Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Mwanyo wa Sura kulingana na Nyakazi za Kuteremshwa Kwao
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
===Mwanyo wa Sura kulingana na Nyakazi za Kuteremshwa Kwao=== | ===Mwanyo wa Sura kulingana na Nyakazi za Kuteremshwa Kwao=== | ||
:''Makala Asili: [[Makkiyyah na Madaniyyah]]'' | |||
Baadhi ya wataalamu na watafiti wa | Kulingana na mtazamo maarufu wa wataalamu na watafiti wa Qurani, Sura za Qur’ani zinagawanywa katika makundi makuu mawili kulingana na wakati wa kuteremka kwao, nayo ni; Makkiyyah (za Makka) na Madaniyyah (za Madian). [18] Kwa msingi huu, kile kilichoteremshwa kabla ya Hijra ya bwana Mtume (s.a.w.w) kwenda Madina kinaitwa "Makkiyyah", na kile kilichoteremshwa baada ya kufika kwake Madina kinaitwa "Madaniyyah". Kwa hiyo, ikiwa Sura au Aya fulani imeteremka baada ya Hijra, hiyo itakuwa Madaniyyah, hata kama iliteremshwa kwenye mji au maeneo ya mji wa [[Makkah]] au katika hali ambayo Mtume (s.a.w.w) alikuwa yumo safarini, kama vile Aya zilizoteremshwa wakati wa [[Fat-hu Makka]] au [[Hijjatul Wida’a]]. [19] | ||
Baadhi ya wataalamu na watafiti wa Qur'ani, hawakuzigawa Sura za Makkiyyah na Madaniyyah kulingana na wakati wa kuteremka kwake, bali ni kulingana na mahali au walengwa wa Sura hizo. Kulingana na kipimo cha mahali, ni kwamba; Yale yote yaliyoteremshwa Makkah na vitongoji vyake kama vile [[Mina]], [[Arafaat|Arafat]], na [[Hudaybiyyah]] huitwa Makkiyyah, hata kama yaliteremshwa baada ya Hijra, na yale yote yaliyoteremshwa [[Madina]] na vitongoji vyake kama vile [[Badr]] na [[Uhud]] huitwa Madani. [20] Lakini kulingana na kipimo cha walengwa wa Sura hizo, ni kwamba; Yale yote yaliyolengwa kwa watu wa Makkah huitwa Makkiyyah na yale yote yaliyolengwa kwa ajili ya watu wa Madina huitwa Madaniyyah. [21] Kigezo cha kuwatambua walengwa kwa kile kilichoteremshwa, ni kamba; Aya yenye ibara isemayo: Enyi watu huhisabiwa kuwa ni Makkiyyaha, na zile zenye ibara isemayo: Enyi mlioamini hushisabiwa kuwa ni Madaniyyah. [22] | |||
===Mgawanyo wa Sura kwa Kigezo cha Urefu na Ufupi wa Sara=== | ===Mgawanyo wa Sura kwa Kigezo cha Urefu na Ufupi wa Sara=== |