Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 33: Mstari 33:
::'''''Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya [[kuamrisha mema na kukataza mabaya]], ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu [[Ali bin Abi Talib (a.s)]].''''' [26]

[[Faili:مسیر کاروان امام حسین(ع) از مدینه تا کربلا.jpg|thumb|Ramani ya njia ya msafara wa [[Imam Hussein (a.s)]] kutoka [[Madina]] kwenda [[Makka]] na kutoka Makka hadi [[Karbala]]]]
Imamu Husein (a.s) aliondoka [[Madina]] pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea [[Makka]]. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Hussein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. [[Abdullah bin Muti'i]] akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa [[Kufa]] na kumshauri abaki Makka. [28]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,553

edits