Nenda kwa yaliyomo

Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho

imported>TawakkalMS8
imported>TawakkalMS8
Mstari 6: Mstari 6:

Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha, inakusudiwa kuwa ni nafsi yenye kuamrisha sana mambo maovu; nayo ni hali ya kinafsi ambayo ndani yake mwanadamu hawezi kufuata wala kutumia akili (kwa njia sahihi), bali anakuwa ni mwenye kufuata na kuiendea dhambi na ufisadi katika maamuzi na matendo yake [1]. Yaani ni mwenye kuifuata tu nafsi yake kwa kila inachoamrisha na kutaka. Istilahi inapatikana katika Aya isemayo:  

إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَ‌ةٌ بِالسُّوءِ
''إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَ‌ةٌ بِالسُّوءِ''; Hakika nafsi ni yenye kuamrisha sana (mambo) mabaya [2].
Hakika nafsi ni yenye kuamrisha sana (mambo) mabaya [2].
Hivyo basi kama tulivyoashiria istilahi hiyo imechukuliwa kutoka katika Aya hiyo tukufu. [3]. Nafs Ammara  inajulikana kuwa ndio yale matamanio na hawaa za nafsi. [4]

== Nafs Ammara; Nafsi ya daraja ya chini zaidi ==

Anonymous user