Eda : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
:{{Maelezo ya makala kisheria}} | :{{Maelezo ya makala kisheria}} | ||
[[Faili:العروة الوثقی.jpg|200px|thumb]] | [[Faili:العروة الوثقی.jpg|200px|thumb]] | ||
'''Eda''' (Kiarabu: {{Arabic| العدة}})Ni muda au idadi ya masiku na ni kipindi maalumu ambacho mwanamke baada ya talaka au kifo cha mume wake hawezi kuolewa kisheria. Kuna aina mbalimbali za Eda ambazo hutafautiana katika kipindi cha masiku ambayo mwanamke hutakiwa kujizuia na ndoa. Sharti la lazima la katika suala la mwanamke kuwajibikiwa na Eda, ni kutendeka kwa tendo la ndoa, baada kuolewa kwake, isipokuwa Eda ya mwanamke kufiwa na mume wake. | '''Eda''' (Kiarabu: {{Arabic| العدة}}) Ni muda au idadi ya masiku na ni kipindi maalumu ambacho mwanamke baada ya talaka au kifo cha mume wake hawezi kuolewa kisheria. Kuna aina mbalimbali za Eda ambazo hutafautiana katika kipindi cha masiku ambayo mwanamke hutakiwa kujizuia na ndoa. Sharti la lazima la katika suala la mwanamke kuwajibikiwa na Eda, ni kutendeka kwa tendo la ndoa, baada kuolewa kwake, isipokuwa Eda ya mwanamke kufiwa na mume wake. | ||
Eda ya [[talaka]] ni sawa na mzunguko wa [[hedhi]] tatu; ingawa ikiwa mwanamke ni mjamzito, muda wa Eda yake utakuwa ni hadi baada ya kujifungua. Muda wa talaka kwa mwanamke ambaye amefikia umri wa hedhi lakini akawa haoni hedhi, ni miezi mitatu ya Qamaria (ya mwezi mwandamo). Muda wa Eda ya kufiliwa na mume, ni miezi minne na siku kumi, na ikiwa mwanamke ni mjamzito, ima muda Eda yake utakuwa n miezi minne na siku kumi, baada ya kujifungua. Ufafanuzi wake ni kwamba; Iwapo yeye atakuwa kwenye Eda ya miezi mine na siku kumi, kisha akajifungua kabla ya kumalizika kwa Eda hiyo, basi itambidi aitimize Eda hiyo, na kama atakuwa amekaa Eda hiyo na wake (miezi mine na siku kumi) ukawa umamalizika ila akawa bado hajajifungua, basi itambidi aendelee na Eda hiyo hadi ajifungue, na kujifungua kwake ndio kutakuwa hitimisho la Eda hiyo. Muda wa [[Eda ya ndoa ya muda mfupi]] (mutaa), ni mzunguko wa hedhi mbili, na ikiwa mwanamke atakuwa na tatizo la kuto ona hedhi, basi Eda yake itakuwa ni siku 45. | Eda ya [[talaka]] ni sawa na mzunguko wa [[hedhi]] tatu; ingawa ikiwa mwanamke ni mjamzito, muda wa Eda yake utakuwa ni hadi baada ya kujifungua. Muda wa talaka kwa mwanamke ambaye amefikia umri wa hedhi lakini akawa haoni hedhi, ni miezi mitatu ya Qamaria (ya mwezi mwandamo). Muda wa Eda ya kufiliwa na mume, ni miezi minne na siku kumi, na ikiwa mwanamke ni mjamzito, ima muda Eda yake utakuwa n miezi minne na siku kumi, baada ya kujifungua. Ufafanuzi wake ni kwamba; Iwapo yeye atakuwa kwenye Eda ya miezi mine na siku kumi, kisha akajifungua kabla ya kumalizika kwa Eda hiyo, basi itambidi aitimize Eda hiyo, na kama atakuwa amekaa Eda hiyo na wake (miezi mine na siku kumi) ukawa umamalizika ila akawa bado hajajifungua, basi itambidi aendelee na Eda hiyo hadi ajifungue, na kujifungua kwake ndio kutakuwa hitimisho la Eda hiyo. Muda wa [[Eda ya ndoa ya muda mfupi]] (mutaa), ni mzunguko wa hedhi mbili, na ikiwa mwanamke atakuwa na tatizo la kuto ona hedhi, basi Eda yake itakuwa ni siku 45. |