Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
==Nafasi na Umuhimu Wake==
==Nafasi na Umuhimu Wake==


Tukio la Karbala ni moja ya matukio ya [[karne ya kwanza ya Hijiria]] ambapo [[Hussein bin Ali (a.s)]], mjukuu wa [[Mtume (s.a.w.w)]] na Imamu wa tatu wa Mashia, yeye pamoja na idadi ya masahaba zake waliuawa shahidi huko Karbala kwa amri ya [[Yazid bin Muawia]] kisha wanawake na watoto wao wakachukuliwa mateka. [1] Tukio hili linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu [chanzo kinahitajika] na ndio tokeo msingi la msimamo dhidi ya Bani Umayya [2] Kwa mujibu wa baadhi ya watafiti, tukio hili liliwazuia Bani Umayya kupotosha dini ya Uislamu na Sunnah za bwana Mtume (s.a.w.w) [3] [[Shahidi Motahari]] anaamini ya kwamba; Miongoni mwa matukio mengi ya kihistoriani kuna matukio machache yenye riwaya za kweli, na kiwango madhubuti  kinazoaminiki kama tukio la Karbala. Kwa mujibu wa imani yake, hakuna tukio hata moja katika historia - hasa katika hstoria za mbali kama vile, za karne kumi na tatu au kumi na nne zilizopita - lenye mashiko na ithibati sahihi kama tukio la Karbala. Na hata wanahistoria wa Kiislamu wenye itibari zaidi na wanaoaminika kutoka karne ya kwanza na ya pili wamesimulia kadhia za tukio  hilo kupitia ithibati na bayana madhubuti, na maelezo ya nukuu zao ni yenye kuwafikiana na kukaribiana kwa kiasi kikubwa. [4] Mashia kila mwaka [[huomboleza]] tukio hili. Pia kuna kazi nyingi za sanaa na maandishi kuhusiana na tukio la Karbala.
Tukio la Karbala ni moja ya matukio ya [[karne ya kwanza ya Hijiria]] ambapo [[Hussein bin Ali (a.s)]], mjukuu wa [[Mtume (s.a.w.w)]] na Imamu wa tatu wa Mashia, yeye pamoja na idadi ya masahaba zake waliuawa shahidi huko Karbala kwa amri ya [[Yazid bin Muawia]] kisha wanawake na watoto wao wakachukuliwa mateka.<ref>Bin Athir, al-Kamal Fi al-Tarikh, Beirut, juz. 4, uk. 46-93.</ref> Tukio hili linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu [chanzo kinahitajika] na ndio tokeo msingi la msimamo dhidi ya Bani Umayya<ref>Rafii, «Naqshe Ashuraa...Dar Suqut Umawiyan», uk. 64.</ref> Kwa mujibu wa baadhi ya watafiti, tukio hili liliwazuia Bani Umayya kupotosha dini ya Uislamu na Sunnah za bwana Mtume (s.a.w.w)<ref>Abbasi, «Imam Hussein (a.s.) wa Ihya Dini».</ref> [[Shahidi Motahari]] anaamini ya kwamba; Miongoni mwa matukio mengi ya kihistoriani kuna matukio machache yenye riwaya za kweli, na kiwango madhubuti  kinazoaminiki kama tukio la Karbala. Kwa mujibu wa imani yake, hakuna tukio hata moja katika historia - hasa katika hstoria za mbali kama vile, za karne kumi na tatu au kumi na nne zilizopita - lenye mashiko na ithibati sahihi kama tukio la Karbala. Na hata wanahistoria wa Kiislamu wenye itibari zaidi na wanaoaminika kutoka karne ya kwanza na ya pili wamesimulia kadhia za tukio  hilo kupitia ithibati na bayana madhubuti, na maelezo ya nukuu zao ni yenye kuwafikiana na kukaribiana kwa kiasi kikubwa.<ref>Mutahari, Hamase Husseini, juz. 1, uk. 68.</ref> Mashia kila mwaka [[huomboleza]] tukio hili. Pia kuna kazi nyingi za sanaa na maandishi kuhusiana na tukio la Karbala.


==Imamu Hussein Kugoma Kutoa Kiapo cha Utiifu kwa Yazid==
==Imamu Hussein Kugoma Kutoa Kiapo cha Utiifu kwa Yazid==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits