Nenda kwa yaliyomo

Sala ya maiti : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Faili:نماز بر پیکر آیت الله آصفی توسط آیت الله مکارم.jpg|thumb]]
[[Faili:نماز بر پیکر آیت الله آصفی توسط آیت الله مکارم.jpg|thumb]]
'''Sala ya maiti''' (Kiarabu: '''''صلاة الميت''''') ni sala [[iliyowajibishwa]] kwa [[Muislamu|Waislamu]] kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Sala ya maiti ina [[takbira]] tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo:  
'''Sala ya maiti''' (Kiarabu: '''''صلاة الميت''''') ni sala [[iliyowajibishwa]] kwa [[Muislamu|Waislamu]] kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Sala ya maiti ina [[takbira]] tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo:  
Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa [[Shahada mbili|shahada mbili]], baada ya takbira ya pili ya [[husaliwa Mume (s.a.w.w)]], baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa  sala hiyo, kisha huhitimishwa sala hiyo kwa kusomwa takbira ya tano, yaani haimalizwi kwa kutoa salamu, bali itolewapo takbira ya tano, huwa ndiyo hitimisho la sala hiyo.
Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa [[Shahada mbili|shahada mbili]], baada ya takbira ya pili [[husaliwa Mume (s.a.w.w)]], baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa  Sala hiyo, kisha huhitimishwa Sala hiyo kwa kusomwa takbira ya tano, yaani haimalizwi kwa kutoa salamu, bali itolewapo takbira ya tano, huwa ndiyo hitimisho la Sala hiyo.


Sala ya maiti ni tofauti na sala nyingine; Sala hii huwa haina haisomwi [[Surat al-Fatiha]] ndani yake, haina [[rukuu]], haina [[sijda]], haina [[tashahhud]] (tahiyyatu) na wala haina [[salamu]], yaani huwa haihitimishwi kwa kutoa salamu. [[Tohara]] (usafi wa mwili pamoja na udhu) huwa huwa haizingatiwi ndani ya sala ya maiti, hivyo mtu yuwaweza kusali sala ya maiti bila ya kuwa na [[udhu]] au hata bila ya [[kukoga josho]] la wajibu, yaani hata kama mtu atakuwa na janaba basi hatolazimika kukoga, bali anaweza kusali sala ya maiti hali akiwa na janaba. Bila shaka ni bora zaidi iwapo mtu atachunga masharti ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo.
Sala ya maiti ni tofauti na Sala nyingine; Sala hii huwa haina [[Surat al-Fatiha]] ndani yake, haina [[rukuu]], haina [[sijda]], haina [[tashahhud]] (tahiyyatu) na wala haina [[salamu]], yaani huwa haihitimishwi kwa kutoa salamu. [[Tohara]] (usafi wa mwili pamoja na udhu) huwa haizingatiwi ndani ya Sala ya maiti, hivyo mtu yuwaweza kusali Sala ya maiti bila ya kuwa na [[udhu]] au hata bila ya [[kukoga josho]] la wajibu, yaani hata kama mtu atakuwa na janaba basi hatolazimika kukoga, bali anaweza kusali Sala ya maiti akiwa na janaba. Bila shaka ni bora zaidi iwapo mtu atachunga masharti ya Sala nyingine za faradhi katika Sala hiyo.


Sala ya mazishi inaweza [[kusaliwa kwa jamaa]] na pia yaweza kusaliwa furada (ya kila mtu kusali peke yake bila ya kuunga jamaa). Katika sala ya maiti, hata mtu akiisali sala hiyo kwa mfumo wa jamaa, yeye atawajibika kukariri au kusoma kila kisomwacho ndani ya sala hiyo. Yaani haitoshi imamu peke yake kusoma yasomwayo katika sala hiyo, watu wanaosali sala hiyo wanatakiwa nao kusoma kila kisomwacho ndani yake.
Sala ya mazishi inaweza [[kusaliwa kwa jamaa]] na pia yaweza kusaliwa furada (ya kila mtu kusali peke yake bila ya kuunga jamaa). Katika Sala ya maiti, hata mtu akiisali Sala hiyo kwa mfumo wa jamaa, yeye atawajibika kukariri au kusoma kila kisomwacho ndani ya Sala hiyo. Yaani haitoshi imamu peke yake kusoma yasomwayo katika sala hiyo, watu wanaosali sala hiyo wanatakiwa nao kusoma kila kisomwacho ndani yake.


Sala ya maiti kwa mujibu wa madhehebu ya [[Sunni]] huwa ina [[takbira]] nne na hunamalizia kwa [[salamu]].
Sala ya maiti kwa mujibu wa madhehebu ya [[Sunni]] huwa ina [[takbira]] nne na humaliziwa kwa [[salamu]].




== Ufafanuzi ==
== Ufafanuzi ==


Sala ya maiti ni mkusanyiko wa dua pamoja na takbira ambazo ni wajibu kwa Waislamu kumsomea maiti wa Kiislamu baada ya kumuosha na [[kumkafini]] na kabla ya [[kumzika]]. Kwa mujibu wa vyanzo vya kifiqhi, baadhi ya sharti za sala ya faradhi kama vile usafi na tohara ya udhu pamoja na mwili, si sharti katika sala ya maita.
Sala ya maiti ni mkusanyiko wa dua pamoja na takbira ambazo ni wajibu kwa Waislamu kumsomea maiti wa Kiislamu baada ya kumuosha na [[kumkafini]] na kabla ya [[kumzika]]. Kwa mujibu wa vyanzo vya kifiqhi, baadhi ya sharti za sala ya faradhi kama vile usafi na tohara ya udhu pamoja na mwili, si sharti katika Sala ya maiti.




== Sala ya maiti si miongoni mwa Sala ==
== Sala ya maiti si miongoni mwa Sala ==


Kwa mujibu wa maneno ya [[Shahidi Thani]] ni kwamba; Kulingana na maoni ya [[mafaqihi]] mashuhur, sala ya maitihaizingatiwi kuwa ni miongoni mwa sala, bali ni aina maalumu ya kwa ajili ya kumombea maiti. Kwa sababu hakuna sala isiyo na [[rukuu]] wala [[sujudu]], pia [[Tohara|tohara]] nayo ni sharti ya kila sala, ila sala ya maiti haina lolote lile miongoni mwa mambo hayo. [3]
Kwa mujibu wa maneno ya [[Shahidi Thani]] ni kwamba; Kulingana na maoni ya [[mafaqihi]] mashuhuri, Sala ya maiti haizingatiwi kuwa ni miongoni mwa Sala, bali ni aina maalumu ya kumombea maiti. Kwa sababu hakuna Sala isiyo na [[rukuu]] wala [[sujudu]], pia [[Tohara|tohara]] nayo ni sharti ya kila sala, ila sala ya maiti haina lolote lile miongoni mwa mambo hayo. [3]


Katika kitabu cha [[Fiqh al-Ridha]], imeelezwa katika Hadithi ya [[Imamu Ridha (a.s)]] ya kwamba; Sala ya maiti sio sala bali ni [[takbira]] tu; Kwa sababu [[sala]] halisi ni lazima ndani yake iwe na rukuu na sujudu. [4]
Katika kitabu cha [[Fiqh al-Ridha]], imeelezwa katika Hadithi ya [[Imamu Ridha (a.s)]] ya kwamba; Sala ya maiti sio Sala bali ni [[takbira]] tu; Kwa sababu [[Sala]] halisi ni lazima ndani yake iwe na rukuu na sujudu. [4]


== Jinsi ya kusali Sala ya maiti ==
== Jinsi ya kusali Sala ya maiti ==
Mstari 65: Mstari 65:
== Hukumu za Sala ya maiti ==
== Hukumu za Sala ya maiti ==


Baadhi ya hukumu za kifiqhi za sala ya maiti ni:
Baadhi ya hukumu za kifiqhi za Sala ya maiti ni:
* Sala ya maiti ni [[faradhi inayojitosheleza]] (faradhi kifaya); Kwa hiyo, iwapo mtu mmoja ajitokeza na kuchukuwa jukumu la kumsalia maiti huyo, [[wajibu huo]] wa kumsalia maiti utawaepeka Waislamu wengine waliobaki. [14]
* Sala ya maiti ni [[faradhi inayojitosheleza]] (faradhi kifaya); Kwa hiyo, iwapo mtu mmoja ajitokeza na kuchukuwa jukumu la kumsalia maiti huyo, [[wajibu huo]] wa kumsalia maiti utawaepeka Waislamu wengine waliobaki. [14]
* Kwa mujibu wa maelezo ya [[Sahib Jawahar]] ni kwamba;  Maoni ya mafaqihi walio maarufu yanesema kuwa, ni [[makuruhu]] (haikupendekezawa) kusalia maiti sala kadhaa. [15] Kwa mujibu wa fatwa za [[Ayatullah Sistani]] ni kwamba; Hakuna ithibati juu umakruhu (kutopendekezwa) kwa suala hilo, hasa kama maiti hiyo itakuwa ni maiti ya mwanazuoni na [[uchamungu]], katu hakutakuwa na umakruhu juu ya kussalia yeye sala zaidi ya moja. [16]
* Kwa mujibu wa maelezo ya [[Sahib Jawahar]] ni kwamba;  Maoni ya mafaqihi walio maarufu yanesema kuwa, ni [[makuruhu]] (haikupendekezawa) kusalia maiti sala kadhaa. [15] Kwa mujibu wa fatwa za [[Ayatullah Sistani]] ni kwamba; Hakuna ithibati juu umakruhu (kutopendekezwa) kwa suala hilo, hasa kama maiti hiyo itakuwa ni maiti ya mwanazuoni na [[uchamungu]], katu hakutakuwa na umakruhu juu ya kussalia yeye sala zaidi ya moja. [16]
confirmed, movedable
803

edits