Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 115: Mstari 115:
Katika ripoti ya [[Masudi]], mwanahistoria wa karne ya nne Hijiria, emeelezwa ya kwamba; kuna watu waliomwambia Mutawakkil kwamba nyumbani kwa Imamu Hadi (a.s) kulikuwa na silaha za kivita pamoja na barua kutoka kwa wafuasi wa madhehebu ya Shia. Hilo lilipelekea Mutawakkil kutuma maafisa wake kadhaa kuivamia nyumba ya Imam Hadi (a.s) bila ya taarifa za awali. [106] Pale walipompeleka Imamu kwenye kikao cha Mutawakkil, Khalifa alikuwa na kikombe cha divai (pombe) mkononi mwake na akamkaribisha Imamu kinywaji hicho. [107] Imam alikataa ombi la Mutawakkil akisema kuwa katu mwili na damu yake haijawahi kuchafuliwa na [[divai]]. [108] Kisha Mutawakkil akamwomba Imam amsomee shairi ambalo lingemfurahisha. [109] Mwanzo Imamu alikataa ombi lake, ila baada ya Mutawkkil kusisitiza zaidi na zaidi, Imamu Hadi (a.s) akasoma shairi lifuatalo:

<center>باتوا علی قُلَلِ الأجبال تحرسهم * غُلْبُ الرجال فما أغنتهمُ القُللُ</center>
<center>باتوا علی قُلَلِ الأجبال تحرسهم * غُلْبُ الرجال فما أغنتهمُ القُللُ</center>
<center>واستنزلوا بعد عزّ عن معاقلهم * فأودعوا حُفَراً، یا بئس ما نزلوا</center>
<center>واستنزلوا بعد عزّ عن معاقلهم * فأودعوا حُفَراً، یا بئس ما نزلوا</center>
Mstari 123: Mstari 125:
<center>قد طالما أکلوا دهراً وما شربوا * فأصبحوا بعد طول الأکل قد أُکلوا</center>
<center>قد طالما أکلوا دهراً وما شربوا * فأصبحوا بعد طول الأکل قد أُکلوا</center>
<center>وطالما کنزوا الأموال وادخروا * فخلفوها علی الأعداء وارتحلوا</center>
<center>وطالما کنزوا الأموال وادخروا * فخلفوها علی الأعداء وارتحلوا</center>
<center>.أضحت مَنازِلُهم قفْراً مُعَطلة * وساکنوها إلی الأجداث قد رحلوا</center>
<center>[110] .أضحت مَنازِلُهم قفْراً مُعَطلة * وساکنوها إلی الأجداث قد رحلوا</center>
 
:Maana ya Shairi hili ni kwamba: Walikuwa juu ya vilele vya milima wakilindwa na wanaume wenye nguvu. Lakini milima hiyo haukuwa na faida kwao. Waliondoka kutoka kwenye makazi yao ya heshima na hatimae kuingizwa mashimoni, wameporomoka mporomoka baya ulioje. Baada ya kuingizwa kaburini, sauti ililingana juu yao: "Vile Viti vya enzi na mataji ya kifalme yameenda wapi? Nyuso zilizofurahia neema na kufunikwa na pazia zimefikia wapi?" Na kaburi likajibu: "Wadudu wanakula kwa kuwaniana nyuso hizi. Walivaa na kula kwa muda mrefu na leo ni yao kuliwa. Walijenga nyumba kwa muda mrefu ili kujilinda na kisha wakawaachana nyumba hizo na kutengana na watu na wao wenyewe wakatokomea. Walikusanya mali kwa muda mrefu na kuzihifadhi na mwishowe wakawaachia maadui zao na wakaenda waliokwenda. Nyumba zao zilibaki tupu na wenyeji wao wakasafiri kuelekea kaburini. [111]
<center>''Maana ya Shairi hili ni kwamba: Walikuwa juu ya vilele vya milima wakilindwa na wanaume wenye nguvu. Lakini milima hiyo haukuwa na faida kwao. Waliondoka kutoka kwenye makazi yao ya heshima na hatimae kuingizwa mashimoni, wameporomoka mporomoka baya ulioje. Baada ya kuingizwa kaburini, sauti ililingana juu yao: "Vile Viti vya enzi na mataji ya kifalme yameenda wapi? Nyuso zilizofurahia neema na kufunikwa na pazia zimefikia wapi?" Na kaburi likajibu: "Wadudu wanakula kwa kuwaniana nyuso hizi. Walivaa na kula kwa muda mrefu na leo ni yao kuliwa. Walijenga nyumba kwa muda mrefu ili kujilinda na kisha wakawaachana nyumba hizo na kutengana na watu na wao wenyewe wakatokomea. Walikusanya mali kwa muda mrefu na kuzihifadhi na mwishowe wakawaachia maadui zao na wakaenda waliokwenda. Nyumba zao zilibaki tupu na wenyeji wao wakasafiri kuelekea kaburini.'' [111]</center>

Masudi ameeleza akisema ya kwamba; Mashairi ya Imamu Hadi (a.s), yalimwathiri Mutawakkil na wenzake kikaoni humo, kiasi ya kwamba uso wa Mutawakkil ulionekana kuroa machozi, na akaamuru meza ya divai iondolewe na kumrudisha Imamu nyumbani kwake kwa heshima. [112]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits