Eda : Tofauti kati ya masahihisho
→Eda ya Talaka
No edit summary |
|||
Mstari 17: | Mstari 17: | ||
=== Eda ya Talaka === | === Eda ya Talaka === | ||
Mwanamke ambaye ameachwa na mumewe kwa njia ya [[talaka]] au ametengana na mumewe kutokana na [[kuvunjwa kwa ndoa]], Eda yake huwa ni miezi mitatu, ambayo ni mzunguko wa [[mitakasiko]] mitatu (muda wa kuwa safi kutokana na [[damu ya hedhi]]). [3] Hukumu hii imethibitishwa katika [[Aya]] ya 228 ya [[Surat al-Baqarah]] isemayo: | Mwanamke ambaye ameachwa na mumewe kwa njia ya [[talaka]] au ametengana na mumewe kutokana na [[kuvunjwa kwa ndoa]], Eda yake huwa ni miezi mitatu, ambayo ni mzunguko wa [[mitakasiko]] mitatu (muda wa kuwa safi kutokana na [[damu ya hedhi]]). [3] Hukumu hii imethibitishwa katika [[Aya]] ya 228 ya [[Surat al-Baqarah]] isemayo: ({{Arabic|وَالْمُطَلَّقَاتُ يَتَرَبَّصْنَ بِأَنفُسِهِنَّ ثَلَاثَةَ قُرُوءٍ…; Na wanawake walioachwa wangoje na wajizuie binanfsi yao kwa muda wa miezi mitatu). [4] | ||
Hata hivyo, kulingana na maoni maarufu miongoni mwa wanazuoni ni kwamb; Eda ya talaka kwa mwanamke mjamzito ni muda wa kujifungua kwake. [5] [[Hukumu za kisheria|Hukumu hii ya sheria]] imeelezwa katika Aya ya 4 ya [[Surat Talaq]] isemayo: ({ | Hata hivyo, kulingana na maoni maarufu miongoni mwa wanazuoni ni kwamb; Eda ya talaka kwa mwanamke mjamzito ni muda wa kujifungua kwake. [5] [[Hukumu za kisheria|Hukumu hii ya sheria]] imeelezwa katika Aya ya 4 ya [[Surat Talaq]] isemayo: ({{Arabic|وَ أُوْلَاتُ الْأَحْمَالِ أَجَلُهُنَّ أَن يَضَعْنَ حَمْلَهُن}} ; Na kwa wajawazito hitimisho la muda wa Eda yao ni kujifungua). | ||
Wanawake ambao wameshafikia umri wa hedhi lakini wakawa hawana [[hedhi]], wanapaswa kukaa Eda kwa muda wa miezi mitatu ya Qamaria (kulingana na mwezi Mwandamo). [6] [[Fat’wa|Fat'wa]] hii pia imeelezwa kwenye Aya ya 4 ya Surat Talaq inasemayo: ({{Arabic|وَاللَّائِي يَئِسْنَ مِنَ الْمَحِيضِ مِن نِّسَائِكُمْ إِنِ ارْتَبْتُمْ فَعِدَّتُهُنَّ ثَلَاثَةُ أَشْهُرٍ وَاللَّائِي لَمْ يَحِضْنَ}} ; Na wale ambao wamekoma hedhi (wameshakatikiwa na hedhi) miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnashaka (juu ya hali zao za uja uzito), basi Eda yao ni miezi mitatu). [7] | Wanawake ambao wameshafikia umri wa hedhi lakini wakawa hawana [[hedhi]], wanapaswa kukaa Eda kwa muda wa miezi mitatu ya Qamaria (kulingana na mwezi Mwandamo). [6] [[Fat’wa|Fat'wa]] hii pia imeelezwa kwenye Aya ya 4 ya Surat Talaq inasemayo: ({{Arabic|وَاللَّائِي يَئِسْنَ مِنَ الْمَحِيضِ مِن نِّسَائِكُمْ إِنِ ارْتَبْتُمْ فَعِدَّتُهُنَّ ثَلَاثَةُ أَشْهُرٍ وَاللَّائِي لَمْ يَحِضْنَ}} ; Na wale ambao wamekoma hedhi (wameshakatikiwa na hedhi) miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnashaka (juu ya hali zao za uja uzito), basi Eda yao ni miezi mitatu). [7] |