Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 17: Mstari 17:
== Imamu Hussein kugoma kutoa kiapo cha utiifu kwa Yazid ==
== Imamu Hussein kugoma kutoa kiapo cha utiifu kwa Yazid ==


[[Muawia]] katika uhai wake alifanya juhudi kubwa kwa ajili ya mwanawe, [5] jambo ambalo lilileta tija kwa Yazid daada ya kifo cha Muawiya (kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajab mwaka wa [[60 Hijiria]]), ambapo kwa kutokana na juhudi hizo, watu kadhaa walimuunga mkono Yazid kwa kumpa kiapo cha utiifu baada ya kifo hicho cha baba yake.[6] Bila shaka, kwa mujibu wa makubaliano ya amani kati ya Muawiah na Imam Hassan (a.s), Muawiah hakuwa na haki ya kuteua mrithi wa kushika nafasi ya ukhalifa baada yake. [7] Kutokana na ukweli huo, Yazidi baada ya kifo cha baba yake aliazimia kuchukua kiapo cha utiifu kutoka kwa wakuu wa Waislamu waliokataa wito wa Muawia wa kumpa kiapo cha utiifu mwanawe. [8] Ili kutimiza azimio lake, Yazid aliamua kumwandikia barua Walid bin Utbah (mtwala wa Madina wawakati huo), na kumtaka achukue kiapo cha utiifu kwa mabavu kutoka kwa; Hussein bin Ali, Abdullah bin Omar, Abdul Rahman bin Abi Bakar na Abdullah bin Zubair na Abdullah bin Zubair. Yazid katika barua yake hiyo alimuamuru Walid bin 'Utba kumkata kichwa yeyote yule atakayekataa kutoa kiapo hicho miongoni mwao. Kwa mara ya pili Yazid alimwandikia Walid bin 'Utba barua nyengine na kumwamuru amwandikie barua ya orodha ya majina ya wanaomuunga mkono na wanaopingana naye, na aambatanishe kichwa cha Hussein bin Ali pamoja na majibu ya barua yake hiyo. [10] Walidi akashauriana na Marwani bin Hakam kuhusiana na matakwa hayo, [11] kisha akawamtuma Abdullahi bin Amru, Ibnu Zubair, Abdullah Ibn Omar na Abd al-Rahman Ibn Abi Bakar waende kwa Imamu Hussein (a.s). [12]
[[Muawia]] katika uhai wake alifanya juhudi kubwa kwa ajili ya mwanawe, [5] jambo ambalo lilileta tija kwa Yazid daada ya kifo cha Muawiya (kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajab mwaka wa [[60 Hijiria]]), ambapo kwa kutokana na juhudi hizo, watu kadhaa walimuunga mkono [[Yazid]] kwa kumpa [[kiapo cha utiifu]] baada ya kifo hicho cha baba yake.[6] Bila shaka, kwa mujibu wa [[makubaliano ya amani kati ya Muawiah na Imam Hassan (a.s)]], Muawiah hakuwa na haki ya kuteua mrithi wa kushika nafasi ya ukhalifa baada yake. [7] Kutokana na ukweli huo, Yazidi baada ya kifo cha baba yake aliazimia kuchukua kiapo cha utiifu kutoka kwa wakuu wa Waislamu waliokataa wito wa Muawia wa kumpa kiapo cha utiifu mwanawe. [8] Ili kutimiza azimio lake, Yazid aliamua kumwandikia barua [[Walid bin Utbah]] (mtwala wa Madina wawakati huo), na kumtaka achukue kiapo cha utiifu kwa mabavu kutoka kwa; Hussein bin Ali, [[Abdullah bin Omar]], [[Abdul Rahman bin Abi Bakar]] na [[Abdullah bin Zubeir]]. Yazid katika barua yake hiyo alimuamuru Walid bin 'Utba kumkata kichwa yeyote yule atakayekataa kutoa kiapo hicho miongoni mwao. Kwa mara ya pili Yazid alimwandikia Walid bin 'Utba barua nyengine na kumwamuru amwandikie barua ya orodha ya majina ya wanaomuunga mkono na wanaopingana naye, na aambatanishe kichwa cha Hussein bin Ali pamoja na majibu ya barua yake hiyo. [10] Walidi akashauriana na [[Marwani bin Hakam]] kuhusiana na matakwa hayo, [11] kisha akawamtuma [[Abdullahi bin Amru]], Ibnu Zubair, Abdullah Ibn Omar na Abd al-Rahman Ibn Abi Bakar waende kwa Imamu Hussein (a.s). [12]
 
Imamu Husein (a.s) alikwenda Daru al-Marah (ikulu) huko Madina akiwa na watu thelathini [13] wa karibu yake. [14] Walid alimjuza Imamu Hussein (a.s) kuhusiana na tukio la kifo cha Muawia, kisha akamsomea barua ya Yazid, inayomtaka Walid  kuchukua kiapo cha utiifi kutoka kwa Husein bin Ali (a.s). Husein (a.s) akamwambia Walid: "Nadhani lengo lako ni kwamba; mimi nitoe kiapo hichco cha utiifu mbele ya watu." Waleed akajibu: “Bila shaka hayo ndio maoni yangu.” [15] Imam (a.s) akamjibu kwa kumwambia: “Basi nipe muda hadi kesho ili nifikirie kisha nikujulishe maoni yangu.” [16] Ilipofika wakati wa jioni wa siku iliyofuata; Mtawala wa Madina akawatuma maafisa wake wamfuate Hussein (a.s) nyumbani kwake ili wakachukue jibu lake. [17] Husein (a.s) akaomba aengezewe muda na asubiriwe hadi asubuhi, Walidi akakubali kumpa muhula wa usiku ule hadi asubuhi.[18] Ilipofikia asubiuhi, Imamu Hussein (a.s) akaamua kuondoka Madina. [19]


Imamu Hussein (a.s) alikwenda Daru al-Marah (ikulu) huko Madina akiwa na watu thelathini [13] wa karibu yake. [14] Walid alimjuza Imamu Hussein (a.s) kuhusiana na tukio la kifo cha Muawia, kisha akamsomea barua ya Yazid, inayomtaka Walid  kuchukua kiapo cha utiifi kutoka kwa Husein bin Ali (a.s). Husein (a.s) akamwambia Walid: "Nadhani lengo lako ni kwamba; mimi nitoe kiapo hichco cha utiifu mbele ya watu." Waleed akajibu: “Bila shaka hayo ndio maoni yangu.” [15] Imam (a.s) akamjibu kwa kumwambia: “Basi nipe muda hadi kesho ili nifikirie kisha nikujulishe maoni yangu.” [16] Ilipofika wakati wa jioni wa siku iliyofuata; Mtawala wa Madina akawatuma maafisa wake wamfuate Hussein (a.s) nyumbani kwake ili wakachukue jibu lake. [17] Hussein (a.s) akaomba aengezewe muda na asubiriwe hadi asubuhi, Walidi akakubali kumpa muhula wa usiku ule hadi asubuhi.[18] Ilipofikia asubiuhi, Imamu Hussein (a.s) akaamua kuondoka Madina. [19]


== Kuondoka kwa Imamu Hussein kutoka Mji wa Madina ==
== Kuondoka kwa Imamu Hussein kutoka Mji wa Madina ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,561

edits