Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 41: Mstari 41:
== Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari ==
== Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari ==


Kwa mujibu wa JaWad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w)  katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w), kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya Hassan bin Thabit, Nu’man bin Bashir na Tarmah bin Hakim. [30] Muhajirina walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa Mtume (s.a.w.w) alikuwa mmoja wao, na Ansari walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa wao walimpokea na kumhifadhi, na mama wa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Mtume (s.a.w.w) anatoka katika kabila la Bani Najjar kutoka Madina. [31]
Kwa mujibu wa Jawad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w)  katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya [[kifo cha Mtume (s.a.w.w)]], kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya [[Hassan bin Thabit]], [[Nu’man bin Bashir]] na [[Tarmah bin Hakim]]. [32] Muhajirina walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa Mtume (s.a.w.w) alikuwa mmoja wao, na Ansari walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa wao walimpokea na kumhifadhi, na [[Mama wa Mtume wa Mwenyezi Mungu]]. Mtume (s.a.w.w) anatoka katika kabila la Bani Najjar kutoka Madina. [33]


Kwa mujibu wa JaWad Ali, kulikuwa na mgogoro kati ya Muhajirina na Ansar wakati wa zama za Muawiya bin Abi Sufyan na zama za Yazid bin Muawiya; ingawa, katika kipindi hiki, neno Muhajirina na Ansari lilitumiwa kwa uchache mno na zaidi kulitumika maneno kama vile Qureshi na Yamani. [32]
Kwa mujibu wa JaWad Ali, kulikuwa na mgogoro kati ya Muhajirina na Ansar wakati wa zama za [[Muawiya bin Abi Sufyan]] na zama za [[Yazid bin Muawiya]]; ingawa, katika kipindi hiki, neno Muhajirina na Ansari lilitumiwa kwa uchache mno na zaidi kulitumika maneno kama vile Qureshi na Yamani. [34]


Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria, tukio la Saqifa ilikuwa medani na uwanja wa ushindani na mzozo kati ya Muhajirina na Ansari. [33] Wakati wa kupewa baiya na kiapo cha utii Abu Bakr, Habab bin Mundhir, ambaye alikuwa anatokana na Ansari, alichomoa upanga na kuwaelekezea Muhajirina.  Aidha Omar bin al-Khattab alimhutubu Saad bin Ubadah, aliyekuwa mmoja wa shakhsia wakubwa wa Kiansari na kumuita kuwa ni mnafiki. [34]
Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria, [[tukio la Saqifa]] ilikuwa medani na uwanja wa ushindani na mzozo kati ya Muhajirina na Ansari. [35] Wakati wa kupewa baiya na kiapo cha utii Abu Bakr, Habab bin Mundhir, ambaye alikuwa anatokana na Ansari, alichomoa upanga na kuwaelekezea Muhajirina.  Aidha Omar bin al-Khattab alimhutubu [[Saad bin Ubadah]], aliyekuwa mmoja wa shakhsia wakubwa wa Kiansari na kumuita kuwa ni [[mnafiki]]. [36]


== Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa ==
== Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits