Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
→Nafasi na Cheo cha Uimamu
Mstari 51: | Mstari 51: | ||
=== Nafasi na Cheo cha Uimamu === | === Nafasi na Cheo cha Uimamu === | ||
Kulingana na [[Aya ya kutahiniwa kwa nabii Ibrahimu]], yaonekana kwamba; baadhi ya Mitume walikuwa na cheo cha [[Uimamu]]. [98] Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]] kunai bara zioneshazo kwamba; cheo cha Uimamu ni kikubwa zaidi kuliko cheo cha Utume na [[Unabii]], dhana hii inaeleweka kupitia maelezo ya Aya hiyo ya kutahiniwa kwa [[nabii Ibrahim (a.s)]], kwani yeye alipata cheo hicho mnamo mwishoni mwa umri wake, ambapo hapo mwanzo alikuwa ni nabii au mtume ila haukuwa ni Imamu. [99] {{Maelezo | Kwenye Hadithi maarufu kutoka kwa Imamu Sadiq (a.s), hatua za Ibrahimu (a.s) kabla ya kuwa Imam zimeorodheshwa kama ifuatavyo: 1- Uchamungu 1- Unabii 2- Utume 3- Ukhalifa (Khalilu Llahi) na 4- Uimamu. Hadithi imekuja kama ifuatavyo: ({{Arabic|إنّ اللّه َ تباركَ و تعالى اتَّخَذَ إبراهيمَ عَبدا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ نَبيّا ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ نَبيّا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ رَسولاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ رَسولا ً قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ خَليلاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ خَليلاً قَبلَ أنْ يَجعَلَهُ إماما ، فلَمّا جَمَعَ لَهُ الأشياءَ قالَ : «إنّي جاعِلُكَ لِلنّاسِ إماماً...}} ; Hakika Mwenyezi Mungu amemfanya Ibrahimu kuwa mtumwa (mchamungu) kabla ya kumfanya kuwa nabii, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa nabii kabla ya kumfanya kuwa mtume, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa mtume kabla ya kumfanya kuwa Khalifa, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa Khalifa kabla ya kumfanya kuwa Imamu, na alipokamilishia vyeo vyote hivyo, alisema: "Hakika mimi nimekufanya wewe kuwa ni Imamu wa watu...) Al-Kulayni, Al-Kafi, Chapa ya mwaka 1407 Hijiria, Juzuu ya 1, Ukurasa 175.}} Katika [[Surat al-Anbiyaa]], kuna mitume kadhaa waliotambuliwa kuwa ni Maimamu, nao ni; Ibrahimu, [[ | Kulingana na [[Aya ya kutahiniwa kwa nabii Ibrahimu]], yaonekana kwamba; baadhi ya Mitume walikuwa na cheo cha [[Uimamu]]. [98] Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]] kunai bara zioneshazo kwamba; cheo cha Uimamu ni kikubwa zaidi kuliko cheo cha Utume na [[Unabii]], dhana hii inaeleweka kupitia maelezo ya Aya hiyo ya kutahiniwa kwa [[nabii Ibrahim (a.s)]], kwani yeye alipata cheo hicho mnamo mwishoni mwa umri wake, ambapo hapo mwanzo alikuwa ni nabii au mtume ila haukuwa ni Imamu. [99] {{Maelezo | Kwenye Hadithi maarufu kutoka kwa Imamu Sadiq (a.s), hatua za Ibrahimu (a.s) kabla ya kuwa Imam zimeorodheshwa kama ifuatavyo: 1- Uchamungu 1- Unabii 2- Utume 3- Ukhalifa (Khalilu Llahi) na 4- Uimamu. Hadithi imekuja kama ifuatavyo: ({{Arabic|إنّ اللّه َ تباركَ و تعالى اتَّخَذَ إبراهيمَ عَبدا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ نَبيّا ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ نَبيّا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ رَسولاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ رَسولا ً قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ خَليلاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ خَليلاً قَبلَ أنْ يَجعَلَهُ إماما ، فلَمّا جَمَعَ لَهُ الأشياءَ قالَ : «إنّي جاعِلُكَ لِلنّاسِ إماماً...}} ; Hakika Mwenyezi Mungu amemfanya Ibrahimu kuwa mtumwa (mchamungu) kabla ya kumfanya kuwa nabii, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa nabii kabla ya kumfanya kuwa mtume, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa mtume kabla ya kumfanya kuwa Khalifa, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa Khalifa kabla ya kumfanya kuwa Imamu, na alipokamilishia vyeo vyote hivyo, alisema: "Hakika mimi nimekufanya wewe kuwa ni Imamu wa watu...) Al-Kulayni, Al-Kafi, Chapa ya mwaka 1407 Hijiria, Juzuu ya 1, Ukurasa 175.}} Katika [[Surat al-Anbiyaa]], kuna mitume kadhaa waliotambuliwa kuwa ni Maimamu, nao ni; Ibrahimu, [[Nabii Is’haka|Is'haq]], [[Yaaqub]] na [[Lut (a.s)]]. [100] Katika moja ya Hadirhi ilionukuliwa kutoka kwa [[Imamu Swadiq (a.s)]] ni kwamba; Mitume wa [[Ulu al-Azmi]] ni wenye cheo cha Uimamu. [101] | ||
=== Kuwakiuka Malaika kwa Utukufu === | === Kuwakiuka Malaika kwa Utukufu === |