Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 23: Mstari 23:
== Kuondoka kwa Imamu Hussein kutoka Mji wa Madina ==
== Kuondoka kwa Imamu Hussein kutoka Mji wa Madina ==

Takribani kabla ya siku mbili ya kumalizika mwezi wa Rajab, na kwa mujibu wa riwaya nyingine, mwezi tatu Sha'ban, mwaka wa 60 Hijria [20], Imamu Hussein (a.s) aliondoka Madina yeye pamoja na watu 84 wa familia ya Ahlul Bait, na masahaba zake kuelekea Makka. [21] Kulingana na kauli ya Ibu 'Atham; Kabla ya Imamu Husseina kuondoka Madina, kwanza alikwenda kwenye kaburi la Mtume (s.a.w.w), la bibi Fatima (a.s) na kwenye kaburi la kaka yake (Imamu Hassani) (a.s), na baada ya kuagana nao, ndipo alipoondoka miji Madina. [22] Imamu Hussein (a.s) alifungama na wengi miongoni mwa watu wa karibu yake katika msafara wa kuondoka kwake Madina. Ukiachana Muhammad Hanafia, ambaye hakufungamana na Imamu Hussein (a.s) katika msafara huo (kutokana na ugonjwa wake), yeye alifungamana na watoto wake, ndugu zake wa kiume, ndugu zake kike pamoja na wapwa zake. [24] Mbali na familia ya Bani Hashim, pia kulikuwa na masahaba ishirini na mmoja wa Imamu Hussein (a.s) waliofungamana naye katika safari yake hiyo. [25]
Takribani kabla ya siku mbili ya kumalizika [[mwezi wa Rajab]], na kwa mujibu wa riwaya nyingine, [[mwezi tatu Sha'ban]], [[mwaka wa 60 Hijiria]] [20], [[Imamu Hussein (a.s)]] aliondoka [[Madina]] yeye pamoja na watu 84 wa familia ya Ahlul Bait, na masahaba zake kuelekea [[Makka]]. [21] Kulingana na kauli ya [[Ibu 'Atham]]; Kabla ya Imamu Hussein kuondoka Madina, kwanza alikwenda kwenye kaburi la [[Mtume (s.a.w.w)]], la bibi [[Fatima (a.s)]] na kwenye kaburi la kaka yake ([[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imamu Hassan (a.s)]]), na baada ya kuagana nao, ndipo alipoondoka mjini Madina. [22] Imamu Hussein (a.s) alifungama na wengi miongoni mwa watu wa karibu yake katika msafara wa kuondoka kwake Madina. Ukiachana [[Muhammad Hanafia]], ambaye hakufungamana na Imamu Hussein (a.s) katika msafara huo (kutokana na ugonjwa wake), yeye alifungamana na watoto wake, ndugu zake wa kiume, ndugu zake kike pamoja na wapwa zake. [24] Mbali na familia ya [[Bani Hashim]], pia kulikuwa na [[masahaba wa Imamu Hussein (a.s)]] ishirini na mmoja waliofungamana naye katika safari yake hiyo. [25]

Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Hussein) (a.s), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (a.s) alimwandikia wasia, unaosema:
Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Hussein) (a.s), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (a.s) alimwandikia wasia, unaosema:
إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب.
 
Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu Ali bin Abi Talib (a.s). [26]
[[إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب]]
::"Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu Ali bin Abi Talib (a.s)."<ref>Ibn Aʿtham, ''al-Futūḥ'', vol. 5, p. 22; Khwārizmī, ''Maqtal al-Ḥusayn'', p. 189.</ref> [26]

Imamu Husein (a.s) aliondoka Madina pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea Makka. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Husein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. AAbdullah bin Muti'i akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa Kufa na kumshauri abaki Makka. [28]

Imamu Hussein (a.s) aliwasili Makka mwezi 3 Shabani mwaka wa 60 Hijiria [29] na akakaribishwa na watu wa Makka pamoja na mahujaji. [30] Njia ya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Madina kwenda Makka ilipitia vituo vifuatavyo: Dhu l-Hulayfa, Milal, Sayyala, 'Irqu Dhabyin, Zawhaa, Anaya, 'Araj, Lahr Jamal, Suqyaa, Abwaa, Harsha, Raabigh, Juhfa, Qadiid, Khaliis, 'Usfaan na Murru Al-Dhuhrani. [31]

== Imam Husein kuwasili Makka ==
== Imam Husein kuwasili Makka ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,561

edits