Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Imamu Hussein Kugoma Kutoa Kiapo cha Utiifu kwa Yazid
No edit summary |
|||
Mstari 17: | Mstari 17: | ||
==Imamu Hussein Kugoma Kutoa Kiapo cha Utiifu kwa Yazid== | ==Imamu Hussein Kugoma Kutoa Kiapo cha Utiifu kwa Yazid== | ||
[[ | [[Muawiah]] katika uhai wake alifanya juhudi kubwa kwa ajili ya mwanawe,<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 4, uk. 334.</ref> jambo ambalo lilileta tija kwa Yazid daada ya kifo cha Muawiya (kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajab mwaka wa [[60 Hijiria]]), ambapo kwa kutokana na juhudi hizo, watu kadhaa walimuunga mkono [[Yazid]] kwa kumpa [[kiapo cha utiifu]] baada ya kifo hicho cha baba yake.<ref>Ibn Saad, Tabaqat Al-Kubari, 1414 AH, juz. 1, uk. 442; Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 155; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 32.</ref> Bila shaka, kwa mujibu wa [[makubaliano ya amani kati ya Muawiah na Imam Hassan (a.s)]], Muawiah hakuwa na haki ya kuteua mrithi wa kushika nafasi ya ukhalifa baada yake.<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 4, uk. 291.</ref> Kutokana na ukweli huo, Yazidi baada ya kifo cha baba yake aliazimia kuchukua kiapo cha utiifu kutoka kwa wakuu wa Waislamu waliokataa wito wa Muawia wa kumpa kiapo cha utiifu mwanawe.<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 338.</ref> Ili kutimiza azimio lake, Yazid aliamua kumwandikia barua [[Walid bin Utbah]] (mtwala wa Madina wawakati huo), na kumtaka achukue kiapo cha utiifu kwa mabavu kutoka kwa; Hussein bin Ali, [[Abdullah bin Omar]], [[Abdul Rahman bin Abi Bakar]] na [[Abdullah bin Zubeir]].<ref>Abu Mukhnif, Maqtal al-Hussein (a.s), Matbaat al-Ilimiyah, uk. 3; Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 338; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 9-10; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein (a.s), Maktabat Al-Mufid, juz. 1, uk. 180; Ibn Athir, al-kamal Fi al-tarikh, 1965, juz. 4, uk. 14.</ref> Yazid katika barua yake hiyo alimuamuru Walid bin 'Utba kumkata kichwa yeyote yule atakayekataa kutoa kiapo hicho miongoni mwao. Kwa mara ya pili Yazid alimwandikia Walid bin 'Utba barua nyengine na kumwamuru amwandikie barua ya orodha ya majina ya wanaomuunga mkono na wanaopingana naye, na aambatanishe kichwa cha Hussein bin Ali pamoja na majibu ya barua yake hiyo.<ref>Saduq, al-Amali, 1417 AH, uk. 152; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. uk. 18; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein (a.s), Maktabat al-Mufid, uk. 185.</ref> Walidi akashauriana na [[Marwani bin Hakam]] kuhusiana na matakwa hayo,<ref>Abu Mukhnif, Maqtal al-Hussein (a.s), Matbaat al-Ilimiyah, uk. 3-4; Dinuri, Al-Imamah wa al-Siyasa, 1990, uk. 227; Tabari, Tarikh al-Umamm wa al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 338-339.</ref> kisha akawamtuma [[Abdullahi bin Amru]], Ibnu Zubair, Abdullah Ibn Omar na Abd al-Rahman Ibn Abi Bakar waende kwa Imamu Hussein (a.s).<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 338-339; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 10-11; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein (a.s), Maktabat al-Mufid, uk. 181; Ibn Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, 1965, juz. 4, uk. 14.</ref> | ||
