Sala ya maiti : Tofauti kati ya masahihisho
→Hukumu za Sala ya maiti
No edit summary |
|||
Mstari 54: | Mstari 54: | ||
* Sala ya maiti inaweza kusaliwa kwa jamaa, na pia inaweza kusaliwa kwa mfumo wa furada (kila kusali bila ya kumfuata imamu). Lakini hata kama mtu asali sala hiyo kwa jamaa, ni lazima yeye asome takbira zote tano pamoja na kinachotakiwa kusomwa ndani ya sala hiyo, yaani kisomo cha imamu hakishelezi katika kuikamailisha sala ya maamuma wake (anayesali kwa kumfuata yeye). [17] | * Sala ya maiti inaweza kusaliwa kwa jamaa, na pia inaweza kusaliwa kwa mfumo wa furada (kila kusali bila ya kumfuata imamu). Lakini hata kama mtu asali sala hiyo kwa jamaa, ni lazima yeye asome takbira zote tano pamoja na kinachotakiwa kusomwa ndani ya sala hiyo, yaani kisomo cha imamu hakishelezi katika kuikamailisha sala ya maamuma wake (anayesali kwa kumfuata yeye). [17] | ||
* Sala ya maiti ni faradhi kwa kila Muislamu ambaye amefikisha umri wa miaka sita. [18] | * Sala ya maiti ni faradhi kwa kila Muislamu ambaye amefikisha umri wa miaka sita. [18] | ||
* Maiti aliye kafiri au mwenye uadui na na kizazi cha Mtume ( | * Maiti aliye kafiri au mwenye uadui na na kizazi cha Mtume (s.a.w.w) huwa hasaliwi sala ya maiti. [19] | ||
* Si lazima katika sala ya maiti, mtu kujitakasa kutokana na josho la wajiu, kama vile janaba, hedhi au nifasi, na wala si lazima mtu kuwa na udhu katika kumsalia maiti. [20] Bila shaka, ni bora zaidi iwapo mtu azingatia masharti yote ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo ya maiti. [21] | * Si lazima katika sala ya maiti, mtu kujitakasa kutokana na josho la wajiu, kama vile janaba, hedhi au nifasi, na wala si lazima mtu kuwa na udhu katika kumsalia maiti. [20] Bila shaka, ni bora zaidi iwapo mtu azingatia masharti yote ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo ya maiti. [21] | ||
* Ni lazima maiti asaliwe kabla ya kuzikwa kwake [22] na iwe ni baada ya kukoshwa na kuvikwa sanda (kukafiniwa). [23] | * Ni lazima maiti asaliwe kabla ya kuzikwa kwake [22] na iwe ni baada ya kukoshwa na kuvikwa sanda (kukafiniwa). [23] | ||
Mstari 61: | Mstari 61: | ||
* Inachukiza (makruhu au hauikupendekezwa) kuwasalia maiti misikitini. [26] Baadhi ya mafaqihi wameuvua Msikiti wa Makka kuhusiana na hukumu hii, [27] ila wanazuoni wengine hawajakubaliana na nadharia ya manazuoni hao katika suala hilo. [28] | * Inachukiza (makruhu au hauikupendekezwa) kuwasalia maiti misikitini. [26] Baadhi ya mafaqihi wameuvua Msikiti wa Makka kuhusiana na hukumu hii, [27] ila wanazuoni wengine hawajakubaliana na nadharia ya manazuoni hao katika suala hilo. [28] | ||
* Pia mtu anaweza kusala bila ya kuvua viatu, ingawaje inapendekezwa na ni bora zaidi kusali bila viatu. [29] | * Pia mtu anaweza kusala bila ya kuvua viatu, ingawaje inapendekezwa na ni bora zaidi kusali bila viatu. [29] | ||
== Sala za Maiti za Kihistoria == | == Sala za Maiti za Kihistoria == |