Nenda kwa yaliyomo

Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 21: Mstari 21:
Kuna [[Hadithi]] tofauti kuhusu na idadi ya wajumbe wa Mwenye Ezi Mungu. [[Allama Tabatabai]], kulingana na Hadithi maarufu, ametaja idadi ya wajumbe hao kuwa ni wajumbe 124,000. [12] Kulingana na Hadithi hii, 313 kati yao ni mitume, watu 600 ni manabii kutoka katika wa Bani Israili, na wane ambao ni [[Huud]], [[Saleh]], [[Shu'ayb]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni Waarabu. [13] Katika Hadithi nyingine, idadi ya manabii ni imetajwa kwa idadi tofauti, wakati mwengine wametajwa kwa idadi ya 8,000, [14] au 320,000, [15] au 144,000. [16] [[Allama Majlisi]] anadhani kwamba yawezekna idadi ya 8,000 inarejelea manabii wakubwa. [17] Mtume wa kwanza kabisa alikuwa ni [[nabii Adamu]] na wa mwisho alikuwa ni [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]]. [18] [19]

[[Qur'an Kareem|Qur'an]] inataja majina ya baadhi tu ya manabii. [20] [[Adamu (a.s)]], [[Nuh (a.s)]], Idris (a.s), [[Hud (a.s)]], [[Saleh (a.s)]], [[Nabii Ibrahimu|Ibrahim (a.s)]], [[Lut (a.s)]], [[Ismail (a.s)]], [[Elisha (Al-Yasa’a) (a.s)]], [[Zulkifli (a.s)]], [[Ilyas (a.s)]], [[Yunus (a.s)]], [[Ishaq (a.s)]], [[Ya'aqub (a.s)]], [[Nabii Yusuf (a.s)|Yusuf (a.s)]], [[Shu'aib (a.s)]], [[Mussa (a.s)]], [[Nabii Harun|Harun (a.s)]], [[Daudi (a.s)]], [[Suleiman (a.s)]], [[Ayubu (a.s)]], [[Zakaria (a.s)]], [[Yahya (a.s)]], [[Issa (a.s)]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni manabii ambao majina yao yamekuja katika Qur'an. [21] Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; jina la Ismail bin Ezekiel pia limetajwa katika Qur'an. [22] {{Maelezo | Isma'il bin Hizqiil (Ezekiel) ni miongoni mwa manabii wa Waisraeli. Allama Tabatabai anaamini kwaba; Isma'il aliye tajwa na Qur'an katika Suratu Mariam, ni nabii Hizqiil (Ezekiel), ambapoMwenye Ezi Mungu katika Aya hiyo alisema: ({{Arabic|واذكُر فِى الكِتبِ اِسمعيلَ اِنَّهُ كانَ صادِقَ الوَعدِ و كانَ رَسولاً نَبيـّا}} ; Na mtaje katika kitabu Isma'il. Hakika yeye alikuwa mwaminifu wa ahadi, na alikuwa Mtume na Nabii) (Surat Maryam, aya 54), (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya Mwaka 1417 Hijiria, Juzuu ya 14, Ukurasa 63).}}
[[Qur'an Kareem|Qur'an]] inataja majina ya baadhi tu ya manabii. [20] [[Adamu (a.s)]], [[Nuh (a.s)]], Idris (a.s), [[Hud (a.s)]], [[Saleh (a.s)]], [[Nabii Ibrahimu|Ibrahim (a.s)]], [[Lut (a.s)]], [[Ismail (a.s)]], [[Elisha (Al-Yasa’a) (a.s)]], [[Zulkifli (a.s)]], [[Ilyas (a.s)]], [[Yunus (a.s)]], [[Nabii Is’haka|Ishaq (a.s)]], [[Ya'aqub (a.s)]], [[Nabii Yusuf (a.s)|Yusuf (a.s)]], [[Shu'aib (a.s)]], [[Mussa (a.s)]], [[Nabii Harun|Harun (a.s)]], [[Daudi (a.s)]], [[Suleiman (a.s)]], [[Ayubu (a.s)]], [[Zakaria (a.s)]], [[Yahya (a.s)]], [[Issa (a.s)]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni manabii ambao majina yao yamekuja katika Qur'an. [21] Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; jina la Ismail bin Ezekiel pia limetajwa katika Qur'an. [22] {{Maelezo | Isma'il bin Hizqiil (Ezekiel) ni miongoni mwa manabii wa Waisraeli. Allama Tabatabai anaamini kwaba; Isma'il aliye tajwa na Qur'an katika Suratu Mariam, ni nabii Hizqiil (Ezekiel), ambapoMwenye Ezi Mungu katika Aya hiyo alisema: ({{Arabic|واذكُر فِى الكِتبِ اِسمعيلَ اِنَّهُ كانَ صادِقَ الوَعدِ و كانَ رَسولاً نَبيـّا}} ; Na mtaje katika kitabu Isma'il. Hakika yeye alikuwa mwaminifu wa ahadi, na alikuwa Mtume na Nabii) (Surat Maryam, aya 54), (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya Mwaka 1417 Hijiria, Juzuu ya 14, Ukurasa 63).}}

Wengine wanaamini kwamba Qur'an imetaja sifa za baadhi ya manabii, kama vile [[Yeremia]] na Samweli, lakini haikutaja majina yao. [23] Ndani ya Qur'an, kuna Sura maalumu inayoitwa "Anbiya" pia ndani yake mna [[Sura]] nyengine kadhaa zenye majina ya Mitume kama vile; [[Yunus]], [[Hud]], [[Nabii Yusuf (a.s)|Yusuf]], [[Nabii Ibrahimu|Ibrahim]], [[Muhammad (s.a.w.w)]], na [[Nuh]].

Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits