Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 141: Mstari 141:

Imam Hussein (a.s) baada ya kufika [[Adhaibu al-Hajanat]], alilazimika kubadili njia yake na kuelekea [[Karbala]]. [76]

'''Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi'''

[[Ibn Ziad]] alipopata habari kuhusu harakati za Imamu Hussein kuelekea Kufa, alimtuma mkuu wake wa jeshi, ambaye ni Huswein bin Tamimi, pamoja na wanajeshi elfu nne waelekee Qadisiyyah na wafuatilia maeneo yaliopo kati ya Qadisiyyah na Khaffani, na baina ya Qutqutaaniyyah hadi la'ala'a. Aliwataka wanajeshi hao wachunguze mapito ya watu katika maeneo hayo kisha wamfikishie habari za wanaopita maeneo hayo. [77] Harru bin Yazid Riyahi na askari wake elfu moja pia walikuwa sehemu ya jeshi hili, lililotumwa chini ya uongozi wa Husein bin Tamim ili kuzuia harakati za msafara wa Imam Hussein (a.s).[78] Abu Makhnaf, amenukuu habari kutoka kwa watu wawili wa kabila la Bani Asad walikuwa pamoja na Imamu Hussein (a.s) katika safari hii, ya kwamba; wakati msafara ule ulipoondoka kwenye makazi yake ya eneo la Sharaf, ulikutana na askari wa adui wakati wa nusu mchana wa siku hiyo. Katika hali hiyo, Imamu Hussein aliamua kuutiririsha msafara wake na kuelekea upande wa Dhul-Husam. [79] Adhuhuri, Harru bin Yazid na askari wake walikabiliana na Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake. Imamu Hussein akawaamuru watu wake wawape maji askari wa Harru pamoja na farasi wao. Ilipoingia wakati wa sala ya adhuhuri, Imamu Hussein (a.s) alimuamuru muadhini wake -ambaye ni Hajaj bin Masruq Ja’afiy- asome adhana, ulipofika wakati wa kusali, Imamu Hussein (a.s) baada ya kumtakasa na kumhimidi Mwenye Ezi Mungu, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! nimesimama hapa mbele yenu, ili mupate kuwa udhuru baina yenu na Mola wenu, mimi sijaja kwenu, ila baada ya kupokea barua zenu, na kujiwa na wajumbe watokao kwenu walionitaka nije kwenu wakidai kuwa hawana imamu (kiongozi), huenenda Mola akakuongozeni kupitia mimi, hivyo basi; ikiwa bado mmesimama juu ya viapo na hadi zenu, basi mimi nitakuja mjini kwenu, ila kama kuja kwangu kutakuwa ni madhara kwenu, basi niambieni ili nirudi". Baada ya hayo Hurru pamoja na jeshi lake wakawa wamekaa kimya bila ya kusema jambo. Katika hali hiyo Imamu Hussein (a.s) akaamuru ikimiwe sala, Imamu akasalisha sala ya adhuhuri na Hurru pamoja na jeshi lake wakamfuata na kusali nyuma yake. [80]

Mstari 156: Mstari 159:

Hurru alimsomea Imamu (a.s) barua ya Ibn Ziad na Hussein bin Ali (a.s) akamwambia: “Acha tutue Nainawi au Ghaadhiriyyah.” [87] Hurru akamwambia: “Haiwezekani, kwa sababu Ubaidullah, amembakisha aliyeileta barua hii awe ni mpelelezi dhidi yangu!"  Zuhair bin Qain alipendekeza wapigane dhidi ya Hurru na jeshi lake, kwa sababu kazi itakuwa ni ngumu zaidi iwapo jeshi la hurru litaungana na askari wengine wa Ubaidullah. Imam akajibu, “Mimi katu sitakuwa ni mwanzilishi wa vita". Kisha wakaendelea na msafara wao hadi Karbala, walipofika Karbala, Hurru na wafuasi wake wakasimama mbele ya msafara wao na kumzuia Imamu na masahaba wake kuendelea na safari yao. [89]

== Imam akiwa Karbala ==
== Imam akiwa Karbala ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,580

edits