Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Muhajrina Mashuhuri
No edit summary |
|||
Mstari 55: | Mstari 55: | ||
Baadhi ya watu mashuhuri waliohajiri kwa amri ya Mtume (s.a.w.w) na wakaondoka Makka na kwenda Madina ni: | Baadhi ya watu mashuhuri waliohajiri kwa amri ya Mtume (s.a.w.w) na wakaondoka Makka na kwenda Madina ni: | ||
* Imamu Ali (a.s) ni Imamu wa kwanza wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia na mrithi wa Mtume (s.a.w.w). Yeye katika Laylat al-Mabit (usiku wa kuhajiri Mtumer) alilala katika tandiko la Mtume ili | * Imamu Ali (a.s) ni [[Imamu wa kwanza]] wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia na mrithi wa Mtume (s.a.w.w). Yeye katika [[Laylat al-Mabit]] (usiku wa kuhajiri Mtumer) alilala katika tandiko la Mtume ili [[ushirikina|washirikina]] wadhani kwamba, Mtume bado hajaondoka [[Makka]]. [39] Aidha, alipewa jukumu na Mtume (s.a.w.w) la kukabidhi kwa wenyewe amana za watu zilizokuwa mikononi mwa Mtume na kisha baada ya siku tatu aliondoka na kuelekea Madina. [40] | ||
* Fatima (a.s) binti ya Mtume (s.a.w.w) ambaye alifunga ndoa na Imamu Ali (a.s) katika mwaka wa pili Hijria, aliondoka Makka na kuelekea Madina akiwa pamoja na wanawake wengine kadhaa akiwemo Fatima bint Asad msafara ambao uliongozwa na Imamu Ali (a.s). Tukio hilo lilijiri siku tatu baada ya Mtume kuondoka Makka na kuhamia Madina. [41] | * [[Fatima (a.s)]] binti ya Mtume (s.a.w.w) ambaye alifunga ndoa na Imamu Ali (a.s) katika mwaka wa pili Hijria, aliondoka Makka na kuelekea Madina akiwa pamoja na wanawake wengine kadhaa akiwemo [[Fatima bint Asad]] msafara ambao uliongozwa na Imamu Ali (a.s). Tukio hilo lilijiri siku tatu baada ya Mtume kuondoka Makka na kuhamia Madina. [41] | ||
* Ummu Salama, mke wa Abdallah bin Abdul-Asad ambaye watu wa kabila lake kwa muda fulani walimzuia kuhajiri pamoja na mumewe kuelekea Madina. Baada ya kuuawa shahidi Abu Salama aliolewa na Mtume (s.a.w.w). [42] | * [[Ummu Salama]], mke wa [[Abdallah bin Abdul-Asad]] ambaye watu wa kabila lake kwa muda fulani walimzuia kuhajiri pamoja na mumewe kuelekea Madina. Baada ya kuuawa shahidi Abu Salama aliolewa na Mtume (s.a.w.w). [42] | ||
* Abu Bakr bin Abi Quhafa alikuwa pamoja na Mtume (s.a.w.w) wakati wa kuhajiri kuelekea Madina na alijificha pamoja na Mtume katika pango la Thaur. [43] Baada ya kuaga dunia Mtume, Abu Bakr alichaguliwa kuwa Khalifa na kwa mtazamo na itikadi ya Waislamu wa Madhehebu ya Suni, Abu Bakr ndiye Khalifa wa Kwanza wa Waislamu. Hata hivyo Waislamu wa Madhehebu ya Shia hawamtambui Abu Bakr kama Khalifa wa Kwanza wa Weaislamu bali wanaamini kwamba, Mtume (s.a.w.w) kabla ya kuaga dunia alimuainisha na kumtangaza mrithi wake ambaye ni Imamu Ali (a.s). [44] | * [[Abu Bakr bin Abi Quhafa]] alikuwa pamoja na Mtume (s.a.w.w) wakati wa [[kuhajiri kuelekea Madina]] na alijificha pamoja na Mtume katika [[pango la Thaur]]. [43] Baada ya kuaga dunia Mtume, Abu Bakr alichaguliwa kuwa Khalifa na kwa mtazamo na itikadi ya Waislamu wa [[Madhehebu ya Suni]], Abu Bakr ndiye Khalifa wa Kwanza wa Waislamu. Hata hivyo Waislamu wa Madhehebu ya Shia hawamtambui Abu Bakr kama Khalifa wa Kwanza wa Weaislamu bali wanaamini kwamba, Mtume (s.a.w.w) kabla ya kuaga dunia alimuainisha na kumtangaza mrithi wake ambaye ni Imamu Ali (a.s). [44] | ||
Omar bin al-Khattab (Khalifa wa Pili), [45] Othman bin Affan (Khalfa wa Tatu), Hamza bin Abdul-Muttalib ami yake Mtume, Othman bin Madh’un, Abu Hudhayfa, Miqdad bin Amru, Abu Dhar al-Ghiffari na Abdallah bin Mas’oud ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao ni Muhajirina. Kadhalika Zaynab binti ya Mtume (s.a.w.w), Ummu Kulthum binti ya Mtume (s.a.w.w), Ruqayyah binti ya Mtume (s.a.w.w), Fatima bint Asad, Ummu Aiman, Zaynab bint Jahsh na Sauda bint Zam’ah bin Qays ni miongoni mwa wanawake wengine ambao ni Muhajirina (waliohama Makka na kwenda Madina). | [[Omar bin al-Khattab]] (Khalifa wa Pili), [45] [[Othman bin Affan]] (Khalfa wa Tatu), [[Hamza bin Abdul-Muttalib]] ami yake Mtume, [[Othman bin Madh’un]], [[Abu Hudhayfa]], [[Miqdad bin Amru]], [[Abu Dhar al-Ghiffari]] na [[Abdallah bin Mas’oud]] ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao ni Muhajirina. Kadhalika [[Zaynab binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Ummu Kulthum binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Ruqayyah binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Fatima bint Asad]], [[Ummu Aiman]], [[Zaynab bint Jahsh]] na [[Sauda bint Zam’ah bin Qays]] ni miongoni mwa wanawake wengine ambao ni Muhajirina (waliohama Makka na kwenda Madina). | ||
== Masuala Yanayo Fungamana == | == Masuala Yanayo Fungamana == |