Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s)
Mstari 297: | Mstari 297: | ||
'''Kupeleka | '''Kupeleka vichwa vya mashahidi huko Kufa''' | ||
Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia Kholi bin Yazid Asbahi na Hamid bin Muslim Azdiy ili wakifikishe kwa Obaidullah bin Ziad. Vile vile aliamuru vichwa vya mashahidi wa Karbala viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa Shimru bin Dhi al-Jawshan, Qais bin Ash'ath, Amru bin Hajjaj na Uzratu bin Qais, ili wavifikisha mjini Kufa. [190] | Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia Kholi bin Yazid Asbahi na Hamid bin Muslim Azdiy ili wakifikishe kwa Obaidullah bin Ziad. Vile vile aliamuru vichwa vya mashahidi wa Karbala viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa Shimru bin Dhi al-Jawshan, Qais bin Ash'ath, Amru bin Hajjaj na Uzratu bin Qais, ili wavifikisha mjini Kufa. [190] | ||
[[Kutekwa kwa Familia ya Imamu (a.s)]] | [[Kutekwa kwa Familia ya Imamu (a.s)]] | ||
Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]] | :''Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]]'' | ||
Imamu Sajjad ( | Imamu Sajjad (a.s), ambaye alikuwa ni mgonjwa, pamoja na bibi Zainab (a.s) pamoja na wengine waliosalimika roho zao vitani, walikamatwa na kupelekwa mjini Kufa kwa Ibn Ziad, kisha kufikishwa kwenye kasri ya Yazid huko Syria. [191] | ||
Maziko ya Mashahidi | '''Maziko ya Mashahidi''' | ||
Masuala | Kupitia amri ya Omar bin Sa'ad, miili ya askari wa Kufa ilizikwa bila pingamizi; Lakini mwili wa Hussein (a.s) pamoja na miili ya masahaba zake ilibakia ardhini bila kuzikwa. [192] Tarehe 11 Muharram [193] au tarehe 13 Muharram [194] zimetajwa kuwa ndio siku za kuzikwa mashahidi wa Karbala. Kwa mujibu wa baadhi ya kauli; baada ya Omar bin Sa'ad na wafuasi wake kuondoka Karbala, kundi la watu wa kabila la Bani Asad -waliokuwa wakiishi karibu na Karbala- waliingia kwenye eneo la Karbala, na ulipofika usiku ambapo walihisi kuwa wapo salama na hawaonekani na maadui, walimsalia sala ya maiti Imamu Hussein (a.s) pamoja na masahaba zake, kisha wakawazika. [195] Kwa mujibu wa riwaya fulani, mwili wa Imamu Hussein (a.s) alizikwa kupitia msaada wa Imamu Sajjad (a.s). [196] | ||
Msimamo wa Imam Hussein ( | |||
Tarehe ya tukio la Ashura | |||
Tukio la Ashura (Kupitia | == Masuala yanayofungamanab== | ||
Matukio ya | |||
Arubaini ya Hussein | [[Msimamo wa Imam Hussein (a.s)]] | ||
Siku ya Ashura | [[Tarehe ya tukio la Ashura]] | ||
Maombolezo | [[Tukio la Ashura (Kupitia mtazamo wa takwimu)]] | ||
[[Matukio ya mwezi wa Muharram]] | |||
[[Arubaini ya Hussein]] | |||
[[Siku ya Ashura]] | |||
[[Maombolezo]] |