wa Bani Hashim kukusanyika kwenye hema moja na akawapa baadhi ya askari kuwalinda. [185] | |||
== Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s) == | == Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s) == |