Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 137: Mstari 137:
:''Makala Asili: [[Orodha ya Masahaba wa Imamu Hadi (a.s)]]''
:''Makala Asili: [[Orodha ya Masahaba wa Imamu Hadi (a.s)]]''


Katika kitabu cha [[Al-Imam Al-Hadi Min al-Mahdi ila Al-Lahdi]], cha [[Sayyid Muhammad Kadhim Qazwini]] (aliyefariki: 1415 Hijiria), kuna idadi ya watu watu 346 waliotajwa kama ni Masahaba wa Imam Hadi (a.s) kitabuni humo. [113] Kulingana na Ripoti ya Rasuli Jaafarian ni kwamba; idadi ya wapokezi wa Hadithi waliosadikika kuwa ni wafwasi wa Imamu Hadi (a.s) ni kiasi cha watu 190, ambao wamepokea kiasi cha Hadithi 180. [114] Kulingana na kitabu kiitwacho Rijal Sheikh Tusi, ni kwamba; kuna idadi ya wapokezi 185 waliopokea Hadithi kutoka kwake (a.s). [115] Al-Ataridi katika kitabu"Musnad al-Imam Al-Hadi" ametaja watu 179 kama wapokezi wa Hadithi za Imam Hadi (a.s), na anasema kwamba; miongoni mwao kuna watu wenye sifa za thiqa (waaminifu), madhaifu, hassan (wanaokubalika kiasi), matruuk waliotelekezwa bila ya kupewa umuhimu, na pia ndani yao kuna watu majhuul (wasiojulikana). [116] Kulingana na maelezo ya Al-Atariidi, ni kwamba; miongoni mwa baadhi ya wapokezi aliyowataja yeyeye, hawapo katika kitabu cha Rijal cha Sheikh Tusi, na pia baadhi ya wapokezi aliowataja Sheikh Tusi katika kitabu chake cha Rijali hawaonekani katika kitabu cha [[Musnad al-Ataridi]]. [117]  
Katika kitabu cha [[Al-Imam Al-Hadi Min al-Mahdi ila Al-Lahdi]], cha [[Sayyid Muhammad Kadhim Qazwini]] (aliyefariki: 1415 Hijiria), kuna idadi ya watu watu 346 waliotajwa kama ni Masahaba wa Imam Hadi (a.s) kitabuni humo. [113] Kulingana na Ripoti ya Rasuli Jaafarian ni kwamba; idadi ya wapokezi wa Hadithi waliosadikika kuwa ni wafwasi wa Imamu Hadi (a.s) ni kiasi cha watu 190, ambao wamepokea kiasi cha Hadithi 180. [114] Kulingana na kitabu kiitwacho [[Rijal Sheikh Tusi]], ni kwamba; kuna idadi ya wapokezi 185 waliopokea [[Hadithi]] kutoka kwake (a.s). [115] [[Al-Ataridi]] katika kitabu [[Musnad al-Imam Al-Hadi]] ametaja watu 179 kama wapokezi wa Hadithi za Imam Hadi (a.s), na anasema kwamba; miongoni mwao kuna watu wenye sifa za [[thiqah|thiqa]] (waaminifu), [[madhaifu]], [[hasan]] (wanaokubalika kiasi), [[matruuk]] (waliotelekezwa bila ya kupewa umuhimu), na pia ndani yao kuna watu majhuul (wasiojulikana). [116] Kulingana na maelezo ya Al-Atariidi, ni kwamba; miongoni mwa baadhi ya wapokezi aliyowataja yeyeye, hawapo katika kitabu cha Rijal cha Sheikh Tusi, na pia baadhi ya wapokezi aliowataja Sheikh Tusi katika kitabu chake cha Rijali hawaonekani katika kitabu cha [[Musnad al-Ataridi]]. [117]  


