Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam Hussein Kuwasili Makka
Mstari 41: | Mstari 41: | ||
Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa zaidi ya miezi minne kuanzia ([[mwezi 3 Shaaban]] hadi [[mwezi 8 Dhul-Hijjah]]). Katika kipindi alichoko katika mji huo, wakazi wa [[Makka]] walikuwa na kawaida ya wakimtembelea mara kwa mara. Inasemekana kwamba | Imamu Hussein (a.s) alikaa Makka kwa zaidi ya miezi minne kuanzia ([[mwezi 3 Shaaban]] hadi [[mwezi 8 Dhul-Hijjah]]). Katika kipindi alichoko katika mji huo, wakazi wa [[Makka]] walikuwa na kawaida ya wakimtembelea mara kwa mara. Inasemekana kwamba | ||
Abdullah bin Zubeir hakuwa akifurahia hali hiyo ya waku kufanya mahusiano ya karibu na Imamu Hussein (a.s). [[Abdu llahi bin Zubeir]] alikuwa na tamaa ya kupata kiapo cha utiifu kutoka wa wakaazi wa mji wa Makka, ila alielewa fika ya kwamba; uwepo wa Imamu Hussein katika mji huo, ni kizingiti kikubwa cha kufikia matakwa yake. Katu watu wa Makka hawakuwa tayari kumuacha Imamu Hussein na kumpa kiapo Abdullahi bin Zubeir, jambo ambalo lilikuwa likimsononesha mno Ibnu Zubeir. | Abdullah bin Zubeir hakuwa akifurahia hali hiyo ya waku kufanya mahusiano ya karibu na Imamu Hussein (a.s). [[Abdu llahi bin Zubeir]] alikuwa na tamaa ya kupata kiapo cha utiifu kutoka wa wakaazi wa mji wa Makka, ila alielewa fika ya kwamba; uwepo wa Imamu Hussein katika mji huo, ni kizingiti kikubwa cha kufikia matakwa yake. Katu watu wa Makka hawakuwa tayari kumuacha Imamu Hussein na kumpa kiapo Abdullahi bin Zubeir, jambo ambalo lilikuwa likimsononesha mno Ibnu Zubeir.<ref>Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 156; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 36; Ibn Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, 1965, juz. 4, uk. 20; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein (a.s), Maktabat Al-Mufid, juz. 1, uk. 190.</ref> | ||
===Barua za Mwaliko Matu wa Kufa kwa Imam Hussein (a.s)=== | ===Barua za Mwaliko Matu wa Kufa kwa Imam Hussein (a.s)=== | ||
Mstari 47: | Mstari 47: | ||
:''Makala Asili: [[Barua za watu wa Kufa kwa Imamu Hussein (a.s)]]'' | :''Makala Asili: [[Barua za watu wa Kufa kwa Imamu Hussein (a.s)]]'' | ||
Wakati Imamu Hussein alipokuwa Makkah, Mashia wa [[Iraq]] walielewa ya kwamba Imam Husein (a.s) hakumpa Yazid bin Muawiyah kiapo cha utiifu cha kumtawaza kama ni khalifa wa Waislamu. Kwa hiyo, walikusanyika kwenye nyumba ya [[Suleiman bin Suradi Khuzai]] na kumwandikia barua Imamu na kumtaka aende mji wa Kufa. | Wakati Imamu Hussein alipokuwa Makkah, Mashia wa [[Iraq]] walielewa ya kwamba Imam Husein (a.s) hakumpa Yazid bin Muawiyah kiapo cha utiifu cha kumtawaza kama ni khalifa wa Waislamu. Kwa hiyo, walikusanyika kwenye nyumba ya [[Suleiman bin Suradi Khuzai]] na kumwandikia barua Imamu na kumtaka aende mji wa Kufa.<ref>Baladhri; Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 157-158; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 27-28; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 36-37; Ibn Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, 1965, juz. 4, uk. 30.</ref> Siku mbili baada ya kutuma barua hiyo, wakatuma tena barua 150 nyengine kwa Imamu Hussein (a.s), kila barua moja kati yake ilikiwa na sahihi ya mtu mmoja hadi wanne.<ref>Baladhri; Ansab al-Ashraf, 1417 AH, uk. 158; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 352; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 29; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 38.</ref> | ||
Husein bin Ali (a.s) alikaa kimya bila kujibu barua hizo, hadi mmiminiko wa barua kutoka kwa watu hao wa mji wa [[Kufa]] ukafurutu ada, baada ya kufikia hali hiyo, Imamu Hussein (a.s) akawaandikia barua yenye ujumbe ufuatao: | Husein bin Ali (a.s) alikaa kimya bila kujibu barua hizo, hadi mmiminiko wa barua kutoka kwa watu hao wa mji wa [[Kufa]] ukafurutu ada, baada ya kufikia hali hiyo, Imamu Hussein (a.s) akawaandikia barua yenye ujumbe ufuatao: | ||
::...Mimi ninamtuma ndugu yangu ambaye ni binamu yangu naye ni mtu ninayemwamini kati ya watu wa nyumbani kwangu (familia yangu). Nimemwambia anijulishe kuhusiana hali halisi ilivyo, harakati zenu pamoja na itikadi zenu. Ikiwa ataniandikia kwamba; uhakika wa hali zenu unaendana sawa na maandishi ya barua zenu, basi bila shaka Mungu akipenda nitakuja mjini kwenu...-Eleweni ya kwamba- [[Imamu]] ni mtu atendaye kulingana na [[kitabu cha Mwenyezi Mungu]] tu, anayetekeleza uadilifu, anayeamini dini ya haki, na anayejitolea kwa ajili [[Mungu]]. | ::...Mimi ninamtuma ndugu yangu ambaye ni binamu yangu naye ni mtu ninayemwamini kati ya watu wa nyumbani kwangu (familia yangu). Nimemwambia anijulishe kuhusiana hali halisi ilivyo, harakati zenu pamoja na itikadi zenu. Ikiwa ataniandikia kwamba; uhakika wa hali zenu unaendana sawa na maandishi ya barua zenu, basi bila shaka Mungu akipenda nitakuja mjini kwenu...-Eleweni ya kwamba- [[Imamu]] ni mtu atendaye kulingana na [[kitabu cha Mwenyezi Mungu]] tu, anayetekeleza uadilifu, anayeamini dini ya haki, na anayejitolea kwa ajili [[Mungu]].<ref>Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 353; Ibn Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, 1965, juz. 4, uk. 21.</ref> | ||
===Muslim bin Aqiil Kutumwa Mji wa Kufa=== | ===Muslim bin Aqiil Kutumwa Mji wa Kufa=== |