Imamu Hussein (a.s) alikwenda Daru al-Marah (ikulu) huko Madina akiwa na watu thelathini<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 18; Sayyid bin Tawus, Al-houf, 1348, uk. 18.</ref> wa karibu yake.<ref>Khawarizmi, Maktal al-Hussein (a.s), Maktaba Al-Mufid, uk. 183; Dinuri, Al-Imamah wa al-Siyasa, 1990, uk. 227; Ibn Shahraashub, Manaqib Aal-Abi Talib, 1379 AH, uk. 88.</ref> Walid alimjuza Imamu Hussein (a.s) kuhusiana na tukio la kifo cha Muawia, kisha akamsomea barua ya Yazid, inayomtaka Walid kuchukua kiapo cha utiifi kutoka kwa Husein bin Ali (a.s). Husein (a.s) akamwambia Walid: "Nadhani lengo lako ni kwamba; mimi nitoe kiapo hichco cha utiifu mbele ya watu." Waleed akajibu: “Bila shaka hayo ndio maoni yangu.”<ref>Dinuri, Al-Imamah wa al-Siyasa, 1990, uk. Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 32; Ibn Jauzi, al-Muntadhim, 1992, juz. 5, uk. 323.</ref> Imam (a.s) akamjibu kwa kumwambia: “Basi nipe muda hadi kesho ili nifikirie kisha nikujulishe maoni yangu.”<ref>Abu Mukhnif, Maqtal al-Hussein, Matbaat al-Ilmiyah, uk. 5; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 33.</ref> Ilipofika wakati wa jioni wa siku iliyofuata; Mtawala wa Madina akawatuma maafisa wake wamfuate Hussein (a.s) nyumbani kwake ili wakachukue jibu lake.<ref>Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, uk. 34</ref> Hussein (a.s) akaomba aengezewe muda na asubiriwe hadi asubuhi, Walidi akakubali kumpa muhula wa usiku ule hadi asubuhi.<ref>Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 341; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, ju. 2, uk. 34.</ref> Ilipofikia asubiuhi, Imamu Hussein (a.s) akaamua kuondoka Madina.<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 19; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein (a.s), Maktabat al-Mufid, uk. 187.</ref> | Imamu Hussein (a.s) alikwenda Daru al-Marah (ikulu) huko Madina akiwa na watu thelathini<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 18; Sayyid bin Tawus, Al-houf, 1348, uk. 18.</ref> wa karibu yake.<ref>Khawarizmi, Maktal al-Hussein (a.s), Maktaba Al-Mufid, uk. 183; Dinuri, Al-Imamah wa al-Siyasa, 1990, uk. 227; Ibn Shahraashub, Manaqib Aal-Abi Talib, 1379 AH, uk. 88.</ref> Walid alimjuza Imamu Hussein (a.s) kuhusiana na tukio la kifo cha Muawia, kisha akamsomea barua ya Yazid, inayomtaka Walid kuchukua kiapo cha utiifi kutoka kwa Husein bin Ali (a.s). Husein (a.s) akamwambia Walid: "Nadhani lengo lako ni kwamba; mimi nitoe kiapo hichco cha utiifu mbele ya watu." Waleed akajibu: “Bila shaka hayo ndio maoni yangu.”<ref>Dinuri, Al-Imamah wa al-Siyasa, 1990, uk. Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 32; Ibn Jauzi, al-Muntadhim, 1992, juz. 5, uk. 323.</ref> Imam (a.s) akamjibu kwa kumwambia: “Basi nipe muda hadi kesho ili nifikirie kisha nikujulishe maoni yangu.”<ref>Abu Mukhnif, Maqtal al-Hussein, Matbaat al-Ilmiyah, uk. 5; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 33.</ref> Ilipofika wakati wa jioni wa siku iliyofuata; Mtawala wa Madina akawatuma maafisa wake wamfuate Hussein (a.s) nyumbani kwake ili wakachukue jibu lake.<ref>Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, uk. 34</ref> Hussein (a.s) akaomba aengezewe muda na asubiriwe hadi asubuhi, Walidi akakubali kumpa muhula wa usiku ule hadi asubuhi.<ref>Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 341; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, ju. 2, uk. 34.</ref> Ilipofikia asubiuhi, Imamu Hussein (a.s) akaamua kuondoka Madina.<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 19; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein (a.s), Maktabat al-Mufid, uk. 187.</ref> |