Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
Kadhia ya Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio hilo adhimu. | Kadhia ya Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio hilo adhimu. | ||
Vuguvugu la tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha [[ | Vuguvugu la tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha [[Muawiah bin Abi Sufian]] kilichotokea mnamo [[mwezi 15 Rajabu]] ya [[mwaka wa 60 Hijiria]]. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawiah ([[Yazid]]). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizika baada ya [[Mateka wa Karbala|mateka wa Karbala]] kurudi [[Madina]]. Mtawala wa Madina alichukuwa juhudi kubwa za kupata [[kiapo cha utiifu]] cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (a.s). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina na akaelekea [[Makka]]. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya [[Bani Hashimu]] na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake. | ||
Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa takriban miezi minne. Wakati huu alipokuwepo katika mji huo, alipokea [[barua za maombi]] -ya kumwita nakumtaka awe ni kiongozi wao- kutoka kwa [[watu wa Kufa]]. Ili kupeleleza na kuelewa na kuhakikisha ukweli kuhusiana na maaandishi yaliomo ndani barua hizo, Imamu (a.s) alimtuma [[Muslim bin Aqiil]] kwenda Kufa na [[Sulaiman bin Razin]] kwenda [[Basra]]. Kutokana na kuwepo uwezekano wa kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s) huko Makka kupitia mkono wa mawakala wa Yazid, pamoja na kuepo wito wa maombi wa watu wa mji wa Makufi na uthibitisho kutoka kwa mjumbe wa Imamu kwamba mwaliko wa watu wa Kufa ulikuwa ni sahihi, Imamu Hussein (a.s) aliamua kuondoka mjini Makka na kuelekea Kufa mnamo tarehe [[8 Dhul-Hijjah]]. | Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa takriban miezi minne. Wakati huu alipokuwepo katika mji huo, alipokea [[barua za maombi]] -ya kumwita nakumtaka awe ni kiongozi wao- kutoka kwa [[watu wa Kufa]]. Ili kupeleleza na kuelewa na kuhakikisha ukweli kuhusiana na maaandishi yaliomo ndani barua hizo, Imamu (a.s) alimtuma [[Muslim bin Aqiil]] kwenda Kufa na [[Sulaiman bin Razin]] kwenda [[Basra]]. Kutokana na kuwepo uwezekano wa kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s) huko Makka kupitia mkono wa mawakala wa Yazid, pamoja na kuepo wito wa maombi wa watu wa mji wa Makufi na uthibitisho kutoka kwa mjumbe wa Imamu kwamba mwaliko wa watu wa Kufa ulikuwa ni sahihi, Imamu Hussein (a.s) aliamua kuondoka mjini Makka na kuelekea Kufa mnamo tarehe [[8 Dhul-Hijjah]]. |