Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Kuondoka kwa Imamu Hussein Kutoka Mji wa Madina
(→Rejea) |
|||
Mstari 23: | Mstari 23: | ||
==Kuondoka kwa Imamu Hussein Kutoka Mji wa Madina== | ==Kuondoka kwa Imamu Hussein Kutoka Mji wa Madina== | ||
Takribani kabla ya siku mbili ya kumalizika [[mwezi wa Rajab]], na kwa mujibu wa riwaya nyingine, [[mwezi tatu Sha'ban]], [[mwaka wa 60 Hijiria]] | Takribani kabla ya siku mbili ya kumalizika [[mwezi wa Rajab]], na kwa mujibu wa riwaya nyingine, [[mwezi tatu Sha'ban]], [[mwaka wa 60 Hijiria]]<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 21-22; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein (a.s), Maktabat al-Mufid, uk. 189.</ref>, [[Imamu Hussein (a.s)]] aliondoka [[Madina]] yeye pamoja na watu 84 wa familia ya Ahlul Bait, na masahaba zake kuelekea [[Makka]].<ref>Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, juz. 3, uk. 160; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 341; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 34.</ref> Kulingana na kauli ya [[Ibu 'Atham]]; Kabla ya Imamu Hussein kuondoka Madina, kwanza alikwenda kwenye kaburi la [[Mtume (s.a.w.w)]], la bibi [[Fatima (a.s)]] na kwenye kaburi la kaka yake ([[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imamu Hassan (a.s)]]), na baada ya kuagana nao, ndipo alipoondoka mjini Madina.<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 19-20; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein, Maktabat Al-Mufid, uk. 187.</ref> Imamu Hussein (a.s) alifungama na wengi miongoni mwa watu wa karibu yake katika msafara wa kuondoka kwake Madina. Ukiachana [[Muhammad Hanafia]],<ref>Dinori, Akhbar al-Tawal, 1368 S, uk. 228; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 341; Ibn Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, 1965, juz. 4, uk. 16.</ref> ambaye hakufungamana na Imamu Hussein (a.s) katika msafara huo (kutokana na ugonjwa wake), yeye alifungamana na watoto wake, ndugu zake wa kiume, ndugu zake kike pamoja na wapwa zake.<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 228; Saduq, al-Amali, 1417 AH, uk. 152-153.</ref> Mbali na familia ya [[Bani Hashim]], pia kulikuwa na [[masahaba wa Imamu Hussein (a.s)]] ishirini na mmoja waliofungamana naye katika safari yake hiyo.<ref>Saduq, al-Amali, 1417 AH, uk. 152</ref> | ||
Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Hussein) (a.s), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (a.s) alimwandikia wasia, unaosema: | Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Hussein) (a.s), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (a.s) alimwandikia wasia, unaosema: | ||
Mstari 30: | Mstari 30: | ||
|{{arabic|{{Arabic|إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب}}}} | |{{arabic|{{Arabic|إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب}}}} | ||
}} | }} | ||
::''Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya [[kuamrisha mema na kukataza mabaya]], ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu [[Ali bin Abi Talib (a.s)]].'' | ::''Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya [[kuamrisha mema na kukataza mabaya]], ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu [[Ali bin Abi Talib (a.s)]].''<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 21-22; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein, Maktabat al-Mufid, uk. 188-189.</ref> | ||
[[Faili:مسیر کاروان امام حسین(ع) از مدینه تا کربلا.jpg|200px|thumb|<small><center>Ramani ya njia ya msafara wa [[Imam Hussein (a.s)]] kutoka [[Madina]] kuelekea [[Makka]] na kutoka Makka hadi [[Karbala]]</center></small>]] | [[Faili:مسیر کاروان امام حسین(ع) از مدینه تا کربلا.jpg|200px|thumb|<small><center>Ramani ya njia ya msafara wa [[Imam Hussein (a.s)]] kutoka [[Madina]] kuelekea [[Makka]] na kutoka Makka hadi [[Karbala]]</center></small>]] | ||
Imamu Husein (a.s) aliondoka [[Madina]] pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea [[Makka]]. | Imamu Husein (a.s) aliondoka [[Madina]] pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea [[Makka]].<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 21-22; Khawarizmi, Maqtal al-Hussein, Maktabat al-Mufid, uk. 189.</ref> Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Hussein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. [[Abdullah bin Muti'i]] akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa [[Kufa]] na kumshauri abaki Makka.<ref>Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 23</ref> | ||
Imamu Hussein (a.s) aliwasili Makka [[mwezi 3 Shabani]] mwaka wa [[60 Hijiria]] | Imamu Hussein (a.s) aliwasili Makka [[mwezi 3 Shabani]] mwaka wa [[60 Hijiria]]<ref>Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, 160; Tabari, Tarikh Al-Umam wa Al-Muluk, 1967, juz. 5, uk. 381; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz. 2, uk. 35.</ref> na akakaribishwa na watu wa Makka pamoja na mahujaji.<ref>Baladhri, Ansab al-Ashraf, 1417 AH, 160; Ibn Atham, al-Futuh, 1411 AH, juz. 5, uk. 23; Mufid, Al-Irshad, 1399 AH, juz.2, uk. 35.</ref> Njia ya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Madina kwenda Makka ilipitia vituo vifuatavyo: Dhu l-Hulayfa, Milal, Sayyala, 'Irqu Dhabyin, Zawhaa, Anaya, 'Araj, Lahr Jamal, Suqyaa, [[Abwaa]], [[Harsha]], Raabigh, [[Juhfa]], Qadiid, Khaliis, 'Usfaan na Murru Al-Dhuhrani.<ref>[http://ahlolbait.com/media/9836 «Naqshe wa Masir Harakat Karavan Imam Hussein (a.s) Az Madine Be Makkeh wa Karbala», Muasase Tahqiqat wa Nashr Ma'arif Ahlul-Bayt (a.s) Be Naqli Az Kitab Atlas Shie.</ref> | ||
==Imam Hussein Kuwasili Makka== | ==Imam Hussein Kuwasili Makka== |