Anonymous user
Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
imported>TawakkalMS8 |
imported>TawakkalMS8 No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Al-Nafs Al-Ammara''' (Kiarabu: '''''النفس الأمارة''''') Nafsi yenye kuamrisha | '''Al-Nafs Al-Ammara''' (Kiarabu: '''''النفس الأمارة''''') Nafsi yenye kuamrisha ; ni hali ya kinafsi ambayo inavuta na kumshawishi mtu kufanya mambo, maovu, mabaya na [[dhambi|madhambi]]. Istilahi hii imechukuliwa kutoka katika [[aya]] ya 53 ya [[Surat Yusuf]]. Maana ya matamanio ya nafsi ni ileile nafsi ya kuamrisha. Hali kadhalika kinachokusudiwa katika [[jihadi ya nafsi]] au jihadi kubwa ambayo imebainishwa katika [[Hadith|riwaya]], ni kupambana na nafsi yenye kuamrisha. | ||
Al-Nafs Al-Ammara (yenye kuamrisha | |||
Al-Nafs Al-Ammara (yenye kuamrisha) ni mkabala wa na [[Al-Nafs Al-Lawwamah]], (yenye kujilaumu) na [[Al-Nafs Al-Mut’mainnah]], (yenye utulivu na kutulia). Nafsi yenye kuamrisha maovu inajulikana kwamba ni daraja ya chini zaidi ya nafsi. Daraja ya juu ya hapo ni nafsi yenye kujilaumu (nafs lawwama), nayo ni nafsi ambayo inamfanya mwanadamu ajilaumu mwenyewe kutokana na makosa na dhambi zake alizofanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya nafsi ya kujilaumu, ni nafsi yenye kutulia (nafs mut’mainnah) ambapo kwa kuwa na hali hiyo ya kinafsi mwanadamu anakuwa katika hali ya utulivu na yakini. | |||
==Utambuzi wa maana == | ==Utambuzi wa maana == |