Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Mgawanyo wa Sura kwa Kigezo cha Urefu na Ufupi wa Sara
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
Sura za Qurani zimegawanywa katika makundi kadhaa kulingana na urefu au ufupi wake. Kulingana na kigezo hicho, Sura za Qur’ani zimegawika katika makundi yafuatayo; Sura za Sab'un Tiwaal, Mi-un, Mathani, na Al-Mufassalaat. [23] | Sura za Qurani zimegawanywa katika makundi kadhaa kulingana na urefu au ufupi wake. Kulingana na kigezo hicho, Sura za Qur’ani zimegawika katika makundi yafuatayo; Sura za Sab'un Tiwaal, Mi-un, Mathani, na Al-Mufassalaat. [23] | ||
* [[Sab'u Tiwaal]]: Sura hizi zimepewa jina hili kutokana na wa wingi Aya zake, nazo ni Sura saba: [[Al-Baqarah]], [[Al-Imran]], [[An-Nisa]], [[Al-Ma'idah]], [[Al-An'am]], [[Al-A'raf]], na [[Al-Anfal]] (au Surat Yunus badala ya Al-Anfal). [24] | |||
* [[Mi-un]]: Sura ambazo idadi ya Aya zake ni chini ya Sura za Sab'a Tawaal, lakini zina zaidi ya Aya mia moja, zikiwemo: [[Yunus]] (au Al-Anfal), [[At-Tawbah]], [[An-Nahl]], [[Hud]], [[Yusuf]], [[Al-Kahf]], [[Al-Isra]], [[Al-Anbiya]], [[Ta-Ha]], [[Al-Mu'minun]], [[Ash-Shu'ara]], na [[As-Saffat]]. [25] | |||
* [[Mathani]]: Kuna karibu ya Sura ishirini katika Qur’ani zenye idadi ya Aya chini ya mia moja, [26] mfano wa Sura hizo ni kama vile: [[Al-Qasas]], [[An-Naml]], [[Al-Ankabut]], [[Ya-Sin]], na [[As-Saad]]. [27] | |||
* [[Al-Mufassal]]: Nazo ni Sura ambazo zipo mwishoni mwa Qurani. [28] Sura hizi zimeitwa Mufassalaat, kutokana na kuwa ni Sura fupi na zimepambanuliwa baina yake kwa kupitia [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim|Bismillah]], ambazo mpambanuko wake huonekana wazi kutokana na ufupi wake. [29] | |||
===Aina Nyengine za Mgawanyo wa Sura za Qur’ani=== | ===Aina Nyengine za Mgawanyo wa Sura za Qur’ani=== |