Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 31: Mstari 31:
|{{arabic|'''''إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب'''''}}
|{{arabic|'''''إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب'''''}}
}}
}}
::'''''Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu Ali bin Abi Talib (a.s).''''' [26]
::'''''Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya [[kuamrisha mema na kukataza mabaya]], ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu [[Ali bin Abi Talib (a.s)]].''''' [26]




Imamu Husein (a.s) aliondoka Madina pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea Makka. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Husein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. AAbdullah bin Muti'i akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa Kufa na kumshauri abaki Makka. [28]
Imamu Husein (a.s) aliondoka [[Madina]] pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea [[Makka]]. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Hussein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. [[Abdullah bin Muti'i]] akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa [[Kufa]] na kumshauri abaki Makka. [28]


Imamu Hussein (a.s) aliwasili Makka mwezi 3 Shabani mwaka wa 60 Hijiria [29] na akakaribishwa na watu wa Makka pamoja na mahujaji. [30] Njia ya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Madina kwenda Makka ilipitia vituo vifuatavyo: Dhu l-Hulayfa, Milal, Sayyala, 'Irqu Dhabyin, Zawhaa, Anaya, 'Araj, Lahr Jamal, Suqyaa, Abwaa, Harsha, Raabigh, Juhfa, Qadiid, Khaliis, 'Usfaan na Murru Al-Dhuhrani. [31]
Imamu Hussein (a.s) aliwasili Makka [[mwezi 3 Shabani]] mwaka wa [[60 Hijiria]] [29] na akakaribishwa na watu wa Makka pamoja na mahujaji. [30] Njia ya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Madina kwenda Makka ilipitia vituo vifuatavyo: Dhu l-Hulayfa, Milal, Sayyala, 'Irqu Dhabyin, Zawhaa, Anaya, 'Araj, Lahr Jamal, Suqyaa, [[Abwaa]], [[Harsha]], Raabigh, [[Juhfa]], Qadiid, Khaliis, 'Usfaan na Murru Al-Dhuhrani. [31]


== Imam Husein kuwasili Makka ==
== Imam Husein kuwasili Makka ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,561

edits