Abdul Adhaimu Hassani, Othman bin Said, [118] Ayub bin Nuh, [119] Hassan bin Rashid, na Hassan bin Ali Nassir [120] ni miongoni mwa Masahaba wa Imamu Hadi (a.s). Ibn Shahriashub anamtaja Ja'afar bin Suhail al-Saiqal kama mmoja wa mawakala wa Imamu Hadi (a.s), na anamtaja Muhammad bin Othman kama mlango mkuu wa Imamu Hadi (a.s), yaani ndiye kiungo baina yake na wafwasi wake. [121]  
[[Abdul Adhaimu Hassani]], [[Othman bin Said]], [118] [[Ayub bin Nuh]], [119] [[Hassan bin Rashid]], na [[Hassan bin Ali Nassir]] [120] ni miongoni mwa Masahaba wa Imamu Hadi (a.s). [[Ibn Shahriashub]] anamtaja Ja'afar bin Suhail al-Saiqal kama mmoja wa mawakala wa Imamu Hadi (a.s), na anamtaja [[Muhammad bin Othman bin Said Amri|Muhammad bin Othman]] kama [[mlango]] mkuu wa Imamu Hadi (a.s), yaani ndiye kiungo baina yake na wafwasi wake. [121]  


[[Rasuli Jaafarian]] katika jitihada za kuthibitisha Uirani wa baadhi ya Masahaba wa Imamu Hadi (a.s), amezingatia majina yao ya Kiirani kama ndio hoja na ithibati ya Uirani wao. Yeye amewazingatia watu kadhaa kuwa ni miongoni mwa Mashaaba wenye asili ya Kiirani, miongoni mwao ni kama vile; Bashar bin Bishaar Nishaburi, Fathu bin Yazid Jorjani, Hussein bin Said Ahwazi, Hamdan bin Ishaq Khurasani, Ali bin Ibrahim Taliqani, Muhammad bin Ali Kashani, [122] Ibrahim bin Shaibah Isfahani, na Abu Muqatil Dailami. [123] Yeye amewataja watu hawa na kusema kuwa; wao walikuwa ni miongoni mwa Masahaba wa Imamu Hadi (a.s) waliokuwa wakiishi nchini Iran. [124] Jaafarian, kwa kurejea kwenye barua ambayo Imam Hadi (a.s) alio iandika kwa wakala wake huko Hamadani ambapo kwa mujibu wake alimwambia kwa kusema "Nimekuarifisha kwa marafiki zangu (waungaji mkono wangu) huko Hamadan," [125] anasema kwamba; baadhi ya Masahaba wa Imamu walikuwepo huko Hamadan na pia kulingana na ushahidi, baadhi ya Masahaba wa Imamu walikuwa wakiishi Qazwini. [126]
[[Rasuli Jaafarian]] katika jitihada za kuthibitisha Uirani wa baadhi ya Masahaba wa Imamu Hadi (a.s), amezingatia majina yao ya Kiirani kama ndio hoja na ithibati ya Uirani wao. Yeye amewazingatia watu kadhaa kuwa ni miongoni mwa Mashaaba wenye asili ya Kiirani, miongoni mwao ni kama vile; [[Bashar bin Bishaar Nishaburi]], [[Fathu bin Yazid Jorjani]], [[Hussein bin Said Ahwazi]], [[Hamdan bin Ishaq Khurasani]], [[Ali bin Ibrahim Taliqani]], [[Muhammad bin Ali Kashani]], [122] [[Ibrahim bin Shaibah Isfahani]], na [[Abu Muqatil Dailami]]. [123] Yeye amewataja watu hawa na kusema kuwa; wao walikuwa ni miongoni mwa Masahaba wa Imamu Hadi (a.s) waliokuwa wakiishi nchini Iran. [124] Jaafarian, kwa kurejea kwenye barua ambayo Imam Hadi (a.s) alio iandika kwa wakala wake huko Hamadani ambapo kwa mujibu wake alimwambia kwa kusema "Nimekuarifisha kwa marafiki zangu (waungaji mkono wangu) huko Hamadan," [125] anasema kwamba; baadhi ya Masahaba wa Imamu walikuwepo huko Hamadan na pia kulingana na ushahidi, baadhi ya Masahaba wa Imamu walikuwa wakiishi [[Qazwini]]. [126]


== Bibliografia (Seti ya Orodha ya Vitabu) ==
== Bibliografia (Seti ya Orodha ya Vitabu) ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits